Boss kaja shamba bila kumtaarifu msimamizi wa shamba 🤣
Kumbe msimamizi katoroka kaenda kusalim mke Ila kaacha kazi saafi Mpunga unayeya.
#SinyelaSchmesMbaraliMbeya
Diaraa amefungiwa mechi tatu na kulipa faini ya shiling milion 4 kwa makosa mawili tofauti.
Milion mbili ni kosa la kutaka kumpiga refa na milion mbili nyingine ni kuonesha ishara ya matusi baada ya mechi kumalizika.
Aisee
Kuna Muda mambo yakiwa yanataka kuharibika unatumia njia za jadi kuokoa maisha ya Mmea,Hapa kuna Yaramilar winer,sukari,Mult K ya Balton,Calsium carbonate.Vyote tumechanganya kwa pamoja Ili Kuokoa maisha ya Mche flani wa nyanya shambani kwetu.
🚨EXCLUSIVE;
KESI YA DAMARO CAMARA NA SIMBA KUSIKILIZWA KESHO
Kesi ya Mohammed Damaro Camara iliyofunguliwa na Simba Sports Club kuhusu Uhalali wa kucheza kama Mchezaji raia wa Tanzania kinyume na taratibu za FIFA za ubadilishaji wa Uraia (Switching of Nationality) itasikilizwa kesho na Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji.
Klabu ya Simba imepinga hilo suala kwa Kwakuwa imeona Kanuni za FIFA zimekiukwa na TFF au Bodi ya Ligi haina Kanuni za Ubadilishaji wa Uraia hivyo Kanuni za FIFA ndizo zilipaswa kutumika. Kesi hii pia imeripotiwa FIFA ili uchunguzi zaidi juu ya Suala hili la Ubadilishaji Uraia lifanyiwe kazi!
1/2 Irati F1 Onion For Farmers Who Demand Results
Last season challenged many. This season, don’t leave success to chance.
Proven high yields in real fields
Uniform, market-ready bulbs
Preferred by results-focused farmers
From my experience as an Agronomist: the right variety +
Kuna Mfanyabiashara tulimuuzia mpunga Gunia 600 mavuno yetu ya mwaka jana kwa bei ya gunia 110,000/= akaendelea kuziacha palepale store kwa lengo la kuuza baadae kwa faida, Mpunga ukapanda mpaka kufika 140k kwa gunia nampigia mwana uza mzigo huu bei rafiki akawa anasema anangojea 150k ndio auzee nikamwambia sawa ghafla kibao Kimegeuka bei zikaanza kushuka kwa kasi hivi twaongea SALO5 unanunua kwa 105k-110k gunia moja, anapiga simu kama zote et nizichukue mimi kwa bei ya 140k 😆 namuuliza me nazipeleka wapi tena kama wewe wakati mpunga upo hizo bei uligoma kuuza @ThomasJosephat3@PichaNzuri@Mazikuagric wanunuzi wa mazao alafu waje kuuza baadae wanapaswa sana kusoma upepo na kuachana na faida za tamaa✍️