Kinawari,Esquire

3.5K posts

Kinawari,Esquire

Kinawari,Esquire

@okinawari

Dad, Husband, Advocate, Citizen.

Tanzania Katılım Kasım 2016
260 Takip Edilen147 Takipçiler
sultan
sultan@chapanombombwi·
Benjamin William Mkapa alimkamata Tundu Antipas Lissu mara moja. Jakaya Mrisho Kikwete alimkamata Tundu Antipas Lissu mara tatu. John Pombe Magufuli alimkamata Tundu Antipas Lissu mara nane na kumchapa risasi za moto zaidi ya 30 mchana kweupe. Samia Suluhu Hassan amemkamata Tundu Antipas Lissu mara tatu. Katika mara zote hizo, hajatiwa hatiani na mahakama. Hata sasa katika kesi ya mchongo atashinda alisemanani kupigania hakini uhalifu? Free HON @TunduALissu Now!
sultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet media
Indonesia
16
145
836
47.1K
HUSSEIN MAJALIWA
HUSSEIN MAJALIWA@majaliwa_H·
@okinawari @salim_alkhasas We unahc mabomu ya machozi yangeweza kuwatawanya watu waliofundishwa namna ya kujikinga na hayo mabomu au hukusikia wakihamasishana kutembea na maji ya kunawa uso pindi bomu likipigwa
Indonesia
1
0
1
75
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Unajua raia wa kawaida haiti uniform hiyo juggle….sio hiyo sauti sio ya raia
Filipino
18
26
57
13.7K
Kinawari,Esquire
Kinawari,Esquire@okinawari·
@Alhulkitabi @Cowwbama @mkuuJr5 Ha ha it does not work that way.. huyo mdhamini alikua akiwapitia yanga billion Kumi ( proof ya risiti) kwa week maana hayo maneno toka yatamkwe hazipita week mbili. Hakuna kesi hapo
Filipino
1
0
1
21
Lovechild
Lovechild@Alhulkitabi·
@okinawari @Cowwbama @mkuuJr5 Onesmo bana! Mbona hii ni kitu simple sana.Yanga ana wadhamini wengi.hapa inaweza kutengenezwa figisu,mmoja wa wadhamini akatangaza kujitoa kudhamini kwa hizo tuhuma.hlf watu wakapitia hapo.then mkiwasafisha,kesho watu wanarudi.mbona simple tu sheikh
Indonesia
1
0
1
27
Kinawari,Esquire retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
TAARIFA FUPI YA CHAMA.
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
24
241
1.1K
22.5K
Mkoloni Mweusi (DOUBLE M)
Mkoloni Mweusi (DOUBLE M)@Mcraymunnah·
@okinawari @Cowwbama @mkuuJr5 Thamani Is Not Liquid Money!!! Sportpesa Wameidhamini Yanga B Ngapi? NIC? Haier? Azam Tv? Etc, Hawa Wakijitoa Kwasababu Reputation Ya Yanga Imechafuka Unaweza Walipa? Shame On You.! Unapoongelea Timu Au Taasisi Au Brand Yoyote Thamani Ndio Wawekezaji Wanaifuata Sio Kingine.
Indonesia
1
0
0
51
Mkuujr5
Mkuujr5@mkuuJr5·
@Cowwbama @okinawari Demand notice Ilitakiwa ieleze vyote hivi , otherwise itakuwa ni mere afterthought.
English
1
0
0
61
Kinawari,Esquire
Kinawari,Esquire@okinawari·
@Cowwbama @mkuuJr5 Kabla mahakama hajaipatia Yanga hata laki Moja lazima waonyeshe hasara ya kiuchumi iliyosababishwa na hayo maneno eg kukimbiwa kwa wadhamini, Nk Hiyo ni barua ya kutisha tasnia ya habar na kuwatak wawe wasjfiaje pekee
Indonesia
1
1
1
218
Jeany
Jeany@jeju_julius·
Naomba kuuliza sa hivi kuna wimbi kubwa sana wengi wanaugua Figo inasababishwa na nini? Mpaka unakutwa na ugonjwa huu minijuze jamani?🙏🏻
Filipino
60
35
422
53.1K
Kinawari,Esquire retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Hata kama una 100 au 500 we changia tu home boii ✊✌️
SafariMlevi tweet media
Indonesia
3
34
99
1.1K
Kinawari,Esquire retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Chadema pokeeni huu mchango wangu ambao umetokana na pesa ambazo Watanzania wananipa kupitia subscription za Mange Kimambi App na subscription za account ya Instagram ambayo imefungwa ( ni maajabu account imefungwa ila bado wananikusanyia mapato kila mwezi na kunitumia). Hizi pesa mmpewa na Watanzania sio na Mange Kimambi maana bila Watanzania hii pesa nisingekuwa nayo. Ahsanteni sana Watanzania kwa kuendelea kulipia subscription za Mange Kimambi app, although sijaweka habari zaidi ya miezi 9 sasa. Na pia Ahsanteni ambao hamja cancel subscription za page yangu ya instagram iliyofungwa (@mangekimambi80) nawaomba msicancel. Watanzania, Chadema hawatoweza kutusaidia kudai haki kama hawana pesa yoyote. Ni lazma sisi wananchi tuwachangie. Kama jinsi mlivyojiunga kwenye subscribption za Mange Kimambi app naomba mjiunge na subscription za Chadema. Imagine Kama Watanzania laki 2 tu mkijiunga subscription ya elfu 3 tu kwa mwezi, hiyo ni milioni 600 kila mwezi kwa Chadema. Pia bila pesa hakuna movement ya maana Chadema wataweza kufanya. Wauwaji wanakodi zetu wanazitumia kushikilia nchi bila ridhaa yetu. Ni lazma tuwawezeshe Chadema.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Godbless E.J. Lema@godbless_lema

Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.

Filipino
129
501
2.4K
158.3K
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
TRA wanauza X3 la 2019 - 25M
M A G I R I tweet media
Español
25
11
262
37.3K
Kinawari,Esquire retweetledi
MUNGU AKULINDE NINJA🥷
MUNGU AKULINDE NINJA🥷@Cowwbama·
TRA/Halmashauri wakija kwenye maofisi yetu hawatuambii tuone aibu , Poor you mtoto wa kitanzania unamuumiza maskini mwenzako na unafunga kabisa biashara yake
Filipino
13
104
570
16.7K