Levocatus Mganga
9.5K posts

Levocatus Mganga
@dna_bongo
I believe in Freedom of speech, Human rights defender .
London, England 가입일 Eylül 2020
1.6K 팔로잉765 팔로워

@HakiBalozi255 @IAMartin_ Unaridhiana kitu gani Odero ? Yani mtu kakuibia na kuuwawa baadhi ya watu ktk familia yako ,,wewe unataka uridhiane nae ?be serious kidogo hata kama unataka cheo ,,,CCM ni magaidi na sehemu pekee wanayo paswa kuwa ni jela sio kutwambia eti maridhiano.
Indonesia

@IAMartin_ Maridhiano ya Kitaifa ni Tiba ya matatizo mbalimbali yanatusibu kama Taifa,MaridhiaMaridhiano yatasaidia kupatikana kwa Katiba Bora
Indonesia

MaCCM mlitueleza kwamba mmechaguliwa na watu milioni 32. Hii ni zaidi ya ½ ya watanzania wote milioni 61. Sasa, mnataka kuridhiana na watu Milioni 29 (ambao wengi ni watoto, siyo wapiga kura) kwa ajili ya kazi gani wakati mlichaguliwa kwa kishindo na watu wengi? MARIDHIANO mnayochagiza ni ya kitu gani wakati mnayo Serikali, mnalo bunge, mnazo halmashauri zote, mnazo kata zote, mitaa yote, vijiji na vitongoji vyote na mbaya zaidi mnazo roho za watu mliowaua kwa risasi za moto Oktoba 29 na kuendelea. MARIDHIANO yatawasaidia nini? Msitupigie kelele Bladifakeni.
Indonesia
Levocatus Mganga 리트윗함

MADELU SYSTEM MALFUCTION
Hivi huyu mlughalugha ni hana akili au anajitoa akili kwa makusudi ?! 🤔
Yaani
1Wao ndio Waibe Kura
2Wao ndio Waue Wananchi wasio na hatia kwa Risasi za Moto
3Wao ndio Wavunje Katiba ya Nchi
4Wao ndio wajiweke Madarakani kinyume na Katiba
5Wao ndio waibe Mali za Umma
6Wao ndio Wateke na Kupoteza Watu
7Wao ndio warithishe Watoto wao Madaraka na Fursa za Kimaendeleo
8Wao ndio wageuze Usalama Wa Taifa, Polisi na Jeshi kuwa their Mercenaries & Guns for Hire
9Wao ndio wafanye Ubadhilifu wa Kodi zetu na Fedha za Miradi
10Wao ndio wawape Viongozi wa Siasa Kesi za Uhaini, na kuwaweka Rumande Wapinzani na Wanaharakati
YOTE HAYO NA MENGINE MENGI, Still he has The Audicity to come and say, Kuna Kundi lingine ambalo linahatarisha na kuvunja Amani ya Nchi? Kweli?! PREACE BREAKERS pekee wa Nchi yetu ni CCM’s Murderous Kabal, that has attained supremacy & entitlement and now it has stopped serving the people but themselves; na ndio maana wapo tayari kuua Wananchi kwa Maelfu ili tu Wabaki Madarakani.
Hivi kweli Mtu mwenye Akili Timamu, mwenye aibu, haya na soni, anaweza kuwaambia Wananchi eti kuna watu wanataka kutuvunjia amani wakati Wananchi mpaka leo miili ya ndugu zao haijapatikana? Wananchi ambao mliwazimia Internet, mmeshindwa kuwapa Ajira na bado mka-restrict social media zao (na ndio wakijiajiri huko), ambao wameshuhudia watu wanatekwa Mchana kweupe na kupotea Mazima, Deusdetus Soka, Mdude Chadema, Humprey Polepole?
Okay tufanye mpo sawa! So nani anavunja Amani… Mange Kimambi? Amekulia Dar, akaishi Dubai na sasa yupo Beverly Hills, California? Okay nani, Maria Sarungi? Mtoto wa Profesa Philemon Sarungi? Au Wakazi, as is Webiro Wakazi Wassira? John Heche? Tundu Lissu? Mliyetaka kumuua kwa risasi Dodoma na sasa yupo jela? Au Roma Mkatoliki mliyemteka na kumuharibia career yake? au CAG wa zamani na Wasasa ambao wanaainisha madudu yenu?
Nyie ni SERIKALI HARAMU, na wewe Mwigulu ni mtu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, na historia itakusahau haraka zaidi ya kuliko kitu chochote!!
NYIE NDIO MNATUVUNJIA AMANI, NA MTALIPA!
The Leader

Indonesia
Levocatus Mganga 리트윗함

Great spending time with New York City’s Cutest. And thanks to @NYCMayor for giving me an excuse to break out my best “Wheels on the Bus”



English
Levocatus Mganga 리트윗함

‼️🚨UPDATE‼️
Pauline Pallangyo has been released after 10 days illegal detention - this is after her lawyer @PKibatala served the police with HABEAS CORPUS applications
As I said this was #EnforcedDisappearance that then turned to Arbitrary detention - all are crimes against humanity!
Asante Wakili Kibatala kwa kuwabana hadi penalti
#TutaelewanaTu

English
Levocatus Mganga 리트윗함

#BREAKINGNEWS
Pauline Pallangyo ameachiliwa huru siku ya leo Baada ya wakili Peter Kibatala kufungua KESI ya kuwataka Polisi wampeleke mahakamani au wamuachilie huru..
Haki imeshinda Pauline yupo huru.

Indonesia

Haya mambo haya yanaumiza sana 😭sikuwepo Tanznaia ,,I lost couple people I know ,,niliuguwa for months ,,Chadema don’t fall to CCM’s game ,,mtajizika kisiasa. Hold your excitement ,Kaeni chini ,,msikurupuke kuongea ongea na media ,,wakumbukeni watanzania walio uwawa October 29,,2025,,then fanyeni decisions anbazo zitawafanya heroes wetu ku feel proud kwa kujitolea damu zao ,,you have cards ,,don’t lower yourself to CCM ,,,hakuna maridhiano na CCM ,,hakukuwa na uchaguzi wowote October 2025 . Samia sio Raisi wa Tanzania ,watanzania walio uwawa uwajibikaji uchukuwe nafasi yake . Mkileta usenge,,watanzania WANAWAKATAA,,good luck Chadema.
Filipino

@WhiteHouse @mshikadau Yes America 🇺🇸 one nation under God 👍
English

@HakiBalozi255 @SuluhuSamia @HecheJohn @ikulumawasliano @HildaNewton21 @godbless_lema @zittokabwe @BrendaRupia Mbona unapingana na msimamo wa Chama chako?kuhusu so called serikali?
Filipino

@dna_bongo @SuluhuSamia @HecheJohn @ikulumawasliano @HildaNewton21 @godbless_lema @zittokabwe @BrendaRupia Mimi sina akili za kuambukizwa na hata Lissu amejitenga na hizo takataka hizo na amekuwa constructive kwenye mapendekezo yake
Indonesia

Serikali ione nia njema ya Lissu na hivyo kuwa tayari kufuta kesi zote dhidi yake.
Mbele Kuna Mwanga
@SuluhuSamia @HecheJohn @ikulumawasliano @HildaNewton21 @godbless_lema @zittokabwe @BrendaRupia

Indonesia
Levocatus Mganga 리트윗함

Commonwealth envoy on Tanzania’s post-election political situation and former Malawi president, Lazarus Chakwera, has held separate meetings with opposition leaders Tundu Lissu and Luhaga Mpina as part of ongoing consultations with political stakeholders thecitizen.co.tz/tanzania/news/…
English
Levocatus Mganga 리트윗함

BREAKING: Advocate Paul Kisabo visited Chairman @TunduALissu in Ukonga Prison. Lissu also confirmed he met with President @LAZARUSCHAKWERA and presented key reform demands.
Lissu calls for all charges to be dropped, an independent probe into Oct 2025 events, and a new Constitution, and urges Tanzanians to prepare for next political steps.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo


English
Levocatus Mganga 리트윗함

MWAMBA HUYU HAPA ATINGA OFISINI LEO LEO🔥
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. @hechejohn akiwasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar es salaam mchana wa leo.
#chadema

Indonesia

@ChademaTZ2 @MwauraRobert2 Hongereni sana sana Chadema 👏 hakika Haki siku zote inashinda. Mungu awabariki sana sana . Tusiwasahu ndugu zetu walio potea au kuuwawa ktk kipindi chote za harakati.
Indonesia
Levocatus Mganga 리트윗함

Msifurahie hukumu ya CHADEMA kufunguliwa.
Tulifungiwa kihuni ili samia suluhu hassan aende kwenye “uchaguzi” bila upinzani.
Tukutane kwa ground, kuna mengi ya kuzungumza na wananchi.
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Indonesia

@BohuslavskaKate @DanaSG4 It’s sad to hear people getting killed everyday ,,,but the naked truth is that countries are tired to fund your shit ,,better sit down with Russia ,,don’t wait for anyone to solve your shit . Good luck 👍
English

Vance says that stopping funding for Ukraine is one of his proudest achievements in this administration.
I’m watching this stunningly cruel speech from Ukraine, as Russia continues to kills us every day. Just today, they killed 8-year-old boy in Cherkasy and five people in Dnipro. Dozens more were injured.
The military assistance you are so proud of stopping was used to save lives in a war Russia started and continues every day by choice, in a war that only became possible after USA pressured Ukraine into disarming...
I do not know if Vance can fully comprehend the scale of the tragedy unfolding here: a brutal, illegal war of extermination by Russia, and the slow abandonment by our allies. There is nothing to be proud of. Absolutely nothing.
English

@kanyewest I don’t know why they wanna shut you down,,,you got amazing talent ,,
English








