DevotaTweve

119.5K posts

DevotaTweve banner
DevotaTweve

DevotaTweve

@TweveDevota

Instagram https://t.co/59Bh6zcLr1

Tanzania Katılım Temmuz 2014
1K Takip Edilen85K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Wanafunzi wa sekondar wanapata wapi ujasiri wa kujirekodi video za utupu? Hawafikirii maisha yao ya badae, hawajui kama wanawaumiza wazazi wao pia. Inaumiza sana kwakweli.
Indonesia
183
40
686
125.1K
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
@Lushona2 Siwezi kamwe maana sijawahi kuwa huko.
हिन्दी
0
0
0
4
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Ndolezi mambo yake yakiwa mazuri chamani kwao utaona anavyomposti Zito 😅
Filipino
5
0
10
642
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
@Lushona2 Chama langu siwezi liponda ninalikosoa likienda kinyume.
Indonesia
0
0
0
4
Lushona M
Lushona M@Lushona2·
@TweveDevota Maana baada ya wewe kuwa mwisho pale songwe ukawa mtu wa kuponda chama lako
Filipino
1
0
0
15
DevotaTweve retweetledi
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Jumapili njema ya Pentekoste kwenu nyote..🙏🏽🛐🕊️
Dan Chibo (DC) tweet media
Indonesia
1
1
31
329
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Mungu ni yule yule.
Eesti
1
1
6
142
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Hata nyakati ngumu zenye maumivu, mateso na vita kali bado wewe ni yote kwangu.
Indonesia
0
8
21
367
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Watoa hukumu wengi hujiona wasafi kuliko wengine wakati wao ni wachafu zaidi.
Indonesia
3
8
29
695
DevotaTweve retweetledi
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO
Ya Rab, kama kuna kitu natakiwa nifanye ili danny arudi, basi kwa rehma zako naomba njia na muongozo kwenye hili. 🤲🏻 Ameen Mwaka na miezi miwili💔
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO tweet media
Filipino
52
113
529
44.7K
Daniel Samson
Daniel Samson@SamsonDanielDS·
@TweveDevota No ,huwa anampost zito akiona CDM wamepamba moto. Akiona CDM wameshika kazi ndo anampost zito fatilia. Akiona CDM kupo kimya huwa hampost
Filipino
1
0
0
35
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
@YaiBovu Badala ya kujibu unatukana, Kafie huko sitaki utoto hapa.
Indonesia
0
0
0
24
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Ni kweli kuna watu wamejimilikisha harakati za kisiasa wanataka wao ndio waamue kila kitu? Je, katika harakati hizo huwa kuna viongozi?
Indonesia
3
0
9
493
sultan
sultan@chapanombombwi·
Huu mwaka wakulima tunanyanyasika sana na bei za mazao. ​Imagine gunia la mahindi lenye kilo 115.50 kwa sasa linanunuliwa kwa Tsh 45,000 (arobaini na tano elfu) tu!
sultan tweet mediasultan tweet media
Filipino
48
14
185
10.2K
KITASA🔑🧥
KITASA🔑🧥@kikotiofficial·
Kuna umri unafika ukigeuka nyuma watoto kibao wamegraduate kama wewe, Kuna wengine uliwaacha mtaani kuna wengine hawa walimu wa field waliwafundisha kipindi wapo chuo leo mnasaka nao ajira, Unahitaji roho sana kuingia nao kwenye competition ya ajira moja😄🙌🏾
Filipino
3
9
47
1.2K