Four

6.1K posts

Four banner
Four

Four

@24onFour

Tech Visionary | Proud Afrofuturist | Digital Guardian | Payment Systems Innovator | Disaster Recovery Maestro. Blending tech with tradition

Congo Brazzaville Katılım Ağustos 2010
611 Takip Edilen368 Takipçiler
Four
Four@24onFour·
@AnnaTibaijuka Kwa kumbukumbu zangu lissu ni mwenyekiti wa chadema ? Analiponyaje taifa ? Au taifa ni chadema ? Au ni pamoja na chandema ? Ukiinza hizi nyingi za nani aachiewe nani afanyeweje .... ilibidi magereza zote zifungwe kila mtu arudi nyumbani na CPA ifutwe.
Indonesia
9
0
1
1.3K
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Indonesia
113
588
2.2K
41.2K
Florentin Patriota Q
Florentin Patriota Q@Florenpatriotaq·
In 30 days, on Saturday, March 28, 2026, King Charles III of the United Kingdom and England will die.
Florentin Patriota Q tweet media
English
1.4K
2.4K
23.1K
3.6M
Four
Four@24onFour·
@Kipanga1986 @_zack255 ... na mimi nilizaliwa na mungu ? Anyway kila mtu tunaweza sema alizaliwa na mungu. Na by the way kila mtu atakufa. Sasa watch "your saying"
Filipino
0
0
0
68
Kipanga
Kipanga@Kipanga1986·
Huyu mama Polepole anampa mikwala nani na atafanya nini, kama yuko na uwezo wa kufanya kitu si atumie huo uwezo wake kumrejesha huyo mwanawe Familia ya mikwala, mama mikwala watoto mikwala😁😁😁 @_zack255 hivi yule Kanali wa Nato alishia wapi, vip yale masaa24 hajapita
Filipino
13
5
15
3.9K
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
Use @Grok to add Santa to your family pictures and videos!
English
6.2K
3.1K
69.9K
40.8M
Four
Four@24onFour·
@millardayo Wananchi wapige kura muigomee kisha kwa kutumia press unasema waliochaguliwa walishe serikali iongozwe na umoja wa mataifa. Anyway katiba hairuhusu hilo. Anayewashauri chadema anawaongoza vibaya.
Indonesia
0
0
12
1.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
“Kwa kuwa serikali haina uhalali wowote, CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa” “Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa” “Itahakikisha kuachiwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa na wote waliofunguliwa kesi za uongo, itahakikisha kuachiliwa kwa wote waliotekwa nyara na kufichwa katika mahabusu” —- John Heche #MIllardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
115
129
1.5K
72.9K
husseinkhalid
husseinkhalid@husskhalid·
In solidarity with Tanzania ✊🏽✊🏽✊🏽
English
67
415
2K
55.2K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Nimepokea taarifa za msiba wa mama mzazi wa Ndugu @MozaAlly_. Nitoe pole kwake na kwa familia yake pia. Ni dua na sala yangu kuwa Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani na kuwajalia nguvu na subira wafiwa wote.
John Pambalu tweet media
Indonesia
32
66
702
18K
Four
Four@24onFour·
@Benji_Fernandes Wananchi hawakuwa na internet ila serikali egov ilikuwa well connected. Tusijibu jumla jumla.
Indonesia
7
0
5
5K
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Nampa taarifa kiongozi HARAMU Samia kuwa kuna kijana aliuliwa Nyasaka, Mwanza kwenye lile banda la video ambalo watu wako waliwapiga risasi wote. Huyo kijana alifariki na kuacha mke na watoto wanne. Tangu tukio hilo litokee mke wake hajarecover kwenye hiyo trauma. Na jana usiku mke wake amejinyonga, anasema ni bora akaungane na mumewe 😭😭😭😭. Najua Samiya utakuwa na furaha kusikia habari kama hizi. But only one thing I know, Samia, not long time to come YOU GONNA PAY IT.
Filipino
55
386
1.4K
130.5K
Four
Four@24onFour·
@awamisammy Sammy. Nchi sio mara zote ni public. Lets focus on what is public in all scenarios. Kww kesi ya juzi. Watu waliopanga na kutekeleza mapinduzi yakaleta mauwaji and you dare to call them public. Wananchi wamekuwa misinformed kuhusu msimamo wa jeshi na media / social media.
Indonesia
2
0
2
734
Sammy Awami
Sammy Awami@awamisammy·
Hii ni kwa WANAHABARI wenzangu....
Indonesia
38
303
877
56.2K
zu wex_glasses 🇹🇿
zu wex_glasses 🇹🇿@zuhuram11287010·
Hellow customers Jipatie blue light glasses👓 Tumewaletea Mzigo mpya wa miwan (BLUE CUT) Usikose na hii🤗🔥 Inabadilika ikiwa juani 😎 📌Price 65,000 📍LOCATION Kariakoo livingstone na mchikichi Mikoani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa Karbu #bluerayglasses #zuwexglasses
zu wex_glasses 🇹🇿 tweet mediazu wex_glasses 🇹🇿 tweet mediazu wex_glasses 🇹🇿 tweet mediazu wex_glasses 🇹🇿 tweet media
Filipino
1
5
3
277
Bob
Bob@bob_mchelsea·
Nishushe matambara yangu ya leo.
Bob tweet media
Indonesia
12
3
76
6K
Four
Four@24onFour·
@Advocate_Jebra Kama rais hana mamlaka ya kuongilia maamuzi ya dpp. Je wanaoomba waliokamatwa waachiwe wanatumia mamlaka gani kufanya hivyo ? Au wanataka hizo kesi zifutwe kwa msingi upi ?
Indonesia
0
0
0
13
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Kuna Ng’ombe wanawadanganya kuwa Rais anaweza kutoa msamaha! Rais anatoa msamaha kwa wafungwa mtu ambaye anahukumu sio mahabusu! Hatutaki watu wakae ndani, lakini watu wanahaki kuwa nje wameonewa na hilo lazima liwekwe wazi! Wauaji wanajikoshaa!, Tunahitaji uwajibikaji!!
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
29
143
514
22.9K
Four
Four@24onFour·
@Udadisi Mnafanya asumption kwamba wauwaji walktumia bunduki pekee na kwamba bunduki hizo zilikuwa mikononi mwa serikali. Zikiletwa facts tofauti mnabeza.
Indonesia
0
0
0
28
Four
Four@24onFour·
@John_Pambalu Mwambie askofu akasome rejea ya kesi za uhaini perticularly ya bibi titi mohamed.
HT
0
0
0
105
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Ameandika Baba Askofu Mstaafu wa KKKT Stephen Munga "Nikifuatilia hii drama nzima ya kesi ya Lissu naona maombi yanafanya kazi. Tundelee kuomba"
John Pambalu tweet media
Indonesia
22
165
1.1K
17.7K
Haki Ngowi
Haki Ngowi@Hakingowi·
🔴 T E U Z I
Haki Ngowi tweet media
1
3
19
3.3K