고정된 트윗
BekaBOY 0.2
77.1K posts

BekaBOY 0.2
@barackmtulo
Don't see others doing better than you, Beat your own records everyday because, Success is a fight between YOU & YOURSELF #FeelTheDiffelence
가입일 Aralık 2014
361 팔로잉1.2K 팔로워

@e50232511 @Therealngassa Dunia ingekuwa hivyo ingekuwa sehemu salama sana
Indonesia

@barackmtulo @Therealngassa Na finland hizo ndo nchi za kuishi, uta ishi kwa amani
Filipino

@laban72085 @fintanjr_ Na wewe unatapeliwa janja?
Uyole Moja?
Indonesia

@fintanjr_ Bro acha masengenyo kwa man of God kama haumu appreciate bro just stay away hutopungukiwa
Filipino

@Jaguar_455 Uyu jamaa ukimtazama tuu unagubdua anahofu sana ya Mungu, na anaona mambo mengi mabaya yanafanyika huko Juu lakini ndo hivyo
Indonesia

@MwasegeYoh13805 @BillyTronix1 Majeshi gani yanasimamia nidhamu?
Indonesia

@BillyTronix1 Bila hat mamb meng kam huyo trafiki kakalili force number yake akamshataki hana kazi tena na kifungo juu hay majeshi yanasimamia nidhamu sana
Indonesia

Kama kuna ka ushahidi huyo soldier atajutia maisha yake yote hilo tukio
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏@munyamambogo
Hili tukio la kupigwa makofi trafiki msavu na mwanajeshi wananchi wameshangilia
Filipino

Wakili msomi, Peter Madeleka, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa kiongozi wa kwanza kulieleza taifa ukweli juu ya ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Aprili 27, 2026, jijini Dar es Salaam, Madeleka amebainisha kuwa Rais alionesha ujasiri kwa kusema wazi kuwa matukio yaliyosababisha vifo na uharibifu wa miundombinu yalichochewa na watu waliopewa fedha kwa ajili ya kuvuruga nchi.
Madeleka amesisitiza kuwa kilichotokea mwaka 2025 kilikuwa ni jaribio la mapinduzi ambalo lilidhibitiwa kwa weledi mkubwa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Amesema kuwa matumizi ya nguvu stahiki yaliyofanywa na vyombo vya dola yalikuwa ya lazima ili kuokoa taifa, kwani kama kusingekuwa na udhibiti huo wa haraka, hali ya amani nchini ingekuwa tofauti kabisa hivi sasa.
"Ni lazima kuvipongeza vyombo vyetu vya dola kwa kufanikiwa kudhibiti jaribio la mapinduzi ndani ya siku mbili tu. Walitumia nguvu stahiki kuzuia mipango ya watu waliokuwa wamelipwa fedha ili kuleta machafuko," amesema Madeleka
Indonesia

@Chalz03 @EngMapundajr @Muafrika26 Kwahiyo tusijadili ajali kwasababu zipo miaka mingi? Pia sababu sio ubovu wa barabara ajali zipo tu
Indonesia

@barackmtulo @EngMapundajr @Muafrika26 Hakuna uchawa hapo, mbona ajari zikogo miaka nenda rudi toka mabus yanasafiri asubuhi
Indonesia

@barackmtulo @EngMapundajr @Muafrika26 Solution ni kutengeneza barabara, haya mengine ni mbwembwe tu. Ajali ziko muda wote
Indonesia

@barackmtulo @RKishaija81715 Kabisa kwa mtu anaye fuatilia siasa za watu hao. Israel ina wanasiasa wengi wenye misimamo ya hovyo kuliko Bibi
Indonesia

Naftali Bennett ni radical kuzidi Netanyahu msidhani ni upinzani kwamba anapinga anayofanya Bibi ,bali yeye anaona hata hatua anazochukua Netanyahu hazitoshi
Ayubu Madenge@ayubu_madenge
Mawaziri Wakuu wawili wastaafu wa Israel yaani Naftali Bennett na Yair Lapid wametangaza kuunganisha vyama vyao ili wamshinde Benjamin Netanyahu kwenye uchaguzi mwaka huu. Mwaka 2021 wawili hao walifanya hivyo na wakamshinda Netanyahu, Ila baadaye akarudi tena kwenye kiti hicho.
Indonesia




















