
Lovechild
295 posts



Yanga wameomba Fidia ya Bilion 10 kwa Wilson Uruma endapo akishindwa kuthibitisha maneno yake. Watu wako serious sana



Ney Wa Mitego,NIFFER, @Roma_Mkatoliki @Wakazi Hawa Ndio Wasanii wanaojitambua .. TANZANIA Hao wengine waliobaki ni Mikundu ya Bata 🥴


Nimekuwa humu kwa muda mrefu na kuishi na nyote kama ndugu , Nikawasaliti na kufanya reli na kazi za Ccm . Leo naomba radhi kwa wote . Naungana na Watanzania wenzangu kudai haki na uponyaji wa taifa letu. Poleni kwa wote mliofiwa na kujeruhiwa. 1/3









Uchaguzi wa CDM umetufumbua sana macho.








Wewe umepokea maoni ya Master jay kuwa Kiba anaimba kama Wahindi ila hutaki kupokea maoni ya Kiba kuwa Master ni Upinde?? Pokea maoni ya sehemu zote mbili


Kwani ni lazima watu mfanane maoni mkuu? Master Jay kumfananisha na wahindi ni maoni yake kwa jinsi anavyouona muziki. Tuwe na utaratibu wa kuyapokea maoni hata kama hatuyapendi. Mbona kasema hakuna msanii Bongo anayemfikia Bien kwenye live performance, ni mtazamo wake tuuheshi











