6bert

1.4K posts

6bert

6bert

@6Sixbert

BSC. ANIMAL SCIENCE . Activist, maniu & simba fan.

Katılım Mayıs 2021
1.1K Takip Edilen587 Takipçiler
6bert retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Samia Suluhu Hassan is NOT my President. RT if you agree.
English
143
3.5K
6.8K
297.6K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Bus linapata ajali wanakufa abiria 50, ila Gavoo ikija kutoa habari lazima wapunguze idadi ya vifo, watasema wamekufa abiria 7 na majeruhi 12 tu!! Na hiyo ni ajali ya Bus tu ambalo hata hawajahusika nalo. Sasa ndio ije kuwa haya mauaji ya halaiki ambayo wamehusika kwa asilimia 💯 Lazima tu wapunguze numbers kupunguza chaos!!
Indonesia
26
135
1.2K
36.7K
6bert
6bert@6Sixbert·
@fbuyobe Jamaa anakupeleka wasap unalipa na hakuna story utapata,
Indonesia
1
0
2
840
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mwezi February 2017, Paul Makonda akiwa mkuu wa mkoa Dar Es salaam, alinukuliwa akitoa siku 10 kwa wazazi jijini Dar kung’amua kama watoto wao wanatumia au hawatatumii dawa za kulevya. Siku chache baadaye, Venance Mabeyo akateuliwa na rais Magufuli kuwa mkuu wa majeshi nchini.
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
29
61
966
104.2K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
"Tunapofunga, Hatufungi dhambi, sababu hakuna siku uliruhusiwa kufanya dhambi"
Indonesia
7
37
165
5.9K
Lucas Ngoto
Lucas Ngoto@lucas_ngoto·
Ila Mhe Lisu
Italiano
4
64
432
17.1K
babu G
babu G@Dominicogola28·
@kapeto98 Uhalisia ni kwamba thamani ya shiling inashuka sio kwamba eti ukiweka pesa leo baada ya miaka kadhaa inaongezeka,swali jepesi kilo moja ya maharage ilikua 1200 2018, halafu angalia leo kilo hiyo ni 3800, apo utasema maharage yameongezeka thamani?? Au nazingua 🥸🥸 niache bange
Indonesia
1
0
8
938
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Ukipata 10M Now Ukisema Uwekeze Kwenye MIFUKO YA UWEKEZAJI After 10 years ndio unauwezekano wa Kupata 10M nyengine Ambacho Kiasi hicho lazima Ukipate. Lakini Kiasi hikii Ukiingia nacho Kariakoo kwenye Uwinga au Ukiingia Kyela kwenye Kilimo cha Mpunga Kuna Uwezekano wa Kurudisha 10M within Six Months. Cha Kuzingatia Ni Kwamba Kwenye High Risk ya Kupoteza Kuna Faida Kubwa na Kwenye Risk Ndogo UWEZEKANO WA Kupoteza ni Mdogo. Wewe Unaenda Na Ipii..?
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
35
20
308
24.1K
6bert
6bert@6Sixbert·
@AbroadTanzania Wauze tu hiso dhahabu ila pesa tugawane wote. Kila mtu afe na chake
Filipino
0
0
1
1.2K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Hapa kuna orodha ya nchi zilizo na akiba kubwa ya dhahabu: 1. *Marekani (🇺🇸)*: tani 8,133 2. *Ujerumani (🇩🇪)*: tani 3,350 3. *Italia (🇮🇹)*: tani 2,452 4. *Ufaransa (🇫🇷)*: tani 2,437 5. *Urusi (🇷🇺)*: tani 2,330 6. *Uchina (🇨🇳)*: tani 2,304 7. *Uswisi (🇨🇭)*: tani 1,040 8. *India (🇮🇳)*: tani 880 9. *Japani (🇯🇵)*: tani 846 10. *Uholanzi (🇳🇱)*: tani 612 11. *Uturuki (🇹🇷)*: tani ~595-641 12. *Polandi (🇵🇱)*: tani ~448-515 13. *Ureno (🇵🇹)*: tani 383 14. *Uzbekistan (🇺🇿)*: tani ~361-362 15. *Kazakhstan (🇰🇿)*: tani ~324 Chanzo: World Gold Council / IMF IFS (Q3 2025 data, latest updates January 2026) Hiyo orodha ina nchi zilizo na akiba kubwa ya dhahabu duniani. Marekani inaongoza kwa tani 8,133, ikifuatiwa na Ujerumani (tani 3,350) na Italia (tani 2,452). Urusi na Uchina pia zina akiba kubwa ya dhahabu, tani 2,330 na 2,304 mtawalia. Kwa upande wa Afrika, nchi zenye akiba kubwa ya dhahabu ni: - *Algeria*: tani 174 - *Afrika Kusini*: tani 125 - *Libya*: tani 117 - *Misri*: tani 80.73 - *Moroko*: tani 22.12 Tanzania ina akiba ya dhahabu ya takarira tani 2.2, na serikali ina mpango wa kuuza akiba hiyo Kwako @godbless_lema @MariaSTsehai @TitoMagoti @IAMartin_ @MabalaMakengeza @HecheJohn @comanchechiefIV
Tanzania Abroad TV tweet mediaTanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
62
106
695
74.7K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Oyaaa Vibonge kuweni makini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
37
134
1.8K
30.8K
6bert retweetledi
SonkoScenes🎬
SonkoScenes🎬@1SonkoScenes·
Top 100 Survival Movies of All Time 🛟 1. Apocalypto (2006) 2. Cast Away (2000) 3. The Grey (2011) 4. 127 Hours (2010) 5. The Martian (2015) 6. Life of Pi (2012) 7. All Is Lost (2013) 8. Into the Wild (2007) 9. The Road (2009) 10. Gravity (2013) 11. The Impossible (2012) 12. Everest (2015) 13. Alive (1993) 14. The Revenant (2015) 15. The Edge (1997) 16. The Book of Eli (2010) 17. The Shallows (2016) 18. The Way Back (2010) 19. Children of Men (2006) 20. The Flight of the Phoenix (1965) 21. The Flight of the Phoenix (2004 remake) 22. I Am Legend (2007) 23. Rescue Dawn (2006) 24. The Thin Red Line (1998) 25. The Perfect Storm (2000) 26. The Poseidon Adventure (1972) 27. Contagion (2011) 28. The Hunger Games (2012) 29. The Patriot (2000) 30. The 33 (2015) 31. Defiance (2008) 32. Jungle (2017) 33. Hacksaw Ridge (2016) 34. Captain Phillips (2013) 35. World War Z (2013) 36. A Quiet Place (2018) 37. The Lighthouse (2019) 38. The North Water (2021) 39. Kon-Tiki (2012) 40. The Naked Prey (1965) 41. Arctic (2018) 42. The Mountain Between Us (2017) 43. Beasts of No Nation (2015) 44. Blue Lagoon (1980) 45. Swiss Family Robinson (1960) 46. The Road Back (1937) 47. The Black Stallion (1979) 48. Beckett (2021) 49. Adrift (2018) 50. Sanctum (2011) 51. The Cave (2005) 52. The Descent (2005) 53. The Abyss (1989) 54. Open Water (2003) 55. A Lonely Place to Die (2011) 56. The Last of the Mohicans (1992) 57. The Hunted (2003) 58. The Survivalist (2015) 59. The Postman (1997) 60. Mad Max: Fury Road (2015) 61. Mad Max 2: The Road Warrior (1981) 62. The Terminator (1984) 63. War for the Planet of the Apes (2017) 64. Apocalypse Now (1979) 65. The Deer Hunter (1978) 66. Cold Mountain (2003) 67. The Painted Bird (2019) 68. The Patriot (2000) 69. Enemy at the Gates (2001) 70. Black Hawk Down (2001) 71. Platoon (1986) 72. Unbroken (2014) 73. Jeremiah Johnson (1972) 74. The Killing Fields (1984) 75. The Outpost (2020) 76. Hostiles (2017) 77. The Beast of War (1988) 78. Lone Survivor (2013) 79. Red Dawn (1984) 80. Snowpiercer (2013) 81. The Day After Tomorrow (2004) 82. The Divide (2011) 83. Cloverfield (2008) 84. 10 Cloverfield Lane (2016) 85. Moon (2009) 86. The Fugitives (1993) 87. The Host (2006) 88. The Blair Witch Project (1999) 89. The Outlaw Josey Wales (1976) 90. Alpha (2018) 91. The Summit (2012) 92. Touching the Void (2003) 93. Ravenous (1999) 94. Cold Prey (2006) 95. As Above, So Below (2014) 96. The Wild (2007) 97. The China Syndrome (1979) 98. Carriers (2009) 99. Black Sea (2014) 100. The Ritual (2017)
SonkoScenes🎬 tweet media
English
14
101
412
50.6K
6bert retweetledi
Markandey Sharma
Markandey Sharma@TechByMarkandey·
If your Gmail says storage is full and you’re not getting emails, do this now. This helped me, and I hope it helps you too 😊
English
13
18
49
11.8K
6bert retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
KILA MTU ABONYEZE REPOST TAARIFA IFIKE MBALI.
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
19
1.1K
2K
26.9K
Ofisi ya Makamu wa Rais
Ofisi ya Makamu wa Rais@vpo_tanzania·
Ninaungana na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufikia mafanikio ya kihistoria ya kufuzu hatua ya 16 bora katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025). Tunawatakia kila la kheri katika michezo inayofuata. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ofisi ya Makamu wa Rais tweet media
Indonesia
9
16
54
2.6K
6bert retweetledi
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
HAWA NDUGU ZETU WANAHITAJI MSAADA WETU ILI WAWEZE KUPATA MATIBABU. Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali. Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia mwema alitujulisha kwamba Kuringe kafichwa kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam lakin alikuwa ameteswa sana kiasi kwamba alikuwa anatembelea tumbo maana alipigwa sana maeneo ya kwenye nyayo, magoti na mgongo. Disemba 22 aliachiwa kwa dhamana ya Polisi lakin hali yake kiafya sio nzuri bado anapata maumivu makali ya miguu na mgogo hivyo anahitaji kufanya vipimo ili aweze kupata tiba. Picha namba 2 ni Musa Ndile huyu alitekwa November 27, 2025 na maofisa wa Jeshi la Polisi, walimpiga sana na kumuumiza miguu yote miwili, Disemba 17 aliachiwa kwa dhamana lakin bado hawezi kutembea vizuri, anachechemea hivyo anahitaji matibabu zaidi ili aweze kuwa sawa. Picha no. 3 ni Alex Mutembei yeye alipigwa risasi ya kwenye paja Oktoba 29 lakin mpaka Leo hawezi kunyoosha mguu wake lakin pia mguu huo umeanza kuwa mwembamba hivyo anahitaji matibabu zaidi. Picha namba 4 anaitwa Martin Elia huyu alipigwa risasi Oktoba 29 hali ya mguu wake inazidi kuwa mbaya kwasababu anajiuguzia nyumbani, anahitaji msaada ili aweze kupelekwa Hospital kwa ajili ya matibabu ili aweze kupona. Hivyo basi tunaomba mchango wako kiasi chochote ulichojaliwa na Mungu ili tuweze kuokoa maisha ya hawa ndugu zetu Michango itumwe kwenye namba Mpesa: 0744719187 Jina: Musa Ndile
John Nguti Chadema tweet media
Indonesia
2
81
234
4.6K
6bert retweetledi
SonkoScenes🎬
SonkoScenes🎬@1SonkoScenes·
10/10🍿 Recommended Military Movie🎬
SonkoScenes🎬 tweet media
English
158
393
7.2K
1.4M
6bert
6bert@6Sixbert·
@AM_NIC3 Dalili za ugonjwa wa macho. Muone daktari wa macho
Filipino
1
0
0
201
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Nimeanza kuumwa kichwa (mishipa ya kichwa inavuta)toka week iliyoisha nimeenda hospital hamna ugonjwa nimemeza panadol za kutosha wapi, nimepigia wachaga wa Materuni bado,nimelala masaa ya kutosha na kupunguza matumizi ya simu bado. Ahhh kudadeq oyaa kichwa kinauma sana 🙌💔
Indonesia
23
10
51
4.1K
6bert
6bert@6Sixbert·
@fbuyobe Huko telegram mbona hatupati story mkuu
Indonesia
0
0
0
590
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Kama wewe ni mpenzi wa kutazama filamu, bila shaka utakuwa umefakinikiwa kuona filamu ya BANK JOB ya mwaka 2008 ikimhusisha star wa filamu za mapigano JASON STATHAM Filamu hii inahusu tukio halisi la mwaka 1971 la wizi wa katika benki ya Lloyds huko nchini Uingeleza
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
17
65
422
47.2K
6bert
6bert@6Sixbert·
@fbuyobe Sawa ila nimelipia hela na sijaungwa kweli grp
Suomi
0
0
1
11
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Bado nasoma jumbe zenu za goodwill wakati mnanipambania nikiwa matatizoni. Kwa kweli ni nyingi. Mimi ni mtu mzima na jasiri, lakini baadhi ya jumbe zenu zinanitoa machozi Ni kama nasoma wasifu wangu kwenye msiba wangu mwenyewe. Asanteni sana Siwezi kuwashukuru mmojammoja
Indonesia
95
331
2.4K
44.4K