@Captain RAJ.

2.3K posts

@Captain RAJ. banner
@Captain RAJ.

@Captain RAJ.

@captain_320nm

Life and Skills

Tanzania 가입일 Temmuz 2022
244 팔로잉346 팔로워
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Bien X Alikiba - Finale 🔥🔥🙌🏿
Eng.Mapunda Jr tweet media
Polski
7
18
51
674
Somoina Kapeen
Somoina Kapeen@SomoinaKapeen·
Projectors! We are not meant to fit in! You were designed to stand out to see differently, feel deeply, guide wisely. To be playful, expressed, imaginative, radiant, and wildly YOU.⁣
English
1
6
57
1.1K
@Captain RAJ.
@Captain RAJ.@captain_320nm·
@francismtey Hii imetokea juzi kati hapa. Kuna mtoto wa mama yangu mdogo yuko form four alimuuliza mchungaji, sadaka tunazotoa zinaenda wapi. Dogo baadae baada ya ibada aliitwa akaambiwa kuwa makini dogo utaniharibia punguza maswali.
Indonesia
5
0
1
944
I AM
I AM@francismtey·
Ulishawahi Kujiuliza Kwanini "DINI" zinakataa Kuuliza Maswali Yaani namaanisha KUHOJI. Wewe ni wa kukaa Na kuwa- Sikiliza wanachokwambia na Unatakiwa Ukubali hata kama Hakimake Sense. Mfano; Wanatuambia "MUNGU ( ANAKAA ) kwenye kiti cha ENZI" Alafu wanatuambia Tena... "Mungu ni Roho" Sasa Hoja ni kwamba. Kinachoweza Kukaa Chini ni Chenye "Physical Body" - MWILI Sasa ROHO inawezeje kukaa kwenye Kiti na wakati haina MWILI? 👀 ... FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
100
12
110
15.3K
Reads with Ravi
Reads with Ravi@readswithravi·
What’s one book you wish you could read again for the first time?
English
88
9
125
25K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Ni ishara gani ukiziona kwa mtu unajua kabisa huyu mtu ana akili Fupi? 😄
Indonesia
27
15
135
7.7K
BARÇAGUY
BARÇAGUY@blackculer·
Ukishapoteza au kuharibu tu ile charger ambayo uliinunua pamoja na simu kuna vihela vya kijinga sana hapo vitakuwa vinatoka tena muda ambao hutegemei 😂
BARÇAGUY tweet media
Indonesia
7
12
73
1.1K
@Captain RAJ. 리트윗함
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Mh ! Nimeona hii video nikajifunza mengi , Guys leo nawapa tu neno moja “BE HUMBLE” 🙏
Filipino
43
150
673
49.7K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Dunia haimtambui mnyonge mwanangu, pambana sana bila excuse, panapohitaji damu usimwage jasho, panapohitaji Mungu usipeleke dumba, panapohitaji Chale usipeleke Fungu la kumi. Panapohitaji Cash 💸 usipeleke Barua ✅️ Ikitokea umepoteza basi poteza kama Kylian Mbappe au Iran 🇮🇷
Sekenke One 🌻 tweet mediaSekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
11
40
196
5.4K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Ukishaona na hiko Kibegi basi jua Umo ndani hukosi charge ya simu, perfume na Chupi; Ogopa sana hii sample inaweza kulala popote pale .😂😂😹
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
68
53
531
22.7K
CODE 14 😜🔥
CODE 14 😜🔥@newton_code_14·
Changing your personality after watching a movie>>>
English
35
167
376
6K
@MrMawazo
@MrMawazo@Mr_Mawazo·
Wengi huniita mshamba kwa sababu zifuatazo👇 1. Siwezi kumsema vibaya mwanamke nilioachana nae. 2. Siwezi kuwa na mademu wengi kama wao 10+. 3. Sio mambo yangu kukesha kila siku club mpaka asubuhi. 4. Sipendi kununuliwa kitu na mwanaume mwenzangu Je na wewe ni mshamba...
Indonesia
4
10
39
1.4K
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Afrika tuna safari ndefu sana kuwa kama Iran. Mtu anaweka bendera ya Israel kwenye Gari lake mbele akiamini inamkinga na ajali za barabarani. Anaweka bendera kwenye nyumba yake akiamini itamfanya afanikiwe kimaisha na kumkinga na mikosi. Swala la Imani ni pana sana #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Indonesia
18
10
103
4.1K
@Captain RAJ.
@Captain RAJ.@captain_320nm·
@SomoinaKapeen Madame, can you provide me with the list of five books of spiritual knowledge.
English
0
0
1
172
Somoina Kapeen
Somoina Kapeen@SomoinaKapeen·
Unajua hii? Lemongrass Scientifically known as Cymbopogon citratus, lemongrass is a powerful, aromatic herb loved for both its refreshing citrus flavor and its amazing wellness benefits especially during chilly weather. Helps relieve flu and cold symptoms Supports immunity Soothes sore throat and cough Aids digestion and reduces bloating Naturally warming and relaxing A simple cup of lemongrass tea can help you feel refreshed, relaxed, and warmed from the inside out. Just boil fresh stalks in water, add a little ginger or honey, and enjoy a comforting herbal drink on cold mornings or evening
Somoina Kapeen tweet mediaSomoina Kapeen tweet media
English
12
33
224
11.6K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Nyuki ni NZI alie amua kuwa serious na mambo yake . Hata wewe unaweza kuwa serious na mambo yako .
Indonesia
7
11
28
943