Gonga jr
3.1K posts


@MK47YEKE @HildaNewton21 Pole sana kaka, huu uchungu n wa kwetu sote
Indonesia

@HildaNewton21 Inamaana Amekosekana Hata Mshirikina Mwenye Mapenzi Mema Na Hii Nchi Akawaloga Hawa TAKATAKA Wakafa Wote Kwa Pamoja? Au Wabongo Uchawi Wetu Niwa Kuharibiana Michongo ya Pesa Na Kugeuzana MISUKULE? Yaani Mnashindwa Hata Kumgeuza Mwigulu Kuwa NGURUWE? Daah Yaan Hapa Nina Hasira🤔🇹🇿
Indonesia

@ObBi_5 @VitusNkuna Ile biashara ilibuma mzee, ila anaroho ngumu huu unasiri sijui anautoa wap😂
Indonesia
Gonga jr retweetledi

@kono_well @Abraha1Brighton Kitu ambacho moyo wangu unakataa kabisa
Indonesia

@godbless_lema Lazima uichape kwanza uwe na uhakika, usije ukaoa afu ukakutana na mambo ya UDSM😂
Gonga jr retweetledi

#Pichani
Anaitwa Zuberi Idrisa Suleiman Kimaro alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa Polisi siku ya April 6, 2026 maeneo ya Kinondoni.
Familia yake imezunguka kumtafuta vituo vyote vya Polisi bila mafanikio.
#FreeZuberiIdrisaKimaro

Indonesia

Follow the TANZANIAN RED MEAT By Swahili Agribusiness channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Vb…
RealFule@RealFule
@haroldmafita97 Vp tuna group la whatsap kwa ajili ya mambo haya?!
English

@JohnKitokavo08 @HecheJohn Jambo gumu ila mmelieleza kwa lugha laini mnooo, bila kupepesa macho hatuko tayari kuridhiana na wauaji, katiba mpya ipatikane, uchaguzi urudiwe na wauaji wakamatwe
Indonesia

"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatutawasaliti Watanzania." Mhe. @HecheJohn
Indonesia

@safarimlevi Wanatufundisha wenyw ukatiri tukiwardishia wanasema tunalipwa kuvuruga aman
Indonesia

@RevocatusMagum1 Amini kwamba, mmoja lazima awe kolo mwingine utopolo Ina Raha yake
Indonesia



















