Dubu wa Tanzania 🔥

9.9K posts

Dubu wa Tanzania 🔥

Dubu wa Tanzania 🔥

@Modarisy

Haki na wajibu🔥🤝 God fearing man Tanzania Kwanza

参加日 Şubat 2011
4.4K フォロー中1.3K フォロワー
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Serikali imekamilisha ujenzi wa Bandari ya Karema iliyopo Mpanda Mkoani Katavi katika Ziwa Tanganyika na kuwezesha uwekezaji kutoka sekta binafsi wa meli 4 za mizigo ambazo zipo katika hatua za mwisho za kukamilika. Dondoo; 1. Kila meli moja ina uwezo wa kuchukua tani 2,000 za mzigo (Jumla tani 8,000 kwa mpigo) 2. Meli hizi zitafanya safari kati ya Bandari ya Karema Tanzania na Bandari ya Kalemii nchini DRC 3. Zitawezesha usafirishaji wa zaidi ya Tani Milioni 2 za mizigo kwa mwaka kwenda DRC (Hii itakuwa ni mara ya kwanza kufikia rekodi ya usafirishaji wa kiwango hicho kikubwa cha mzigo) 4. Wawekezaji wa meli hizi pia watajenga Bandari ya Kigoma na bandari ya Kalemii nchini DRC pamoja na kujenga kilometa 500 za barabara ya lami kati ya Kalemii na eneo la madini la Manono ambalo lina mgodi mkubwa zaidi Duniani wa madini aina ya Lithium yanayotumika kutengeneza betri za magari. 5. Uwekezaji huu unatajiwa kuongeza ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam. #KaziIendelee
Indonesia
7
7
21
2.3K
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
Wiseman
Wiseman@Bizydan·
KIGAILA: CHADEMA WAHUSIKA MOJA KWA MOJA KATIKA VURUGU ZA OKTOBA 29 — KIGAILA Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema wazi kuwa CHADEMA inahusika moja kwa moja na vurugu za Oktoba 29 na kusisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichochochea hali iliyosababisha uharibifu wa mali na vifo vya watu kupitia mpango wao wa kutaka kuzuia uchaguzi. Kigaila ameeleza kuwa vurugu hizo zilianza mapema asubuhi wakati zoezi la upigaji kura likiwa linaendelea. Kwa mujibu wake, hali hiyo ilionyesha kuwa kulikuwa na mpango wa kuivuruga siku hiyo. Amesema matukio hayo hayawezi kuchukuliwa kuwa ya bahati mbaya, bali ni matokeo ya vitendo vya makusudi na ukizingatia viongozi wakubwa wakitaifa wa CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu walshaonesha msimamo wao mapema kabla ya michakato ya uchaguzi haijaanza. Aidha, Kigaila amesema kuwa wao kama CHAUMMA watatoa maoni yao rasmi baada ya ripoti ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 kutolewa.
Wiseman tweet media
Polski
0
14
12
116
Dubu wa Tanzania 🔥
Dubu wa Tanzania 🔥@Modarisy·
Mpaka anyongwe ndio tutaacha,mandela alikaa 27yrs yeye hata mwaka bado anapiga kelele😂😂si alisema yeye ni mandela sijui DUDA au?
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya

@MariaSTsehai Kupigana hivi shangazi kutaleta matunda madogo. Sasa hivi i think tupiganie kesi isikilizwe kila siku maana so far nahisi watamuua tu akibakia Tuanzishe hashtag #lissustrial24 Judges appointed kwa kesi yake waondolewe kesi zilizo kwenye schedule wadeal na hii yenye public intrest

Filipino
1
0
0
12
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
KIGAILA: CHADEMA WAHUSIKA MOJA KWA MOJA KATIKA VURUGU ZA OKTOBA 29 — KIGAILA Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema wazi kuwa CHADEMA inahusika moja kwa moja na vurugu za Oktoba 29 na kusisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichochochea hali iliyosababisha uharibifu wa mali na vifo vya watu kupitia mpango wao wa kutaka kuzuia uchaguzi. Kigaila ameeleza kuwa vurugu hizo zilianza mapema asubuhi wakati zoezi la upigaji kura likiwa linaendelea. Kwa mujibu wake, hali hiyo ilionyesha kuwa kulikuwa na mpango wa kuivuruga siku hiyo. Amesema matukio hayo hayawezi kuchukuliwa kuwa ya bahati mbaya, bali ni matokeo ya vitendo vya makusudi na ukizingatia viongozi wakubwa wakitaifa wa CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu walshaonesha msimamo wao mapema kabla ya michakato ya uchaguzi haijaanza. Aidha, Kigaila amesema kuwa wao kama CHAUMMA watatoa maoni yao rasmi baada ya ripoti ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 kutolewa.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Polski
1
16
15
568
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
Grace Mlowe
Grace Mlowe@Grace_Mlowe·
KIGAILA: CHADEMA WAHUSIKA MOJA KWA MOJA KATIKA VURUGU ZA OKTOBA 29 — KIGAILA Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema wazi kuwa CHADEMA inahusika moja kwa moja na vurugu za Oktoba 29 na kusisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichochochea hali
Grace Mlowe tweet media
Polski
1
9
8
192
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Makamu Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama hicho kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama chao. Kauli ya Wasira imekuja siku chache baada ya Kiongozi kutoka katika chama kimoja cha Upinzani kudai CCM inabebwa na serikali. Wasira meyasema hayo leo Machi 26, 2026 alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za Chama Mkoa wa Geita ambalo ujenzi wake unatarajiwa kutumia sh bilioni 1.5. “Tulipokuwa tunakuja mtu mmoja akanipa simu yake nimsikilize mkubwa mmoja wala sitaki kumtaja jina, anadai CCM kinabebwa na serikali, sasa ningemwalika hapa aone tumejenga hapa atwambie kasma namba ngapi imeleta pesa Geta" Wasira amesisitiza kuwa mtu akikosa la kusema na mdomo anao unaweza kusema chochote kwani usiposema chochote mdomo utakosa kazi utakuwa unakula tu bila kusema na mdomo una kazi ya kula na kusema.
Jambo TV tweet media
Indonesia
34
3
40
5.7K
Dubu wa Tanzania 🔥
Dubu wa Tanzania 🔥@Modarisy·
Ila lema kweli ni mbwa😂😂akasema BOT ikabet ipate hela zaidi
Yesu wa Tongareni@Eliudiwekesa

@PamBelinda @NotoriousJayZ1 @donminja47 @shiggaJr @ilfintosanto06 @bizy94 @YerickoNyerereT @woopiesnooker @mTusiOriginal @SaidiJumaa10 @Modarisy @MankindUwezo @Dunguboy1 Amekimbia na kuwaachia wenzake kaenda Canada kufanya mishe. Alidhani kukusanya bilion 3 kwa chama ni sawa na kuunda kamati ya harusi. Hakujua Chama cha siasa hakiongozwi na masikini? Tapeli Lema wa Chademacoin

Filipino
0
1
1
6
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Yani kweli vijana ndo wamefikia huku?🤔
BARADHULI🇹🇿 tweet media
12
19
84
4.4K
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
So now you know ....
Kilwafinest 🦈 tweet media
English
1
16
16
710
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao, tarehe 26 Machi, 2026, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
27
44
125
11.1K
Dubu wa Tanzania 🔥 がリツイート
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Hivi kumbe Rais Dkt. SAMIA anacheo kikubwa huko AU ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na leo kashiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly). Ila kwenye Diplomasia Mama yuko mbali sana aisee
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Filipino
2
12
36
2.4K