Tuu

629 posts

Tuu

Tuu

@TuuPhilbert

Am no body, just a human being.

가입일 Nisan 2019
393 팔로잉176 팔로워
Tuu
Tuu@TuuPhilbert·
@fintanjr_ Hebu tuweni wakweli bila kwenda na trend ya maoni juu ya huyu binti. Naomba uniambie hilo tangazo lina ubaya gani?
Indonesia
0
0
0
74
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Huyu manzi kama kafanya hili tangazo kwa sababu ni model au ambasador wa hii kampuni ambayo naamn hili tangazo halipwi even 10mil,. huyu hawezi kufanya nini kwa ajili ya pesa?!.. nasema kila siku, kuna uzenge mwingi sana na ushoga in the name of fashion💔🚮.
Indonesia
30
14
88
20.6K
Royal Media
Royal Media@royalmediatz·
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu nchini Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Said Mwaipopo amewatahadharisha wale wote wanaoratibu na kuandaa maandamano ya Julai 07, 2026, akiyaita maandamano haramu na kuwataka wale wote watakaoandamana wasithubutu kukanyaga Magomeni, Kinondoni, Sinza na Kariakoo kwani kipo kikosi kazi kilichojizatiti kuhakikisha wanadhibiti maandamano hayo. Sheikh Mwaipopo amebainisha hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaam, akiambatana na baadhi ya Vijana waliokuwa wamemzungumza na kutoa tahadhari ya maandamano hayo aliyoyaita kuwa haramu yaliyoandaliwa na wanaojiita wanaharakati, akisema wao kama Watanzania na watu wanaojitambua hawayatambui na hawayaungi mkono maandamano hayo. "Tunasema maeneo haya ya Magomeni, Kinondoni, Sinza na Kariakoo tunawaonya wasithubutu kukanyaga hiyo tarehe saba kwani tuna watu hatari sana ambao wanaweza kutembea juu ya kamba kwa zaidi ya kilomita moja, miongoni mwao ni hiki kikosi unachokiona hapa nyuma. Wallah, tumejipanga sana, tunawatahadharisha hayo maeneo msiguse, tuna vijana wanaitwa mbwa mwitu, tukiwaambia kamata wanakamata, kula wanakula, hawa vijana ni hatari wanatisha na ni watoto wa Mjini." "Kama kuna kijana wa Kitanzania anajihusisha na maandamano haya, sisi tunamnasihi kabisa aache, litakalokukuta usije ukamlaumu Mungu, mwanadamu au ukamlaumu mwanasiasa." "Maandamano haya kiuwazi kabisa, kama serikali itatumia nguvu, sisi tutatumia nguvu maradufu na tumemwaga watoa taarifa (informer) kila kijiwe cha kahawa, maskani zote, vituo vya bodaboda, ka bar, hoteli, guest house, kanisani na misikitini. Tuna vijana wazalendo huo kwahiyo sisi tukishakuwa na uthibitisho tu kuwa ulipanga njama hizo za maandamano, tutakuja kukuchomoa chumbani au kwenye andaki, hatutakuacha." Amesema Sheikh Mwaipopo.
Indonesia
19
10
36
5K
Tuu
Tuu@TuuPhilbert·
@royalmediatz Wakadanganye wake na waume zao kwa porojo hizo.
0
0
1
94
Royal Media
Royal Media@royalmediatz·
Serikali ya Tanzania imesema imechukua hatua mbalimbali za kuhakikisha ukweli, uwajibikaji na maridhiano vinapatikana kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku ikisisitiza kuwa suala la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linaendelea kushughulikiwa na vyombo vya sheria bila kuingiliwa na mamlaka za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa katika ufafanuzi rasmi wa Serikali kuhusu rasimu ya Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu Mpango wa Utekelezaji wa Mwaka 2026 kwa Tanzania, ambapo baadhi ya madai yaliyomo kwenye rasimu hiyo yameelezwa kuwa yanategemea taarifa zisizo kamili na hitimisho lisiloakisi hali halisi ya Tanzania. Kuhusu vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, Serikali imesema inatambua uzito wa matukio hayo yaliyosababisha vifo, majeruhi, uharibifu wa mali na madhara kwa familia nyingi, huku ikibainisha kuwa hayo ni masuala yanayogusa mustakabali wa mshikamano wa taifa, utulivu wa kisiasa na maendeleo ya demokrasia nchini. Serikali imeeleza kuwa kutokana na uzito wa matukio hayo, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliunda Tume Huru ya Uchunguzi iliyochunguza chanzo, mazingira na athari za vurugu hizo pamoja na kutoa mapendekezo ya namna ya kuzuia matukio kama hayo kujirudia. Aidha, Mei 18, 2026 Rais Samia aliunda Tume ya Uchunguzi wa Jinai kuhusu Matukio ya Vurugu Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, chini ya Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ally Lila. Tume hiyo imepewa jukumu la kufanya uchunguzi wa kina kuhusu vifo, majeruhi, watu waliopotea, uharibifu wa mali na makosa mengine ya jinai yanayodaiwa kufanyika katika kipindi hicho. Kwa mujibu wa Serikali, madai kwamba hakuna hatua zilizochukuliwa kuwabaini waliohusika na vurugu hizo hayazingatii ukweli kwamba uchunguzi wa kubaini wahusika binafsi bado unaendelea kupitia tume hiyo ya jinai. “Uwajibikaji utawahusu wote watakaobainika kufanya vitendo visivyo halali bila kujali nafasi zao, taasisi wanazotoka au mwelekeo wao wa kisiasa,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo. Serikali pia imebainisha kuwa pamoja na uwajibikaji, inaandaa mchakato wa maridhiano ya kitaifa utakaojumuisha vyama vya siasa, taasisi za umma, asasi za kiraia na viongozi wa dini kwa lengo la kuimarisha umoja wa taifa baada ya mgawanyiko uliojitokeza katika kipindi cha uchaguzi. Katika hatua nyingine, Serikali imeeleza kuwa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Rais haijachapishwa hadharani kwa sasa kutokana na sababu za kisheria, kiusalama na kulinda mashahidi pamoja na waathirika waliotoa ushahidi kwa masharti ya usiri. Kwa upande wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Serikali imepinga maelezo yaliyotolewa katika rasimu ya azimio la Bunge la Ulaya yanayomtaja kama “kiongozi wa upinzani aliyefungwa jela”. Kwa mujibu wa Serikali, Lissu hajafungwa baada ya kuhukumiwa na mahakama yoyote, bali anakabiliwa na mashtaka ya jinai ambayo bado yako mahakamani na yanasikilizwa na vyombo husika vya sheria. Serikali imesisitiza kuwa hatma ya kesi hiyo itaamuliwa na mahakama kwa kuzingatia ushahidi na sheria zilizopo, huku ikieleza kuwa Lissu anaendelea kunufaika na haki zote za kikatiba ikiwemo haki ya kudhaniwa hana hatia hadi itakapothibitishwa vinginevyo, haki ya kupata uwakilishi wa kisheria na haki ya kusikilizwa kwa haki mbele ya mahakama huru. “Serikali haiamui matokeo ya mashauri yaliyopo mahakamani wala kuelekeza mahakama namna ya kutoa maamuzi. Kufanya hivyo kungekuwa ni kukiuka misingi ya utawala wa sheria,” imeeleza taarifa hiyo. Katika ufafanuzi huo, Serikali imeonya dhidi ya hitimisho la kisiasa kuhusu kesi ya Lissu kabla ya mchakato wa mahakama kukamilika, ikisema hatua hiyo inaweza kuathiri uhuru wa mahakama na misingi ya haki. Pamoja na hayo, Serikali imeeleza kuwa itaendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya katika masuala mbalimbali ya maendeleo, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria kupitia mazungumzo na mifumo rasmi ya ushirikiano iliyopo kati ya pande hizo mbili.
Royal Media tweet media
Indonesia
26
8
81
17.3K
Tuu
Tuu@TuuPhilbert·
@PresenterNoah Trust me, the guy unayemuita anduje ni mrefu kuliko wewe mkikutana.
Eesti
4
0
9
2.5K
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Sema hili jamaa Kisaikolojia lipo strong sana limepambana na umasikini, limepambana na agenda mpaka sasa bado lipo fiti na linapambana Kuna kale ka andunje kalipigwa presha kidogo tu mpaka kakastaafu soka tena mara mbili wakakabembeleza na wakakaahidi kombe na wakakapa ila Mbuzi wetu bado ameendelea kua imara Ronaldo ni Goat 🐐
Presenter Noah tweet media
Filipino
155
86
953
39.8K
Tuu
Tuu@TuuPhilbert·
@godbless_lema Hakuna cha waliomzunguka, ni yeye mwenyewe. Matamko yake ya mara kwa mara anaposimama kuongea yanaprove hilo. Msitupie lawama matawi ya mti wakati yanapokea virutubisho vyake kutokea mzizi.
Indonesia
0
0
7
486
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Waliokuzunguka wanaweza kuwa wanakuzunguka, umeelewa mama? Wengine wanasema tu slow down juu yao maana wanakujua na kuijua familia yako vizuri. Siwapendi ndio maana na sanua deal.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
14
51
527
20K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa na pumbu la mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement. Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio uraiani wanaogopa hata kuitwa polisi. Wanaogopa hata kuitisha maandamano ya kumpigania Mwenyekiti wao atoke. Dunia nzima inachukua action ili Lissu atoke, dunia inapitisha miswada, inafutwa misaada ya TZ juu ya Lissu na human rights ila Chadema hawachukui action zaidi ya maneno kwenye masteji tena maneno ya uoga uoga, wanahakikisha sio maneno ya kuitwa central. Tatizo uongozi mzima kasoro Lissu wako soft. They are too soft kuleta ukombozi. Chama kizima kinafanya siasa za uoga kasoro mwenyekiti wao. Atakaechukia kwa statement zangu, chukia ikisha pasuka, tena ukiweza ni block kabisa, I don’t give a fuck!!!!’ Mimi sina chama na sipiganiii chama chochote, nachopigania ni Watanzania kupata HAKI na ACCOUNTABILITY then wao watachagua wenyewe chama chao na viongozi wao. So napoona the only people tunaowategemea kutupigania wanaonyesha uoga wa level hizi nakosa amani ya roho. @TunduALissu Mungu akupiganie utoke, uje urudishe uanaume kwenye hiki chama. Maana sasa hivi ni kama chama kinaongozwa na wanawake maana sio kwa u-soft huu.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
112
180
1.4K
88.2K
Tuu 리트윗함
Liberatus Mwang'ombe
Liberatus Mwang'ombe@Liberatus80·
BRUSSELS AND WASHINGTON ARE STARTING TO SPEAK THE SAME LANGUAGE The Issue Is Not Money. It Is Tanzania Being Written Into the Official Record. By Amani K. Mrope | Washington Bureau There are times when a country loses money. And there are times when a country loses confidence. Money can return. Confidence is much harder to recover. On June 17, the U.S. Senate Foreign Relations Committee advanced S.4577, legislation calling for a reassessment of the relationship between the United States and Tanzania and establishing a process to identify officials linked to repression and serious human rights abuses. One day later, on June 18, the European Parliament adopted a resolution calling on the European Commission to withdraw its proposed €156 million assistance package for Tanzania. Two days. Two continents. One conclusion. Two different institutions. Two different political systems. But one message. Tanzania is entering a zone of concern. For years, governments could dismiss criticism from activists, journalists, opposition parties, and human rights organizations as routine political noise. That is becoming more difficult. The conversation has moved. It is no longer confined to social media. It is no longer confined to political rallies. It has entered institutions. And institutions have longer memories than politicians. Brussels is writing resolutions. Washington is writing legislation. The European Parliament is raising questions about the 2025 election, the deaths that followed, disappearances, and accountability. And it is not doing so in the abstract. Its resolution is based on concrete developments, including Tanzania’s refusal to receive a delegation from the European Parliament’s Subcommittee on Human Rights and the continued detention of opposition leader Tundu Lissu for more than a year. Washington, meanwhile, is preparing to implement Section 5 of S.4577, which requires the U.S. government to prepare an official report identifying senior officials associated with allegations of serious human rights abuses. That is not an activist report. That is not a newspaper editorial. Those are official documents of the United States Government. At first glance, these may appear to be separate events. They are not. They are symptoms of the same development. Tanzania is being reassessed. The greatest risk is not the loss of €156 million. Nor is it the possibility of visa restrictions. The greatest risk is a change in perception. Once a country begins to be viewed as a partner with governance concerns, the effects appear in places most citizens never see. Investment committees. Banks. Lending institutions. Insurance companies. Development agencies. Corporate boardrooms. Investor conferences. The question begins to change. Instead of asking: “What opportunities does Tanzania offer?” People begin asking: “What risks does Tanzania present?” And once that question starts appearing repeatedly, the cost of doing business begins to rise. Investment becomes harder to secure. Credit becomes more expensive. Projects move more slowly. Some investors choose other destinations. This is why countries work so hard to avoid reaching this stage. Because reputation is easy to lose.And extremely difficult to rebuild. What makes this moment even more significant is that the United States and Europe did not arrive at these conclusions together. Each arrived there independently. Yet both arrived at the same place. That is the message Dodoma should read carefully. The United States has not said it wants to end its relationship with Tanzania. Europe has not said it wants to punish the Tanzanian people. Quite the opposite. The European Parliament did not call for the complete termination of assistance. It argued that support should be directed through independent channels and civil society rather than through government structures. Both sides have left the door open. But they are asking the same questions.
Liberatus Mwang'ombe tweet mediaLiberatus Mwang'ombe tweet media
English
10
168
443
13.7K
Tuu 리트윗함
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Tafsiri ya Kiswahili yenye mtiririko mzuri na inayohifadhi maana ya makala BRUSSELS NA WASHINGTON ZINAANZA KUZUNGUMZA LUGHA MOJA Tatizo Siyo Pesa. Tatizo ni Tanzania Kuingizwa Rasmi Kwenye Rekodi za Kimataifa. Na Amani K. Mrope | Ofisi ya Washington Kuna nyakati ambazo nchi hupoteza fedha. Na kuna nyakati ambazo nchi hupoteza imani ya dunia. Fedha zinaweza kurejea. Lakini imani ni vigumu zaidi kuijenga upya. Mnamo Juni 17, Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani iliidhinisha muswada wa S.4577, unaotaka tathmini upya ya uhusiano kati ya Marekani na Tanzania pamoja na kuanzisha mchakato wa kuwabaini maafisa wanaohusishwa na ukandamizaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Siku moja baadaye, Juni 18, Bunge la Ulaya lilipitisha azimio linalolitaka Tume ya Ulaya kusitisha pendekezo la msaada wa euro milioni 156 kwa Tanzania. Siku mbili. Mabara mawili. Hitimisho moja. Taasisi mbili tofauti. Mifumo miwili tofauti ya kisiasa. Lakini ujumbe mmoja. Tanzania inaanza kuingia katika eneo la kuangaliwa kwa wasiwasi. Kwa miaka mingi, serikali ziliweza kupuuza ukosoaji kutoka kwa wanaharakati, waandishi wa habari, vyama vya upinzani na mashirika ya haki za binadamu kwa kuuita kelele za kawaida za kisiasa. Hilo linaanza kuwa gumu. Mazungumzo yamehamia ngazi nyingine. Hayapo tena mitandaoni pekee. Hayapo tena kwenye mikutano ya kisiasa pekee. Sasa yameingia ndani ya taasisi rasmi. Na taasisi zina kumbukumbu ndefu kuliko wanasiasa. Brussels inaandika maazimio. Washington inaandika sheria. Bunge la Ulaya linaibua maswali kuhusu uchaguzi wa mwaka 2025, vifo vilivyofuata, watu waliopotea na uwajibikaji. Na halifanyi hivyo kwa nadharia. Azimio lake linategemea matukio halisi, ikiwemo Tanzania kukataa kupokea ujumbe wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, pamoja na kuendelea kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, kwa zaidi ya mwaka mmoja. Kwa upande mwingine, Washington inaandaa utekelezaji wa Kifungu cha 5 cha muswada wa S.4577, kinachoitaka serikali ya Marekani kuandaa ripoti rasmi itakayowataja viongozi wakuu wanaohusishwa na tuhuma za ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hiyo si ripoti ya wanaharakati. Hiyo si tahariri ya gazeti. Hizo ni nyaraka rasmi za Serikali ya Marekani. Kwa mtazamo wa kwanza, matukio haya yanaweza kuonekana kuwa hayahusiani. Lakini sivyo. Ni dalili za jambo moja. Tanzania inafanyiwa tathmini upya. Hatari kubwa si kupoteza euro milioni 156. Wala si uwezekano wa vizuizi vya viza. Hatari kubwa ni mabadiliko ya taswira ya nchi. Nchi inapoanza kutazamwa kama mshirika mwenye changamoto za utawala, athari huonekana mahali ambapo wananchi wengi hawaoni. Katika kamati za uwekezaji. Benki. Taasisi za mikopo. Makampuni ya bima. Mashirika ya maendeleo. Bodi za wakurugenzi wa makampuni. Mikutano ya wawekezaji. Swali linaanza kubadilika. Badala ya kuuliza: “Tanzania ina fursa gani?” Watu huanza kuuliza: “Tanzania ina hatari zipi?” Na swali hilo linapoanza kujirudia mara kwa mara, gharama ya kufanya biashara huanza kuongezeka. Uwekezaji unakuwa mgumu zaidi kupatikana. Mikopo inakuwa ghali zaidi. Miradi inakwenda taratibu. Baadhi ya wawekezaji huchagua nchi nyingine. Ndiyo maana mataifa hujitahidi sana kuepuka kufikia hatua hii. Kwa sababu sifa nzuri ni rahisi kuzipoteza, lakini ni ngumu sana kuzirejesha. Kinachoufanya wakati huu kuwa muhimu zaidi ni kwamba Marekani na Ulaya hawakufikia hitimisho hili kwa kushirikiana Kila mmoja alifika kwenye hitimisho lake kwa njia yake mwenyewe. Lakini wote wamefika mahali pamoja. Huo ndio ujumbe ambao Dodoma inapaswa kuusoma kwa umakini. Marekani haijasema kwamba inataka kuvunja uhusiano wake na Tanzania. Ulaya haijasema kwamba inataka kuwaadhibu Watanzania. Kinyume chake. Bunge la Ulaya halikupendekeza kusitishwa kabisa kwa misaada. Lilisema misaada ipelekwe kupitia taasisi huru na asasi za kiraia badala ya kupitia mifumo ya serikali. Pande zote mbili zimeacha mlango wazi. Lakini zote zinauliza maswali yale yale
Indonesia
9
43
134
5.3K
barawih
barawih@barawih2145·
@godbless_lema Vikwazo sisi ndo tunavitaka ili nyie mfurahi ...Goddii zamani nilikua nakuona mjanja pale OTTU maskni kwetu ila sa hv umekua Mangulo
Indonesia
7
0
7
3.3K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hivi waziri wako wa Mambo ya Nje Thabit Kombo anakuambia ukweli ? Nafikiri anakutia moyo zaidi ili ujisikie vizuri kuliko hali halisi. Mambo hayako kawaida kabisa. Amekuambia alichoambiwa na USA hivi karibuni ? Nafikiri is a nice guy zaidi for cookies and coffee especially anapokuwa kwenye diplomat corridor.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
27
121
1K
45.8K
Tuu
Tuu@TuuPhilbert·
@mangekimambi Wanafikiri bado wanaongoza manyumbu wa miaka 60 iliyopita.
Indonesia
0
0
3
313
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Ona hawa ma zero brain. Eti wauwaji wanatutishia hatupati katiba mpya mpaka tuwape maridhiano AKA tuwape legitimacy. Maridhiano na wauwaji hatutaki, tunataka haki…… NYIE TOENI HAKI KWA WATANZANIA, HAYO NDIO MARIDHIANO WANANCHI WANATAKA…. CCM n team yenu nzima ya wauwaji HAMUHITAJI KUKAA MEZANI NA MTU YOYOTE ILI MUWEZE KUTOA HAKI ILIYODAIWA NA WANANCHI OCTOBER 29…… TOENI HAKI NA NCHI ITARUDI ILIPOKUWA KABLA OCTOBER 29… TATIZO LENU WAUAWAJI NI MOJA, YOU HAVE NO INTENTION YA KULETA HAKI TANZANIA MAANA MNAJUA FIKA MKITOA HAKI HUO NDIO MWISHO WA CCM. HAKI IKIPATIKANA TZ NA CCM INAZIKWA SIKU HIYO HIYO, NDIO MAANA HAMTAKI KUTOA HAKI KWANZA ILA MNATAKA MARIDHIANO KWANZA SABABU MNAJUA MARIDHIANO YATAWAPA LEGITIMACY NA YATAWAPENI CONTROL OF THE SITUATION MAANA SASA MTAWEZA SEMA KWA INTERNATIONAL COMMUNITY - MSITUINGILIE SISI TUMEFANYA MARIDHIANO. Hakuna Mtanzania ataingia huu mtego wenu wa maridhiano ya kihuni, labda mtawapata Chauma na ACT aka wahuni wenzenu. Alafu mnatia aibu eti mswadwa wa Marekani umetaka Maridhiano. Hata english hamjui. Mswada umetaka dialogue- maongezi sio reconciliation- Maridhiano na mmeambiwa kuwe na 3rd party katikati ambao ni international and independent.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
29
141
691
34.2K
Tuu
Tuu@TuuPhilbert·
@tausilikokola Thank you so much dada. Tunakupenda na kukufurahia sana.
Indonesia
0
0
0
56
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
As I step to Juneteenth🇺🇸 then 🇹🇿flashes of much great things happened lat few days further humanity🙏 To those who fought for humanity…who we are fighting for justice …that showed results in the last few days (especially)you won another step toward justice. This victory belongs to every person who still believes in humanity, justice, truth, accountability, and the sacred dignity of human life….then acted accordingly. Many of their names will never trend. Many will never stand behind a podium, take a photo, or receive public recognition. Yet quietly, faithfully, and often at great personal cost, they keep fighting the good fight. As The Impossible Dream says: *“This is my quest, to follow that star, no matter how hopeless, no matter how far. To fight for the right, without question or pause. To be willing to march …. Sasa, let me tell you a story… maana ogopa wapole. Despite millions of dollars being spent on lobbying and image management, I couldn’t help but think about what that money could do back home. It could build desks so children don’t have to sit on the ground to learn. It could improve healthcare so expectant mothers don’t have to give birth on the floor or risk losing their lives because of inadequate services. 🇹🇿 Yaani ni hivi… while some were trying to shape narratives and manage perceptions, others were quietly working behind the scenes for truth, justice, and accountability. Some voices made difficult choices and refused to normalize human rights abuses or celebrate those perceived to be benefiting while ordinary citizens suffer. And when I heard officials were in town seeking meetings and photo opportunities, I did what many others did: I reached out, shared concerns, provided information, and trusted the truth to speak for itself. Go figure. Then go home. Because in the end, propaganda fades, but truth remains. Justice is the only answer. And on this Juneteenth, we are reminded that freedom is never handed over willingly-it is pursued by ordinary people with extraordinary courage. Every generation has its unfinished work. Ours is to keep speaking truth, defending human dignity, and standing with those whose voices have been silenced. We fought a good fight. We won another step toward justice. And we keep going. Happy Juneteenth May we never stop believing that freedom, accountability, and justice belong to every human being.
English
16
74
343
4K
Tuu 리트윗함
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
You cannot kill your people and lead them by force then expect the world to look away. NO Today, the European Parliament said NO to business as usual. MEPs objected to the proposed €156 million EU funding package for Tanzania, stating that concerns raised since November 2025 remain unresolved. They cited the fraudulent October 2025 elections, the violent suppression of demonstrations, the killings, the arrest of hundreds, the lack of accountability, and Tanzania’s repeated refusal to allow a European Parliament human rights delegation to visit. Kama hamuwataki nchini kwenu wachunguze, kwanini mnataka pesa zao? Who are you- are answering you. The message is clear: human rights, democracy, and the rule of law matter. Justice may be delayed, but the world is watching. While you are digesting responds from International communities, release Tundu Lissu NOW. 🇹🇿🙏🏾🇪🇺 Kiswahili: Huwezi kuwaua watu wako halafu eti uwaongoze kwa nguvu na kutarajia dunia inyamaze. Haiwezekani. Leo, Bunge la Ulaya (European Parliament) limesema HAPANA kuwategemea Kama business as usual. Wabunge wa Ulaya wamepinga pendekezo la kutoa euro milioni 156 kwa Tanzania, wakisema kuwa wasiwasi walioueleza tangu Novemba 2025 bado haujapatiwa ufumbuzi. Wametaja uchaguzi wenye dosari wa Oktoba 2025, ukandamizaji wa maandamano uliofuatia, mauaji, mamia ya waliokamatwa na kuteswa, ukosefu wa uwajibikaji, na kukataliwa mara kwa mara kwa ujumbe wa Bunge la Ulaya wa haki za binadamu kutembelea Tanzania. Walioulizwa-Who are you? Wanawajibu sasa. Yaani uwakatalie kusaidia kupeleleza kupata ukweli ila unataka pesa zao? Diplomacia haindeshwi kiubabe. Wote wanaotetea eti nchi iendelee bila uwajibikaji ya yaliotokea, na wao mikono yao ina damu. Ujumbe ni mmoja: Haki za binadamu, demokrasia, utawala wa sheria, na utu wa binadamu ni mambo yasiyoweza kujadiliwa. Mkiwa mnatafakari responds za international communities, Mwachieni Tundu Lissu sasa. Truth matters. Accountability matters. Human dignity matters. #JusticeForTanzania #freeTunduLissu #HumanRights #Accountability #TruthWillPrevail europarl.europa.eu/news/en/press-…
English
15
121
308
5.3K
Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo@Cristiano·
Não era o arranque que queríamos, mas isto está longe de ter acabado. Cabeça levantada e foco no próximo jogo.
Cristiano Ronaldo tweet media
Português
36.8K
69.4K
1.2M
40.7M
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
🐐 haugusi kabisa. Ni hawampelekei mali au yeye ndo haitafuti mali?
Filipino
43
20
524
21.3K