Baraka barakaa

479 posts

Baraka barakaa banner
Baraka barakaa

Baraka barakaa

@AgustiFilimoni

Rayo

Katılım Mayıs 2022
868 Takip Edilen193 Takipçiler
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Utawala ama uongozi ulipo madarakani kwamwe usikufanye ukailichukia Taifa lako Nawashauri wanatanzia wenzangu tulipe support Taifa letu kwenye mchezo wa leo naona kuna baadhi ya watu wameiua bongo kwenye mikeka yao
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
48
14
68
2.9K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kwahiyo nisipost mikeka leo mpaka tumalize kushauriana kuhusu kuacha CASHOUT sio?
Filipino
36
30
368
9.8K
Baraka barakaa
Baraka barakaa@AgustiFilimoni·
@Sativa255 Bro Yan hata Mimi nilikua nawaza utaongea nini lakin kusema tu ukwel me naona Kuna akili kidogo mungu alikuongezea kuliko sisi asee respect Sana bro
Filipino
0
0
1
191
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
LEO NI SIKU YA KUTUSHAURI TUU—IKIPITA LEO HATUJAKUELEWA BASI UMETUKOSA. #tutakuwepo🫵🏾😎
Indonesia
40
69
519
15.6K
MK
MK@CFCMamo·
This is theft @Safaricom_Care , why deduct money when i don’t have any fuliza limit? When did you guys start stealing???
MK tweet media
English
54
61
342
65.7K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Sportybet tunawapa PROMO BURE ila chamoto wanakiona huko.😁 Mimi sifanyagi PROMO BURE matajiri wanaonijua wanajua misimamo yangu-naijua thamani yangu tangu nikiwa NJUKA. Najua ninachofanya saizi ni promo kwa Sportybet ila maumivu ya hii promo wanayajua wao japo hawawezi kusema
SATIVA tweet media
Indonesia
24
74
1.3K
80.3K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Leo nimefikisha Followers LAKI MBILI Tiktok. Zimekuwa siku 86 tangu kuanza mwaka na za kujaribu njia mpya ya kuishi mtandaoni. Nimetengeneza Contents zaidi ya 614+ kwa kipindi hiki kifupi. Mwaka ulipoanza nilisema nakuja kutoa shule ya KAMARI nafikiri elimu imefika mtaani. Nimefanya kamali X kwa miaka mitatu—sasa nimehamishia shughuli hizo kwenye platform zingine na nashukuru MUNGU nimepokelewa. Huu ni mwanzo wa mengi makubwa—kitu pekee ambacho nakijua kutoka kwangu ni kwamba nikitaka kufanya JAMBO langu lazima liwe. Energy na creativity ya kufanya mambo yangu NINAVYO, lakini yote bila MUNGU ni BURE. Acha tuone hii ngoma itaenda mpaka wapi, ila kwakuwa “MUNGU DEREVA” TUTAFIKA TUU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
28
42
483
23.2K
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Hali ya @MariaSTsehai ni mbaya amekuwa mtu wakufanyiwa kila kitu yani hata kikombe kunyanyua cha chai ni kazi. Pray for her.💔
BARADHULI🇹🇿 tweet media
Indonesia
64
29
167
29.9K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Kutoka ndani ya Moyo wangu, tena kwa unyenyekevu mkubwa na furaha tele ninapenda kuwashukuru kwa salamu zenu za kunitakia heri ya kumbukumbu ya Kuzaliwa. Hakika mliifanya siku yangu iwe ya pekee na Mungu awabariki sana. Tuendelee kudumisha undugu, upendo na umoja daima. Asanteni
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
26
41
478
6.1K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Tunachoweza kama TAIFA ni; 1. KUTEKA wapinzani. 2. KUSHUGULIKA na CHADEMA. 3. KUSHUGULIKA na LISSU. 4.POLISI kuuwa wananchi kwa kupiga risasi za VICHWA. Nchi imeoza kila kona.
SATIVA tweet media
Filipino
24
114
874
14.7K
civiliZED JIWE
civiliZED JIWE@Yassin_Jiwe·
Narudia tena, msidhihaki MSIBA, sio maadili yetu ya kitanzania.
civiliZED JIWE tweet media
Indonesia
20
3
52
3.4K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Upungufu wa mafuta katika vituo vya petroli nchini Tanzania 🇹🇿 umetengenezwa kwa makusudi na wafanyabiashara walafi na wenye nia ovu wa mafuta wanaotaka kunufaika na vita kati ya Marekani, Israel na Iran. Hakuna nchi nyingine yenye upungufu wa mafuta. Isipokuwa kama tunanunua mafuta yetu kwa rejareja kila wiki kutoka UARABUNI! Kimsingi, tunapaswa kuwa na akiba ya mafuta ya zaidi ya miezi 3. EWURA inapaswa, angalau kwa mara moja, kutumia mamlaka yake ya udhibiti na kufuta leseni za wafanyabiashara wa mafuta wanaowanyonya wananchi! AU WATUNGA SHERIA NA WENYEWE NI WAFANYABIASHARA??

ZXX
1
0
0
1.1K
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
“Si wote wanaotamani kutuona tukiwa na amani na utulivu,” Rais Samia awaasa Watanzania kudumisha mshikamano na umoja wa kitaifa
Filipino
63
37
135
38.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, unatarajiwa kuagwa katika Mikoa Mitatu kabla ya kuzikwa Nyumbani kwake Idodi, katika Jimbo la Ismani Mkoani Iringa. Kwa mujibu wa Ratiba ya Mazishi iliyotolewa, itaanza leo Machi 26, Jijini Dodoma ambapo Viongozi mbalimbali na Wananchi wataendelea kusaini Kitabu cha Maombolezo, huku mwili wa Kiongozi huyo ukitarajiwa kuwasili Nyumbani kwake majira ya jioni, na kisha tarehe 27, Machi kuagwa katika Viwanja vya Bunge ambapo Wabunge watapata nafasi ya kutoa Heshima ya mwisho kwa Kiongozi huyo. Baadaye, Mwili huo utasafirishwa hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na Wananchi pamoja na Wadau mbalimbali katika Viwanja vya Karimjee, tarehe 28, Machi. Ratiba hiyo itaendelea Mkoani Iringa kuanzia tarehe 29, Machi, ambako mwili wa marehemu utafikishwa kwa ajili ya kuagwa na Wananchi wa eneo hilo kabla ya kusafirishwa hadi Kijijini kwao Idodi kwa mazishi rasmi yatakayofanyika Machi 31, 2026. Aidha, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuwaongoza Waombolezaji katika msiba huo. Lukuvi, ambaye alikuwa Mbunge wa Isimani kwa muda mrefu, amefariki dunia Machi 25, 2026 Jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Kifo chake kimeacha pengo kubwa katika Uongozi na Siasa za Tanzania, huku akikumbukwa kwa mchango wake wa muda mrefu katika Utumishi wa umma. #MillardAyoUPADATES.
millardayo tweet media
Indonesia
58
5
212
31.9K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wakati Mwalimu yupo hai na Mwinyi akiwa Rais, kabla ya uchaguzi wa vyama vingi, kipindi ambacho USD 1 =Tsh 500. Siku kama ya leo nilizaliwa ndani ya Nchi hii iliyojaaliwa watu wenye Upendo. Leo ninapoadhimisha siku hii, naomba dua zenu nizidi kuwa mtu mwenye mchango kwa Nchi hii.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
221
137
1.7K
36.1K
Baraka barakaa retweetledi
Mzalendo wa Taifa
Mzalendo wa Taifa@mzalendo_taifa·
TUSUBIRI UNABII MWINGINE UTIMIE, HAWA MANABII TUWE TUNAWAELEWA SASA MAANA HATA KITUO KINAFUATACHO TAYARI KINAJULIKANA.
Filipino
17
87
509
42.2K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Tusiposhukuru kwa hiki kidogo basi hata KIKUBWA tutashindwa kushukuru. OFF TARGET NYINGINE HII sio mbaya sana. TARGET AFE SAMIA. MWAGA MOTO KAMA MADRAGON WANANGU KUSHUREKEA KIFO CHA LUKUVI. 🔥🔥🔥🔥 REPOST 500
SATIVA tweet media
Filipino
115
317
1.7K
31.7K