Sabitlenmiş Tweet
Mkanji Kondele (Advocate)
6.6K posts

Mkanji Kondele (Advocate)
@AdvocateKondele
Wakili| Corporate Attorney| Compliance Specialist | Conveyancer | Tax & Investment advisor|Litigator| Labour & ICT law Specialist| Probate & Human Rights
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2020
202 Takip Edilen9.4K Takipçiler


@MSAFWA_OG Pants Kali sana kesho tufanye jambo inshallah
Indonesia

Cargo pensi za kishua zipo dukani
Zimenyooka mnoo🔥📌
32000
Location ubungo external mataa
Mikoa yote natuma📌
Watsap 0763509705




OG OUTFITS❤️💃@og_outfits
Size 40,41,42,43,44,45,46,47 Bei ya jumla 16000 , Rejareja 20000 Location; Ubungo external Delivery ✅ mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja Contact 0763509705
Indonesia

@were46261 Worry out my dear km here for you and you have my numbers😊😊
English

Profile visits are private, so I can't access exact data. Based on my analysis of public engagements (replies) over the past week, here are 10 accounts likely frequent visitors to shetan8_, with estimated weekly visit rates inferred from interaction frequency:
1. DEP Pulse (dep_pulse) - 5 times/week
2. dotto ngatigwa (donga99x) - 1 time/week
3. FADHILI MALESO (maleso_f) - 1 time/week
4. Hungila Hungila (hungila8840) - 1 time/week
5. Doctor Mishy (SharonMontana20) - 1 time/week
6. Michael Jr Assenga (assenga_online) - 1 time/week
7. Tebogo Zwane (TebogoZwan69648) - 1 time/week
8. Chii Mare (ChiiMare) - 1 time/week
9. Hamis (Hamis089) - 1 time/week
10. Busati-TZ (BUSATI5) - 1 time/week
English

@innocentmwanga @ze_mandevu Karibu! @ze_mandevu, @innocentmwanga anavaa size 36 na anatuma boda wake sasa hivi dukani. Hongera tena, furahia zawadi yako! 🚀
Indonesia

Hey @grok naomba nichagulie mtu yeyote kati ya wale watakao comment hapa ili niweze kumpa zawadi ya nguo ya bure.

Filipino

@McinikaWaLamar Dudubaya unakuja vizuri sana angepata mtangazaji nzuri sana ingetisha zaidi
Indonesia

@gabyconscious So kama huwezi kueleza vizuri na utunzi risiti or transactions vizuri hata kama ela umepata kihalali ila una evidence Kaa kimya mtaalamu ukidakwa kutoka kwake inakuaa msala sana.
Filipino

@AdvocateKondele Kivipii kaka na wakati wewe huwa una stream 😂😂
Indonesia
Mkanji Kondele (Advocate) retweetledi

Hakika ni kuwa viatu vinafaa kuswalia maadamu ni twahara, havina najisi. Utwahara wa viatu ni kuwa vikavu.
Tufahamu kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) walikuwa wanaswali na viatu ambavyo walikuwa wanatembelea navyo ndani ya Msikiti.
Na kwa ajili hiyo Mughiyrah bin Shu‘bah (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema:
“Hakika Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alitawadha na kupangusa juu ya champali na viatu vyake”
(Ahmad na at-Tirmidhiy).
Na kauli yake Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) iliyopokewa na Abu Salamah Sa‘iyd bin Yaziyd aliyesema: “
Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu):
Je, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiswali na viatu vyake”. Akasema: “Ndio”
(al-Bukhaariy na Muslim).
Kwa hiyo, waweza kuvaa hivyo viatu hata ikiwa hakuna baridi. Na hata ikiwa umetokwa na wudhuu baada ya kuwa umevivaa ukiwa nao, huna haja ya kuvivua bali waweza kupangusa juu yake wakati wa wudhuu kisha ukaswali navyo maadamu kabla ya kuvivaa ulikuwa ushatia nia ya kupangusa juu ya viatu endapo wudhuu utaondoka na kabla ya kuvivaa uwe umetia wudhuu kwa kuosha miguu kabla ya kuvaa viatu.
Hivi vitu vinahitaji ELIMU…
Wengi tunavua kuepusha kuchafua mazulia/mikeka na sio vinginevyo!
Filipino

@Abrahlove77 Ndio itakuwa umeua kabisa mkuuu
Indonesia

@AdvocateKondele Alichokutegeshea wewe kitu, bila kujua kama uli-exchange 🥃AKAFA!!
POSTMORTEM Ikaonyesha cause of death ni sumu iliyokuwa kwenye kile kinywaji, ambacho mwanzo alikuwekea wewe!!
CCTV Camera zikaja kuonyesha mchezo mzima ulivyokuwa…
MWA MWI!!Sheria inasemaje Umeua?🤔
Una Hatia?
Indonesia

@ItsMrHealth Hakimu ni Wakili aaliajiriwa na Mahakama kufanya kazi ya kusikiliza na kuamua kesi.
Wakili ni mtu aliyemaliza law school (Kwa Sasa) na kuapishwa na Jaji mkuu na pia Wakili anaweza kuwa hakimu kama ataajiriwa na mahakama.
Indonesia
Mkanji Kondele (Advocate) retweetledi















