Adam Vunge

2.8K posts

Adam Vunge banner
Adam Vunge

Adam Vunge

@AdamMkali2

Vunge

Katılım Ağustos 2021
2.2K Takip Edilen928 Takipçiler
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@Roma_Mkatoliki Sema mungu sio mwameja huo mchele wanapiga malimbikizo tu hawaufaid chochote zinatumikaga kwenye matibabu tu mara sukar nying , mara stroke ya shingo, mara shinikizo ,mara Kila mwezi tubadilishe damu
Indonesia
3
0
24
4.5K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Mbunge anakunja mshahara plus posho, milio kama 12-18 💴 hivi kila mwisho wa mwezi!! Tufanye 12M kadirio la chini!! So kwa mwaka anakunja 144M. Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja anakunja 720M (Bilioni kasorobo) Whaaaaaao!! Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+ Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹 (I’m sorry) Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!! Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!! Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri…… means mshahara uta-double!! Hapo sio tena 12M monthly So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!! Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!! Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!! Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua ili ku-secure bag lake 💰
Indonesia
49
173
975
44.4K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@mshambuliaji @bajabiri Tunayoyasema kama ingekuwa ndo tunatekeleza bas Janna ingekuwa nyepes sana Cha ajabu likiisha Tanga ndugu tu Tunajisahau ila tujue tu Kila mtu atabeba dhima ya kile alichopewa dhamana na jamii yake twendeni tu
Indonesia
0
0
0
124
Joti
Joti@JotiOfficial·
Pumzika kwa amani Mzee Lukuvi.
Joti tweet media
Suomi
69
11
186
11.1K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@prossoff Yeye anasisitiza tumwage moto tu😂😂😂
Filipino
0
0
0
290
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Tweet za SATIVA juu ya LUKUVI zinachekesha wakati tupo kwenye majonzi😁😄
Indonesia
33
39
733
39.7K
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Kwanza watu wafahamu kuwa hiki kikao ni asilimia 70 cha benchi la ufundi, kwasababu ni kikao cha kutoa ripoti yao kwa viongozi, hata taarifa kwa umma ukiiangalia ilielezea vitu vyote vilivyopo kwenye ripoti ya benchi la ufundi” Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415. #CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Crown Media tweet media
Indonesia
1
0
10
435
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@CrownMediaTZ Ye mwenyewe mguu nje mguu ndan alaf anataka kuleta wanawe ebana mtaungana wote mtatimka pamoja nyie mnaijua yanga mnaiskia
Indonesia
0
0
0
67
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Tumemrejesha Moalin kwenye benchi la ufundi, kutokana na ripoti ya Kocha mwenyewe, kutokana na ripoti ya mwalimu baada ya mechi 16, tumevuna alama 38 tumepoteza point 10” “Baada ya majadiliano, maeneo yenye changamoto ni mechi za ugenini kutokana na viwanja, katika vitu ambavyo kocha Pedro Goncalves alivyoomba ni kuongezewa mtu mwenye uzoefu na Ligi Kuu Tanzania Bara” Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415. #CrownMedia #HapaNiNyumbani #tupomwakawambele
Crown Media tweet media
Indonesia
5
4
123
6.5K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅ Mwanangu hakikisha una Save angala Tsh 200,000/= kwa kila mwezi.
Filipino
59
49
408
18.2K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@mshambuliaji Yan vichwa vya habar vya kitenge kama umetoka usingizin unaweza Sema Kuna hatar gan huku asa kusaini ndo kujitia kitanz 😂
Indonesia
0
0
0
64
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Klabu ya Manchester United ipo ukingoni kufikia makubaliano ya kumsainisha kiungo, Kobbie Mainoo nyongeza ya mkataba mpya inayotarajiwa kumbakisha nyota huyo klabuni hapo mpaka Juni 2031. Mkataba huo mpya wa nyota huyo wa Kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 20 utakuwa na maboresho ya mshahara ambapo anatarajiwa kutia kibindoni zaidi ya mara nne ya mshahara wake wa sasa pauni 25,000 kwa wiki. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
3
4
208
6.7K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@Roma_Mkatoliki Ule mtililiko sijategemea mwisho kuona kumbe tunamalizia mabatani kugonganisha vyupa na kelele za mziki zinazotufanya tuongee kwa saut Kal hata tukiwa karibu
Filipino
0
0
0
15
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Umeshalipa kodi✅ Umeshalipa ada✅ Gesi na luku shindili✅ Friji limejaa mazaga✅ hudaiwi chochote Uko batani uko vyombo 🥃🍻🍹🍾 aaaf DJ ndio akalidondosha lile 🎶 Yoo Lily Sabelaaa Sijui Kelly Sabelaaaa Weee Molly Sabelaaaa Yooo Luluu Sabelaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Weeeeeeeeeee
Indonesia
32
73
940
44K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@tagatojtagato Anajifanya sajil za msimu huu hajasajil injinia ili amsafishe ionekane ye hakosei au sio
Indonesia
0
0
0
96
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
“Mimi nimuombe tu Rais wangu (Eng Hersi Said), haya mambo haya (ya usajili wa wachezaji) yarudishe kwenye himaya yako. Haya mambo unaenda unamuacha kocha 100% sometimes ni shida,” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC via Crown Media
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
10
3
135
9K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@anuskills3 Diara ndo kamsukuma mchiz ila mchiz akabak mbele ya diara mali inapigwa diara anaruka mwana anamkwepa diara anarud nyuma diara anapoteza mwelekeo
Filipino
0
0
1
268
OscarOscar
OscarOscar@mzeewakaliua·
Wazungu wakiambiwa Bingwa wa AFCON mwaka 2026 ni Morocco, watatudharau sana!
Filipino
48
55
1K
25.9K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
1. Hoja za wanaochukia yakisemwa mazuri yake tu!! 2. Na hoja za wanaochukia yakisemwa mabaya yake tu!! Ukizipima kwenye mzani….. ⚖️ Utagundua kuwa….. Hoja Number 1 ina nguvu zaidi kwakuwa mabaya yanayokaliwa kimya yanahusu haki ya kuishi, yanahusu uhai wa binadamu!! Uwe muislamu, uwe mkristo kipaumbele namba 1 kinapaswa kuwa haki ya binadamu kuishi….. kisha ndio uje kwenye hoja za vitu kama flyover,bwawa la kambarage na gavoo kuhamia Dodoma!! Hakuna hoja itakayozidi UHAI WA MWANADAMU….Never!! Hasa Uhai Ulioondolewa Kwa Kuuliwa!! Mnapewa kipaza 🎤 mtoe neno la kumbukumbu, mna-skip hiyo primary hoja na kurukia hoja za Stigla Goji sijui na Standard Geji!!
Indonesia
14
43
300
11.8K
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
Taarifa za wachezaji waliopata majeraha kutoka kwa Madaktari Wetu. •Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu • Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili. • Chadrack Boka amepata jeraha la enka ya mguu wa kushoto na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili. • Edmund John amepata jeraha la Bega na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet media
Indonesia
52
21
503
25.1K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@millardayo Yan Kila nikipitia comments Sion akipewa hongera bado anapondwa tu aaaaaah jaman MTU sio nyau muombeen Dua sas mbona snura majanga SI yule palee
Filipino
0
0
1
168
millardayo
millardayo@millardayo·
Msanii Gigy Money ambaye kwa sasa amebadili Dini na kuitwa Rawya amefunga ndoa na mpenzi wake Tarick. Gigy (Rawya) amefunga ndoa na Tarick iliyoambatana na Sherehe fupi iliyofanyika Viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo Wasanii kama Shilole, Hamisa Mobetto, Queen Darling, Jaymelody, Wachekeshaji na watu wengine maarufu. Katika Sherehe hiyo, Gigy ameahidi Kuwa ‘atamtunza Mumewe, kwani hayuko tayari kwa ndoa ya pili wala hayuko tayari ndoa yake hii kuvunjika’ #millardayoENT
millardayo tweet media
Indonesia
81
19
634
56.7K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Hili week ninashida na 50M—mtaji uliopo wa kuleta hiyo hela ni 20M. Kanji nakuja kama ZOMBIE.
Indonesia
48
91
1.4K
35.2K