Alexander
21.9K posts

Alexander
@AlesandroJR
| Philosophy | Theology | Roman Catholic |Ps 20:7| Pray, Hope And Don't Worry |God wins in the end| Uncouth & Impolite get BLOCKED🚫
East Africa Katılım Nisan 2018
8.2K Takip Edilen33.9K Takipçiler

@_mike2019 Hatufanani katika mahitaji. Watu wanafanya ambacho wana uhitaji nacho. Wao wameona wanahitaji Kanisa wakajenga. Usiongee kwa niaba ya dunia. Hapo ulipo kama unaona mnahitaji viwanda, shule na hospitali huo ni uhitaji wenu. Jengeni kama wao walivyoona wanahitaji Kanisa wakajenga.
Indonesia

@AlesandroJR Dunia haihitaji makanisa wala misikiti mizuri na mikubwa kwa ajili ya maendeleo ya watu wao. Dunia inahitaji viwanda, Shule, hospitali za kisasa na wabunifu wa dunia ijayo. Waafrika tuache kupenda kusikia vitu vizuri. Lets get out of our comfort zone
Indonesia

@AlesandroJR Nitake nitende mema tu
Na mwisho nije kwako juu Amina
Hii ulisahau bro Samahani lakini
Indonesia















