Eng Mutran

1.3K posts

Eng Mutran banner
Eng Mutran

Eng Mutran

@mutran06

Chemical & Process Engineer |Metallurgical analyst| Political animal |

参加日 Ocak 2025
1.1K フォロー中401 フォロワー
Eng Mutran
Eng Mutran@mutran06·
@EsirEid Wekeni hela mhandisi niwalete diesel achanen Na ya middle east
Eng Mutran tweet media
Filipino
0
0
1
25
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa akiba ya mafuta ya miezi mitatu (strategic/operational reserves) inalenga kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa haukatiki (security of supply), siyo kudhibiti bei zisibadilike. Katika masoko ya mafuta, bei huamuliwa na mchanganyiko wa gharama za kimataifa (international benchmark prices kama Brent), gharama za usafirishaji (freight), bima (insurance premiums), pamoja na gharama za ndani kama ushuru na logistics. Hivyo hata kama mafuta yaliyopo yaliletwa kabla ya mabadiliko ya bei duniani, thamani yake ya kiuchumi hubadilika mara moja kulingana na bei ya sasa ya soko (market valuation), siyo bei ya zamani ya ununuzi. Pili, biashara ya mafuta inaendeshwa kwa kanuni ya ‘replacement cost pricing’ badala ya ‘historical cost’. Hii ina maana kuwa bei ya kuuza leo inaangalia gharama ya kununua mzigo unaofuata, siyo gharama ya mzigo uliopo. Kama utaendelea kuuza mafuta kwa bei ya zamani wakati gharama ya kuagiza mzigo mpya imepanda kwa kiasi kikubwa, basi mapato utakayopata hayatatosha kurejesha kiwango kilekile cha stock (volume). Hii husababisha kile kinachoitwa ‘inventory loss’ au ‘under-recovery’, ambacho kinaweza kupelekea upungufu wa mafuta sokoni. Ndiyo maana marekebisho ya bei hufanyika mapema kabla hata akiba ya zamani haijaisha. Tatu, katika muktadha wa Tanzania (na nchi nyingi zinazo-import mafuta), mfumo wa ununuzi wa pamoja (bulk procurement system) unalenga kupata bei shindani, lakini bado unaathiriwa moja kwa moja na mabadiliko ya soko la dunia na thamani ya fedha (exchange rate risk). Hivyo kinachoonekana kama faida ya muda mfupi kwa wauzaji au serikali, kiuhalisia ni ‘price smoothing mechanism’ inayolinda mzunguko mzima wa ugavi (supply chain sustainability). Kwa lugha rahisi: fedha inayopatikana leo kwa bei ya juu ndiyo itakayowezesha kununua mafuta ya kesho kwa bei hiyo hiyo ya juu, ili kuhakikisha kiasi cha mafuta (volume) kinabaki kilekile bila kusababisha uhaba sokoni.
The SPECIAL ONE ™️@bajabiri

Wewe ulikutana na Waziri, alikwambia "Kuna mafuta ya kutosha" Kwanini mafuta yapande kwa 1000/= wakati bado tunatumia mafuta yaliyopo kwenye reserve ya hadi Julai? Naombeni mnipe shule hapa,haya mafuta tunayotumia yameingia kwa meli kipindi hiki cha VITA au yalikuwepo kabla?

Indonesia
133
104
324
32.5K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Wewe umesema Wakamaria wanatumia Demo sasa juzi nilikuwa na Million 21 nika withdraw 4M nimebaki na hiyo 12M nyingine imeliwa. Kwanini hiyo 2M usiweke kwa mtu na mimi niweke 2M halafu nilete Screenrecord niki withdraw hela? Ukikubali safi ukikataa LAMAMAAKO. 🖕🖕🖕
Taivina James tweet mediaTaivina James tweet media
Filipino
17
23
213
29K
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
@mutran06 Kwenye big 3 pale Chemistry na Maths ndio hazihitaji kufikiria
Filipino
1
0
0
11
Waziri Wa Mbeya
Waziri Wa Mbeya@waziri_mbeya98·
Sidhani kama Kuna Topic Ngumu Kwenye Elimu Kuzidi Hii..😁🙌
Waziri Wa Mbeya tweet media
Indonesia
128
48
400
43.9K
ADENUGA✝️
ADENUGA✝️@hereiseddy_·
Shetani anaishi Sinza📌
Español
12
12
54
1.7K
Eng Mutran
Eng Mutran@mutran06·
@lordmoremi Nipo sehemu chicca anafanya sana delivery 😂 hapa nkimwambia njoo sehsmu fulan atajua n don,😂
Indonesia
1
0
1
11
EBITDAWG ✝️
EBITDAWG ✝️@lordmoremi·
Bakindideiz kabla sijamrudia Mungu niliwahi tamani kununua kabati moja la chicca. Nilikuwa nmeongea na fundi already nikakadiria kabisa humu natoa barakoa kadhaa na leso kadhaa Dark days those ones man
Filipino
1
0
1
70
Eng Mutran がリツイート
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
@AlexSamoja Hawa na "wairaki" ningekua na hela naenda kuzoa kama 100 kika Mwaka naenda kuwamwaga kwetu Mbeya huko ni ndoa tupu. Hiyo mixture ikitokea ni msiba
Filipino
10
1
24
6.8K
Eng Mutran
Eng Mutran@mutran06·
@KennedyMmari I Say normally there is a need to rewrite our history. Alot of pages are missing.
English
0
0
1
64
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Kama tunadanganywa mambo mengi ambayo tunaweza kufuatilia na kuthibitisha ukweli wake ndani ya dakika chache, hebu fikiria ni kwa kiasi gani historia tuliyopokea kwa kufundishwa ni uongo mtupu. Historia ya binadamu ni narrative tu. Hakuna ukweli wake.
Indonesia
12
11
79
4.7K
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
Hope our African leaders are watching geopolitics with a third eye . How do we fit in amidst all this chaos and still put our national interests at front
English
2
0
0
116
Eng Mutran がリツイート
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
Muslim and Christian Theology have more similarities than differences . Hata namna zimesambazwa ,vita za conquests na Inquisitions. Inashangazaa nikiona baina yao kuna wanaojiona bora kulika wenzao while vitu vingi ni vilevile tu. Wote siwaelewi tu
Indonesia
3
1
2
502
sudi
sudi@sudy1919·
Shusheni handle tuinuane small accounts🔥
sudi tweet media
English
96
15
103
2.7K
Ímmanuel
Ímmanuel@Tinolove15·
Usiku huu followers ni wengi saana, Weka handle yako ili mimi na followers wangu tukufollow 💪👇
Ímmanuel tweet media
Indonesia
94
24
101
2.7K
Eng Mutran
Eng Mutran@mutran06·
@Aljerry_12 @SalimuIbwe Point yangu kukosa skills muhimu hata ukiwa academician huwez ukawa mwalimu mzur.. tumeshuhudia walimu wenye waliscore Great GPA ila wanawasomea slides wanafunzi.. Kikubwa tuwambie vijana wajitahid sanas kupata extra skills
Filipino
0
0
1
9
Jerry Aloyce
Jerry Aloyce@Aljerry_12·
@mutran06 @SalimuIbwe I think inategemea una malengo ya kufanya nini baadae. Kwa ambao wanaelekea kuwa academician hizi GPA kubwa ndio kigezo cha kwanza kumpeleka huko, Sasa ukisema what next labda uiweke kwa malengo ya kwako wewe binafsi.
Indonesia
1
0
1
8
Ibwe Salim Thekiete
Ibwe Salim Thekiete@SalimuIbwe·
Mjadala wa GPA Kubwa Vs kuwa na Skills Kwanini GPA kubwa ni nzuri. 1. Kwanza ukishapata GPA ndogo umeshapata. Hakuna namna unaweza kuibadilisha. Labda Uanze upya Chuo. Inakuhitaji Miaka 3, 4 ama 5 kurekebisha hiyo GPA. Jitahidi uwe na GPA kubwa 1/3
Filipino
10
16
158
14.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Watu wanne wamekamatwa baada ya kukiuka taratibu zilizopangwa za kuacha ulevi na kuuza pombe katika nyakati za mwezi wa Ramadhani Zanzibar wakati wa Operesheni maalum iliofanywa na Kamati ya Wilaya ya Magharibi “B” Visiwani Zanzibar walipofanya misako ya kubaini kama kuna Wafanyabiashara au Wanywaji wanakwenda kinyume na katazo hilo Akizungumza na @AyoTV_ Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "B" Amour Seif Mmanga amesema katazo la Uuzaji wa pombe na unywaji huanza tu pindi Mwezi Mtukufu wa Ramdhan unapoanza ambapo Watu wanne wamekamatwa baada ya kukutwa kwenye vibanda vya kuuza pombe wakilewa mchana jambo ambalo ni kinyume na taratibu za Zanzibar katika kipindi hiki Mmanga amesema watu hao tayari wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Mazizini na hatua stahiki zitafuatwa za kisheria ili kufikishwa Mahakamani na kama Mahakama ikijiridhisha na kesi hiyo na kwamba operesheni hiyo itaendelea ili kulikomesha jambo hilo kwa wanaokwenda kinyume #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
51
9
209
24.2K