Alais Olekori
12 posts


@CavityDamas23 Songwe kuna biashara kubwa za madini, SADC gateway, njia ya kuelekea Kitulo NP na Nyerere NP, na mashamba makubwa.
Uwanja wa So gwe wanauita kabisa, International Airport.
Filipino

#TajiriLaKihaya
Wakamaria… Ukiwachana Ukweli …
Hasa ma Punter utawaona wanakuambia unawaharibia UGALI WAO😅
Ila leo hao hao wakamaria… wanaharibu Ugali wa JAMAA LA FOREX…
Wote ni Matapeli tu- hakuna mwenye uafadhali😅😂💯
Indonesia

@AlaisOleko @ThomasJosephat3 Kwa mara ya kwanza naona watu wanazungumzia mambo na watu wa nyumbani, mnamjua hadi Matono?
Indonesia

This is Kapunga
Kuna mzee wangu mmoja ni rafiki yangu sana kwa Jina X.
Mshauri wangu
Hiki ndiyo kilimo chake kwa misimu 4 mfululizo
1.KUKODI SHAMBA 42OM
2.Kulima 168m
3.Mbegu Gunia 800(120m)
4.Mbolea 330m
5.Palizi&Madawa 150m
6.Kuvunia 180m
Total costs 1.4B
Mavuno Gunia 48,000(4.8B)
Dunia ina maajabu yake, na mzee X anasema anajifunza mambo mengi sana kwangu!


Indonesia
Alais Olekori retweetledi
Alais Olekori retweetledi
Alais Olekori retweetledi









