@prossoff Nyanda za Juu kuoa Single Mothers ni kitu cha kawaida mno kuna tatizo kubwa sana kwa Wanaume wa Nyanda za Juu wengi wanaoa Single Mothers na Malaya weupe wa Mbozi, Kondoa( Warangi) Wanyaturu na Wambulu wanaokuja huku kuuza Baa
Nimetoka kumuelekeza jamaa yangu jirani hapa ALIYEOA SINGLE MOTHER mwenye watoto wawili wakati yeye hana mtoto.
Aache na akome kutumia simu ya mdogo wangu ku BET
Nimemueleza sitaki mdogo wangu azoee michezo ya kubet.
Dogo ndio kwanza kamaliza form four, sitaki aanze wizi mapema.
Amenielewa na amesema harudii.
Watu wenye hela kummako zenu mkizoesha hawa mademu kuwapa hela na kuwapeleka sehemu za gharama WAOENI,, huyu namtongoza ananiambia twende dinner date nikaongee shida zangu wakati mm nimezoea dinner date anakuja kuilia geto💔🙌
Kuna wale marafiki zako umewa save kwenye simu yako wakikupigia au ukiwapigia hauwezi kuweka loudspeaker unajua tu neno la kwanza lazima aongee upuuzi au atukane.
Ukipokea tu simu yake neno la kwanza utasikia anasema " we mbwaaa niambie "
😃😃
@EngMapundajr Anko hii stori ya kweli ambayo imenikuta mimi wakati huo anawaambia watu wake mimi naishi naye nikiingia kazini yeye anatoka maana nilikuwa natoka saa kumi usiku kila siku mwaka mzima narusi saa nne usiku acha kabisa anko ni vile tu basi sasa hivi kanipeleka mahakamani nina kesi