JB, Smoove
16.5K posts


‼️SERIKALI HARAM YA IDD AMIN MAMA IMEPANGA KUMUUA MHE. LISSU KWA RISASI‼️
Nimejulishwa kwamba baada ya Serikali haram ya Idd Amin Mama kuona mbinu zao zote za kutaka kummaliza Mhe. Lissu huko Gerezani zinavuja sasa wamekuja na mpango mwingine.
Mpango huu unaratibiwa na Paul Makonda na Faustine Mafwele.
Wamepanga kwamba kesi ya Mhe. Lissu itakapoanza kusikilizwa Mahakama ya rufani, atabadilishiwa Askari Magereza wale ambao huwa wanapanda nae gari moja kwa ajili ya kumlinda kila wanapompeleka na kumtoa Mahakamani badala yake wanaletwa Askari wa KMKM kutoka Zanzibar hao ndo watakuwa wanapanda nae gari moja na watavalishwa nguo za Askari Magereza ili wasishtukiwe.
Wamepanga kwamba mara baada ya kesi kuhairishwa Mhe. Lissu atakapokuwa anatolewa Mahakamani kurudishwa Magereza wakiwa njiani convoy ya Magereza itavamiwa na watu wenye silaha kisha watawafyatulia risasi kutakuwa kama kuna majibizano ya risasi then wale KMKM ambao watakuwa nae ndani ya Gari, watamuua kwa risasi humo humo ndani ya gari.
Then Serikali haram itakimbilia kwenye media kusema kwamba kauwawa na watu wasiojulikana so wanawasaka watu wote waliohusika kwenye shambulio hilo ili wasionekane kwamba ni wao.
Wamepanga mpaka watu wakuja kuwatetea kwenye mitandao ambao watakuwa wanasema Serikali haram haihusiki na kwamba kama ingetaka kumuua basi ingemuulia Magereza.
Yani Nduli Idd Amin Mama ameuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu, ameiba maelfu ya miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya Halaiki ili kupoteza ushahidi.
Tangu aingie madarakani hadi leo kateka na kupoteza watu zaidi ya 300 lakin bado hajatosheka na sasa anataka na damu ya Mhe. Lissu.
Wapendwa kama tusipompambania Mhe. Lissu hawa watu watammaliza huku tunaona maana mpaka sasa wameshagundua kwamba hawana ushahidi wa kutosha kumtia hatiani ili wamnyonge ndo maana wanapanga njama za kutaka kumuua kwa risasi akiwa bado mikononi mwao.
Idd Amin Mama anamchukia Mhe. Lissu kiasi kwamba anatamani kuona akiuwawa ili asionekane tena kwenye uso wa Dunia, yote ni kwasababu Mhe. Lissu kakataa biashara ya UDALALI WA SIASA ni mtu mwenye msimamo thabiti ambao Idd Amin Mama na washirika wake wanautafsiri msimamo huo kwamba ni kiburi.
Jambo moja ambalo wanatakiwa kulitia akilini ni kwamba kama wakithubutu kutekeleza huo mpango wao wa kumuua Mhe. Lissu hii nchi haitatawalika yani ya Maandamano ya Oktoba 29 itakuwa cha mtoto.

Indonesia

@TitoMagoti Utapeli mtupu ndo ukisoma tenda za michongo huko ndani ni utapeli mtupu hakuna kitu utakaa uelewe
Indonesia

Siku watu wameelimika sana, isipokuwa hiyo familia sijui wana tatizo gani, na hawana aibu!
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini
Naibu Waziri wa Elimu wa Tanganyika Wanu Hafidhi. 😂😂😂😂😂
Filipino

@chapo255 @Pinokyo100 Unakuta mtoto ndo kampa shostiake mchongo wa hotuba
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@assengajrr Sass iyo hela ya kununua hilo gari anaipata wapi mbona kama unamsema mtu tofauti na wa kipato cha chini
Indonesia

@BillyTronix1 Iran imejengeka sana zaidi ya miaka 3000 nyuma, ina culture zake, dini tofauti na jamii nyingi, Leo mtu aende kirahisi tu akapeleke ushoga 🙄
Indonesia

@_zolendronic Better Death than living on your knees... Hao wametoa maisha yao ili watu wao waishi with dignity & respect! Unaowashabikia wameufyata na kurudi makwao! Ukiwemo na wewe "shoga na kafiri"...
Indonesia

@Britanicca0 @Paul_Sweezy1 🤣🤣🤣 Uwe Mjinga halafu uwe na washauri wajinga oyaa.
Indonesia

@swahilitimes Watu mkienda msibani kwa malkia mnabebwa kwenye double coaster awasikilize nani nyie
Filipino

@Eric__Bernard Kukosea namba ndiyo unakuta nchi imeuza bandari kwa hela ndogo sana
Filipino


#TajiriLaKihaya
HABARI MPYA: IRAN IMETOA TAARIFA HII:
‘Hatutawahi kunyenyekea mbele ya wabakaji wa watoto na wauaji wa halaiki.
Tumeona hatima ya wale walioweka chini silaha zao mbele yao,kifo chenye heshima ni bora kuliko maisha ya fedheha.
Tutapigana kulinda nchi yetu na kuwafikisha hawa wahalifu wa vita kwenye mwisho ambao utaangamiza kabisa kiburi chao.
Tutazima mafuta na gesi kwa miaka mingi ijayo.’

Indonesia

@_SlimShady31 @GoodluckMalekoJ @Thommunkondya Siyo kila aliyetangulia ndiyo mshindi, wakati babaake mbowe ni tajiri bakhresa alikuwa kuli bandarini anabeba mizigo
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@GoodluckMalekoJ @Thommunkondya MO si ndio ana 2 sijui 3 billions wanasema?
Huyo ndio alipaswa kuwa kufika billion 50.
Indonesia

@simbamkuu @HecheJohn @bure_babalia Ndo anacholalamikia heche ku protect Cartel siyo wananchi. Supplier akifilisika atakuwa replaced tu demand ni kubwa sana.
Tanzania 🇹🇿 Filipino

@Bhyera @HecheJohn @bure_babalia Ndo maana bei imepanda ku protect suppliers. Unadhan kweny uchumi wana protect to consumers? Ili kesho uende ukose bidhaa ulalame tena? 😁
Filipino

Wewe kijana kibaraka wa cartels.
Wambie Watanzania mafuta yanayouzwa sasa yaliingia lini Nchini.
Je wakati yanaingia bei zilikua zimepanda?
Mafuta kusafiri kutoka yanakonunuliwa Mpaka kufika yanachukua siku ngapi?
Je mafuta yaliyonunuliwa baada ya vita na mtikisiko huu yameishafika nchini?
Usitumwe kusemasema tu kama umekatwa kichwa.
Nani anaeingiza mafuta Nchini, alipewaje hiyo tenda? Kwanini awe peke yake ? Alishindanishwa na nani?
Indonesia


@EsirEid kifo chenye heshima ni bora kuliko maisha ya fedheha.
💪🏿
Indonesia

@simbamkuu @HecheJohn @bure_babalia Ukaskia bei imepanda? Kwani nani anayethibiti bei hapa nchini? Kwamba kila mtu anajipandishia bei unafikiri hizo ni nyanya. Watu wakiongea na akili muwe mnakaa kimya msiaibishe ukoo.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@HecheJohn @bure_babalia Hivi ukiwa na mzigo stoo, af ukaskia bei imepanda ww ukaendelea kuuza bei ya zaman, mzigo ukiisha utanunua mzigo mpya ukubwa sawa na wa zamani ulioisha?
Filipino

@Thommunkondya @mhdhamad Hapa haijamaanisha wanunue bima maana yake nchi imeuzwa
Indonesia

@mhdhamad Ni ngumu kaka unauza banda la mtaji wa 100k bima shingap
Indonesia

@zittokabwe Mtu unashindwa ubunge na mtu kama babalevo kweli yani kigoma wanajua wewe ni dalali tu.
Indonesia

@mangekimambi Wanaompinga Trump sikuhizi ni walewale waliokuwa wanamuunga Trump wakati Putin anaivamia Ukraine. Ndo walewale waliokuwa wanampinga Kamala Harris, leo Trump anawanyooosha😂😂😂
Filipino

Uingereza, kuna msemo wao maarufu ambao unasema: “The King reigns, but the Prime Minister rules”(Mfalme anatawala, lakini Waziri Mkuu anaongoza)
Mfalme/Malkia hatawali nchi: Hawezi kutunga sheria, hawezi kupandisha kodi, wala kufanya maamuzi ya kisiasa. Ni nembo ya taifa na umoja (Head of State)
Nchi inaongozwa na Waziri Mkuu na Bunge, ambao huchaguliwa na wananchi kupitia kura. Hivyo, Serikali ndiyo inayoongoza. Nitafafanua kwa kirefu zaidi
Uingereza inafuata (Constitutional Monarchy) na Demokrasia ya Kibunge. Kuna mgawanyo kati ya kiongozi wa nchi (Mfalme) na kiongozi wa serikali (Waziri Mkuu)
Mfalme (The Monarchy) ndiye Kiongozi wa Nchi (Head of State), lakini hana mamlaka yoyote ya kisiasa. Jukumu lake ni la kisherehe na ishara ya umoja wa taifa
Mfalme hufungua rasmi Bunge na kusoma hotuba ya Mfalme (inaandikwa na serikali). Anapokea mabalozi na kufanya ziara za kiserikali kuwakilisha Uingereza
Sheria zilizopitishwa Bungeni lazima zisainiwe na Mfalme ili kuwa sheria. Lakini, hii ni taratibu ya kisheria tu; hawezi kukataa kabisa kusaini kwa sababu za kisiasa
Mfalme hukutana na Waziri Mkuu wa Uingereza kila wiki kwa mazungumzo ya siri. Ana haki ya kushauri, kuhimiza, na kuonya, lakini lazima abaki bila upendeleo wa kisiasa
Waziri Mkuu ndiye Kiongozi wa Serikali (Head of Government) na ana mamlaka halisi ya kiutendaji. Anasafiri na kuongoza sera za ndani na nje ya nchi
Ana nguvu ya kuteua au kufukuza mawaziri wa Serikali. Anasimamia mchakato wa kutunga sheria ndani ya Bunge kupitia chama chake chenye wabunge wengi
Ingawa Mfalme Uingereza ndiye Mkuu wa Majeshi kisheria, lakini Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye anayetoa amri za kijeshi/kuwajibika kwa usalama wa taifa
Mfalme wa Uingereza anawakilisha historia na utulivu wa taifa la Uingereza, wakati Waziri Mkuu anawakilisha matakwa ya kisiasa ya wananchi kwa wakati huo
Bunge la Uingereza ndio mhimili mkuu unaounganisha Mfalme na Waziri Mkuu (King-in-Parliament) ambapo mamlaka ya nchi yanagawanywa katika sehemu tatu:
House of Lords hawa ni watu ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Wajumbe wake ni pamoja na wataalamu, wanasiasa wastaafu, na viongozi wa dini
Wanapitia sheria. Wanaweza kuchelewesha au kupendekeza mabadiliko, lakini hawana uwezo wa kuzuia ikiwa House of Commons wamedhamiria
House of Commons; ndiyo chombo chenye nguvu zaidi, chenye Wabunge waliochaguliwa na wananchi. Hapa ndipo kodi zinapopitishwa na sheria kuu za nchi
Waziri Mkuu lazima awe mbunge kutoka House of Commons. Kila Jumatano, anajibu maswali magumu kutoka kwa wapinzani (Prime Minister’s Questions)
Mfalme haingilii Bunge, lakini ndiye anayekamilisha mchakato. Muswada hauwezi kuwa sheria (Act of Parliament) hadi Mfalme aweke saini (Royal Assent)
Mfalme ndiye anayevunja Bunge la Uingereza kuelekea uchaguzi mkuu, lakini mfalme wa Uingereza hufanya hivyo tu baada ya kushauriwa na Waziri Mkuu
Waziri Mkuu na Baraza wanapendekeza. House of Commons: Wanajadili na kupiga kura. House of Lords: Wanatoa ushauri wa kitaalamu. Mfalme: Anatia saini
Kisheria, mamlaka yote yanatoka kwa Mfalme. Majeshi ni “His Majesty’s Armed Forces” na Serikali ni “His Majesty’s Government. Hii kisheria inaitwa ‘De Jure’
Kiuhalisia (De Facto), nguvu zote zipo katika mikono ya Waziri Mkuu kwa sababu yeye ndiye anayewajibika kwa wapiga kura kutokana na chama chake kuchaguliwa
Ikiwa Mfalme atajaribu kutumia mamlaka yake kuzuia sheria ya Waziri Mkuu bila sababu za kikatiba, inaweza kusababisha mgogoro mkubwa wa kitaifa, Uingereza
Hivyo, Mfalme wa Uingereza ni kiongozi wa nchi (ishara tu, unaweza kusema ceremonial, utakuwa hujakosea), na Waziri Mkuu ndiye kiongozi wa serikali (mtendaji)
Katika muundo wa Uingereza, Waziri Mkuu ndiye kiongozi mkuu wa nchi kiutendaji. Haamriwi na Mfalme; badala yake, ndiye anayemshauri Mfalme nini kifanyike
Mfumo wa Uingereza unategemea mila na mizani ya nguvu kati ya bunge (Waziri Mkuu) na ufalme ili kuzuia mtu mmoja kuwa na nguvu zote (Absolute Power)
Indonesia

Mbona waingereza wenyewe wametawaliwa na familia moja kwa miaka na miaka.
BBC News (World)@BBCWorld
Burkina Faso must 'forget' about democracy, military leader says bbc.in/41bOuGU
Polski

@mangekimambi Issue ya Iran umejiharibia, Sawa na USA kajiharibia , learn timing
Indonesia


@lifeofmshaba Na bado zimebaki nafasi ngapi maana utashangaa dulla nae ndani mjengoni
Indonesia

Toka wameua watu October ni wamechanganyikiwa wana wazimu
hakuna suala wanafanya la akili, utaratibu au busara ya kawaida
Kesi ya Lissu wanayemtamani kumuua ina wachanganya, Kibibi kinasema hakuna uwezo hata chembe kupambana na mwana siasa kama Lissu
yaani kwa sasa ni kukoroga kama watoto wadogo




Indonesia





















