Life Pundit 🎓
3.3K posts


Kachukua majukumu ya Ahmed Ally
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania
"Kwanza Loemba hajaletwa na JayRutty, alitafutwa na Kamati ya Usajili kwa kushirikiana na kocha. Mkataba wa JayRutty ndio unasema atasajili mchezaji mmoja ndio tukamwambia alipie gharama zake za usajili. Kwani Mohammed [Dewji] anavyosajili wachezaji kwahiyo ni wachezaji ni wa Mohammed. Na mkataba wa JayRutty unasema kila mwaka atasajili mchezaji mmoja hivyo na mwakani mjiandae kuna mchezaji mwingine atalipia gharama za kumsajili. Loemba aliumia tangu mechi ya Singida na alianza mazoezi juzi na kocha akamuweka benchi mechi ya Azam. Hakucheza sababu mwalimu aliona bado timu inayocheza ipo vizuri na hakutaka kuchukua risk ya kumchezesha."- Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori. #NguvuMoja
Indonesia

@Hunaiya153989 @Kil0voltI Nyoo znatofautiana sana hzo. Mtuulize wenyew what went wrong pind mambo yakienda mrama 🤣
Filipino

@Kil0voltI @Hunaiya153989 Wanaamin kwa kua wote wana K bas wako na uwezo sawa wa ku-handle game, 🤣🤣
Filipino

@Hunaiya153989 Wanawake bwana hua mnashangaza.
Unakuta mtu anakuuliza kwani yeye anakupa nini ambacho mimj sina (competition wise).
Hii dunia kila mtu na uwezo wake, unachoweza wewe mwengine hawezi.
So kila mtu ashinde mechi zake.
Indonesia

@MrDepalitto9 Biashara yoyote ni profitable km huifanyi wewe
Indonesia

@Adventure_36 Hii mambo watu wanaleta taharuk tu inabidi wapigwe mboko za kutosha kwa ku-disturb hii equilibriam iliyopo
Filipino

@255JrLiko Nikikufungulia kesi ya kunichafua una billion 1 ya kunilipa? Una ushahidi gani natumia madawa ya kulevya?
Indonesia


@Kiganyi_ Huyu jamaa kama kwel yupo bas siku za mkewe atakua anaziona yeye.
Indonesia


@Adventure_36 Inategemea ni kijana wa mlengo gan. Sio vijana wote wako kwenye mlengo huo so maendeleo atafanya tu.
Filipino

@AM_NIC3 Kama hii pia unauliza bas hufai hata kuwa na huyo mwanamke.
Indonesia

@TonnyUnfiltered Threesome ikiwa kama mande ni uchafu ila ikiwa threesome hamna uchafu🤣
Filipino











