Shandumbwe
925 posts

Shandumbwe
@110587
A very normal human being....Nothing elevates me above others
+255 Katılım Eylül 2009
380 Takip Edilen287 Takipçiler

📍Mwanza
#D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿
Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽
Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti
Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified
#D9Tunatoka
Filipino

@MariaSTsehai Check, you are out of moves pawns are surrounded tumia knights, bishops na rooks au hampo pamoja. Kila mtu anajilinda kivyake only pawns are expendable?
English

@FelicianGr360 @lifeofmshaba Akili yako ndo imeishia hapo sina budi kuheshimu maoni yako
Filipino

@lifeofmshaba Sema ukifuatilia marais wote waliokuwa waislam waliowahi kutawala tz ndo wamefanya madudu zaidi kwenye uongozi wao , sina udini ila ukweli ndo huo
Filipino

Kwenye kesi ya Tundu Lissu,
Samia ametuonyesha ujinga gani unaoweza fanyika kwenye uchaguzi.
Amekamata aliyekuwa waziri wa sheria wa Kenya Martha Karua, Amekamata CJ wa Kenya Willy Mutungi
Amekamata Wakenya wanaoingia nchini leo na kuwasumbua sana bila sababu
Huyu ni raisi wa aina gani ? Katili na muoga

Indonesia

@JKulwijila @Rydx_017 Anakuja kutubania pua…anachokitafuta atakipata
Indonesia

Asante Mungu
Ni matokeo mabaya lakini yenye kutupa maono wapi tunaelekea kwenye ujenzi wa kikosi chetu bora msimu huu
Tunakila sababu ya kujivunia maendeleo ya Project yetu ya muda mrefu iliyohusisha wachezaji wengi wapya wenye vipaji vikubwa na umri mdogo
Wana Simba matokeo ya leo yasiwatie unyonge kwani tupo katika njia sahihi sana na punde tutaanza kuogelea kwenye mito ya asali
Hii ni tofauti na msimu uliopita tulichukua ngao ya jamii lakini hatukua na timu imara ndio maana tukakosa Makombe yote, Msimu huu tumekosa Ngao lakini tunayo timu imara ya kutupa heshima hapo baadae
Ubaya Ubwela

Indonesia

@Elisafi_Fadhili Diamond Jubilee Hall na pia ukienda ardhi utakuta ana viwanja vingi katika miji mikubwa vinamilikiwa na Agha Khan Foundation…anavinunua katika harakati za kuanzisha Huduma za Kijamii
Indonesia

@HabiibYahya6 @mshambuliaji Alitaka kuuchoma moto uwanja na akaishia kushinda njaaa
Indonesia

@mshambuliaji Michuano ya shirikisho ina timu dhaifu sana. Simba angekuwepo msimu huu angebeba kombe. Goal 2 za kombe la shirikisho ni sawa sawa na shot on target 1 ya klabu bingwa.
Indonesia

Hiyo ndo Yanga.
✍️Yanga wakiwa hawana mpira shape ya ilikuwa 5-3-2 ,lengo la kwanza lilikuwa ni kuwa na vitendo vingi vya kiulinzi(defensive actions) kwenye idara ya kiungo na ulinzi(zone A na B).
✍️Ile pembetatu ya Mudathir,Bangala,na Farid Musa ilikuwa muhimu sana kwenye kipindi cha kujilinda na kushambulia.Shape hiyo ya pembetatu ilikuwa haipotei kabisa kwenye vipindi vyote.(attacking & defending).
✍️Licha ya kipindi cha kwanza Yanga kupata baadhi ya nafasi lakini hawakuwa na namba kubwa ya wachezaji ambao wangeweza kui overloads idara ya ulinzi ya Rivers United.
Kipindi Cha pili
✍️Nabi aliamua kubadili system,akaamua kuweka wacheza ambao ni runners (Kisinda na Moloko) kwa ajili ya kuupanua uwanja kwenye upande wa kulia na kushoto ( left channel & light channel).
✍️ Mabadiliko haya yalikuwa ya kiufundi kwasababu Yanga kwenye zone ya ushambuliaji wakatengeneza shape ya 3-2(Mayele,Aziz,Kisinda,Moloko,na Mudathiri),plan hii ilifanikiwa kwasababu Yanga waliongeza namba ya Wachezaji na kuongeza vitendo vya kiushambuliaji (offensive actions).
✍️Kitendo cha Rivers United kuwa more offensive kikasababisha kuacha space nyingi kwenye mistari yao miwili.(fisrt & second line).Hapa ndio ile threat ya Yanga kuwa na runners ikazaa matunda na kupata magoli.
Note.
✍️ Mwamnyeto anapiga pasi anakaba na anafanya joining kwenye build up ya Yanga.What a player 🙌🙌🙌.
✍️Moloko ni pressing machine kweli kweli,what a counter attacks creator🙌🙌🙌.
✍️Aziz Ki passing vision yake daah hatari✅
✍️Man of the Match |Mwamnyeto ✅✅
@omarrkombo12

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Filipino
Shandumbwe retweetledi






