
@CloudsMediaLive Kuna mtu analalamika hapa, kuilaumu Serikali na Yuko na demu ghetto au ana BET. Hakika jukumu la kufanikisha uokoaji ni letu SOTE kama hauko na nafasi ya kusaidia kwa kuwepo eneo la tukio basi unaweza acha Maasi na kujaribu kufanya ibada kwa ajili ya wahanga na TAIFA kwa ujumla.
Indonesia






























