Sabitlenmiş Tweet

ANKO TOLU STORE TUNAKULETEA BIDHAA MBALIMBALI ZA MAJUMBANI NA MAOFISINI KWA BEI RAFIKI KABISA
WASILIANA NASI KUPITIA 0768331336 #NewProfilePic

Indonesia
ANKOTOLU_STORE🏪
2.3K posts

@ANKOTALL_STORE
HipHoP Ghostfacekillah Method Man




Rapper @mex.tz amefunguka kuwa kwasasa Ulimwengu wa Rap yeye ndio anaumiliki kwasababu kila msanii wa HipHop ambaye anafanya vizuri au anataka kufanya vizuri ni lazima afananishwe na yeye jambo ambalo yeye anaamini kuwa ni Rapper bora ndio maana anashindanishwa na kila rapper kwasasa. ✍️ @mkogoty






yule Lunya nani role model wake kwani ? Anachana vizuri, flow kali...ila career yake since namsikia kila jiwe ni kujisifia tu 😃



Freestyle ya lunya inadakika mbili ila nimeona kama ndefu nkatoa. #TAKATAKA 🚮


