Imma Obeid

2.4K posts

Imma Obeid banner
Imma Obeid

Imma Obeid

@ObBi_5

Football Fan, Man Utd Fan! Process Engineer!

Tanzania 가입일 Haziran 2018
201 팔로잉91 팔로워
Gonga jr
Gonga jr@PanganiC·
@ObBi_5 @VitusNkuna Ile biashara ilibuma mzee, ila anaroho ngumu huu unasiri sijui anautoa wap😂
Indonesia
1
0
0
8
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
CHADEMA TANZANIA Bendera inapepea ✌️✌️✌️
Español
9
53
292
3.4K
Imma Obeid
Imma Obeid@ObBi_5·
@zittokabwe Wewe ndio master wa hizi kazi, na uliamini oppressor wake akimpiga yule mwenzako wewe unainuka! Leo unaweza kutuhubiria,
Filipino
1
0
0
68
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Kweluma: that is when oppressed people turn on each other or on themselves and bite. It is a form of relief. If you cannot bite your oppressor you bite yourself!
English
7
10
32
4.1K
Moses Jackson 🇹🇿
Moses Jackson 🇹🇿@GbpAud_king·
@ObBi_5 😂 😂 😂 😂 Ndomana kuna kampuni mfano TCC tsh 450 unakuta 900 wameigawa mara mbili
Indonesia
1
0
0
58
Moses Jackson 🇹🇿
Moses Jackson 🇹🇿@GbpAud_king·
Kwenye soko letu la hisa la Dar es Salaam stock exchange linapokuja kwenye swala la dividends kuna kampuni zinatoa dividend mara mbili na nyingine mara moja. Mfano TCC inatoa interim dividend na final mara mbili kwa mwaka Lakin kampuni kama crdb inatoa final dividend mara moja.
Indonesia
1
4
26
1.3K
Themkulima
Themkulima@themkulima·
Ni rahisi sana kupata Frame Kariakoo kuliko kupata Shamba Kwenye hii scheme ya Umwagiliaji ya Kapunga estates. Au @shibobo___ naudanganya Umma😂
Themkulima tweet media
Filipino
13
14
184
10.1K
Kelvin Mkwawa
Kelvin Mkwawa@KMkwawa·
NATIONAL BANK OF COMMERCE LIMITED Audited Financials 2025 (TZS) *Loans & Advance: 3.418T *Customer Deposits : 3.902T *Investment in Gov Securities: 598B *NPL : 97.98B *NPL Ratio: 2.8% *Profit After Tax : 148.988B *FX Profit: 74.84B *LDR : 84.9% *Deposits growth: 32.0% *Assets growth : 24.5% *CIR: 51.9% *ROA : 2.8% *ROE : 24.3% *NII : 28.8%
English
1
1
8
581
Chulo MT
Chulo MT@pappi_champ·
@KMkwawa Imagine hizi kampuni zenye uwezo wa kulipa gawio zingekua sokoni. Good numbers
Indonesia
1
0
0
16
Kelvin Mkwawa
Kelvin Mkwawa@KMkwawa·
STANBIC BANK TANZANIA LIMITED Audited Financials 2025 (TZS) *Loans & Advance: 1.827T *Customer Deposits : 2.298T *Investment in Gov Securities: 254B *NPL : 45.809B *NPL Ratio: 2.4% *Profit After Tax : 135.3B *FX Profit: 105BB *LDR : 75% *Deposits growth: 15.9% *Assets growth : 14.7% *CIR: 43.6% *ROA : 4% *ROE : 23.8% *NII : 6.5%
English
1
0
4
198
Kelvin Mkwawa
Kelvin Mkwawa@KMkwawa·
@ObBi_5 Fursa nzuri kuingia kwenye IPO hapo. Muhimu ni kujua bei watakayoanzia.
Indonesia
1
0
0
15
Kelvin Mkwawa
Kelvin Mkwawa@KMkwawa·
MWANGAHAKIKA BANK LIMITED Audited Financials 2025 (TZS) *Loans & Advance: 305.3B *Customer Deposits : 317.577B *Investment in Gov Securities: 20.548B *NPL : 1.746B *NPL Ratio: 0.6% *Profit After Tax : 13.236B *FX Profit: 847M *LDR : 80% *Deposits growth: 48% *Assets growth : 45% *CIR: 31% *ROA : 3% *ROE : 25% *NII : 15%
English
3
2
6
716
Imma Obeid
Imma Obeid@ObBi_5·
@KMkwawa Kaka, MH wanajiandaa kuingia DSE. IPO yao soon itatangazwa kwa mujibu wa Advert yao. Based on data za 2025, ni fursa nzuri kuichangamkia?
Indonesia
1
0
0
25
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Kama wewe ni mwalimu na una Bachelor Degree kufundisha shule hapa Dubai mshahara wako unakuwa Dirham 10000-15000 na zaidi unapewa nyumba ya kuishi +viza + medical na benefits kadha wa kadhaa Tena huyo ndo common Teacher hapo bado hujapiga mishemishe zako za TUITION baada ya kazi
Indonesia
12
24
356
18K
Imma Obeid
Imma Obeid@ObBi_5·
@YerickoNyerereT Yericko, move on brother. Mnamuibisha mzee Mbowe. Mitandao haisahau, anaeaibika sio wewe bali mwenyekiti wako!! Grow up man,
Indonesia
0
0
1
251
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ziko taarifa kwamba michango ya Marehemu Bungara (Bwege) iliyokusanywa mamiliomi na chadema kanda ya Pwani haijafikishwa, Familia inasikitika kutumia msiba huo kujipatia pesa bila kufikisha kwao.
Indonesia
102
21
53
16.3K
Kabigwa_Afya💊
Kabigwa_Afya💊@kabigwa_78·
Mafuta yanapanda kwa zaidi ya 1k+, then siku 2, 3 mbele Linaibuka swala la Mazaga kuibiwa na ndo inakuwa topic 😃🚮
Filipino
2
7
40
1.1K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Suala la Coco Beach limezua taharuki kubwa bila kuwa na sababu ya msingi. Haijulikani wazi lengo kuu lilikuwa nini, lakini kwa tafsiri ya haraka linaonekana kama jitihada za kuigombanisha serikali na wananchi. Lilipaswa kuondoka na watu hili kwa kushindwa kuwajibika.
Indonesia
16
1
25
5.7K
Imma Obeid
Imma Obeid@ObBi_5·
@Thommunkondya Kaka, unatetea vitu ambavyo mtu alieenda darasani akaishia std4 hawezi kutetea!. Hivi mnafaidika nini wakuu?
Indonesia
1
0
0
11
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
@ObBi_5 😂😂😂😂 kwa nini unahisi nataka teuzi wakati natoa ufafanuzi mzee
1
0
0
91
Imma Obeid
Imma Obeid@ObBi_5·
@Mwitah_tz Mnatafuta justification asee!! Ninyi sio binadamu wa kawaida for sure
Filipino
0
0
2
273
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
Copy & Paste hii prompt ChatGPT then share maoni yako. “Mradi wa uwanja wa mpira Arusha ulikadiriwa kugharimu TZS bilioni 187, lakini ulisainiwa kwa TZS bilioni 338.54, sawa na ongezeko la asilimia 81. From economic and financial perspective what can be the reasons” Asante.
Indonesia
17
8
89
21.3K
Imma Obeid
Imma Obeid@ObBi_5·
@cw_pedro Daaah kabla ya January 2025 hawa walionekana makamanda, mbadala wa mtawala aliepo
Indonesia
0
0
0
42
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Nilikuwa nasoma Article moja kutoka Zimbabwe, wakoloni kupitia Gavana, Ian Smith waliacha barabara [paved] kilomita 9,000. Baada ya Ukoloni Robert Mugabe akatengeneza kilomita 20,000 kwa miaka 20. Raisi aliyefuata ambaye ni wa sasa ana miaka 9 madarakani ametengeneza barabara kilomita 1,000 anataka mabadiliko ya katiba muhula uongezewe muda akae madarakani mpaka mwaka 2030😅 Something wrong with a blackman.
Indonesia
12
22
218
19K