Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)

1.1K posts

Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) banner
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)

Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)

@AliKimara

Our purpose is to raise awareness and advocate for the consideration and inclusion of children living with the rare diseases in health and education systems.

Tanzania Katılım Eylül 2015
239 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)
Children with rare diseases didn't know how to be strong until being strong is the only choice that they have. They are special and need love, support, recognition and education. 2020 - please join them to raise their voices! #alikimarararedisease
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
4
31
142
0
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Togolani Mavura
Togolani Mavura@tonytogolani·
Nimefanya mazungumzo na Wataalam kutoka Dohwa Engineering Co. Ltd wanaojiandaa kwenda nchini Tanzania kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi, Zanzibar. Upembuzi yakinifu huo unafadhiliwa na Korea Cooperative Supporting Centre for Overseas Port Development (KCSC). DOHWA ni kampuni kiongozi nchini Korea kwa kazi za usanifu na kihandisi. Nawashukuru Wizara ya @WUBU_Zanzibar kwa ushirikiano waliotupatia uliowezesha kupatikana fedha kwa ajili ya upembuzi yakinifu.
Togolani Mavura tweet mediaTogolani Mavura tweet media
Indonesia
9
19
69
3.9K
WelBeast
WelBeast@WelBeast·
Yanga SC trophy parade in Dar es Salaam Tanzania. Congratulations Jirani
Indonesia
337
763
5.7K
247.8K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
C L E M E N T 🦁🏷️
C L E M E N T 🦁🏷️@venant_clement·
Kheri ya Kusherehekea siku yako ya Mfanano wa kuzaliwa Mdogo wangu @AliKimara , Mwenyezi Mungu Akupe Miaka Mingi Na Kheri Duniani. Wewe ni mmoja kati ya watu ambao Maisha yao hapa Duniani yamejaa hadithi nzuri sana inayoweza kusimuliwa kwa kila rika.
C L E M E N T 🦁🏷️ tweet media
Sharifa 🇹🇿@sharifambarak1

Stepping into the teenage realm InshaAllah, with the birthday countdown in full swing! 🎂✨ 9th April loading.......... #13thbirthday #birthdayloading #TeenageJourney #BirthdayCountdown #SafariYaUjana #rarediseasetz

Indonesia
3
14
38
2.6K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Togolani Mavura
Togolani Mavura@tonytogolani·
@AliKimara ni kielezo cha nguvu ya matumaini, subira na imani katika maisha. Maisha yako ni sauti na alama ya mapambano ya wahanga wa #RareDiseases. Kupitia harakati zako, leo watoto wenye #RareDiseases wanasajiliwa na kuruhusiwa kusomea elimu yao wakiwa nyumbani. Heri ya siku ya kuzaliwa shujaa!
Togolani Mavura tweet media
Filipino
1
8
42
2.2K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Togolani Mavura
Togolani Mavura@tonytogolani·
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha @UdsmOfficial, Prof. Bernadeta Killian na ujumbe wake, wamekutana na watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walioko masomoni nchini Korea katika Ubalozi wa @TanzaniaInKorea jana. Ubalozi ulifarijika kuwaunganisha na kuwa sehemu ya mkutano huo. Prof. Killian alipokea maoni yao kuhusu mchakato wa Maboresho ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayoendelea, na pia uzoefu wao wa kusoma katika mfumo wa elimu ya juu wa Korea. Watanzania walioko katika vyuo vikuu nchini Korea ni hazina kubwa ya taarifa na anuani muhimu zinazotusaidia Ubalozi kutambua fursa zilizopo, ikizingatiwa kuwa kuna mwingiliano mkubwa wenye afya kati ya Vyuo Vikuu, Sekta Binafsi na Serikali nchini Korea.
Togolani Mavura tweet mediaTogolani Mavura tweet mediaTogolani Mavura tweet mediaTogolani Mavura tweet media
Indonesia
6
32
123
7.1K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Sharifa 🇹🇿
Sharifa 🇹🇿@sharifambarak1·
Kwa waathirika wa #magonjwaadimu na familia zao, hii ni siku adhimu. Kumbukeni, mmepata majaribu haya, lakini hamkujichagulia, mmechaguliwa. Mmekuwa mashujaa katika safari hii. Nawaombea wale wote walioondokewa na wapendwa wao kutokana na magonjwa adimu.
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)@AliKimara

Taasisi ya AKRDF & MUHAS @muhimbiliuniver tumeungana kuadhimisha Siku ya Magonjwa Adimu tarehe 29 Februari, saa 1 jioni. Taa za matumaini ziliwaka katika jengo la MUHAS, ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya kuendelea kushirikiana kuleta mwangaza kwenye utafiti wa magonjwa adimu.

Indonesia
0
7
13
1.1K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)
Taasisi ya AKRDF & MUHAS @muhimbiliuniver tumeungana kuadhimisha Siku ya Magonjwa Adimu tarehe 29 Februari, saa 1 jioni. Taa za matumaini ziliwaka katika jengo la MUHAS, ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya kuendelea kushirikiana kuleta mwangaza kwenye utafiti wa magonjwa adimu.
Indonesia
0
6
8
1.4K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Togolani Mavura
Togolani Mavura@tonytogolani·
Namshukuru Ali Kimara, mtoto anayeishi na #UgonjwaAdimu kwa kunifundisha somo la matumaini. Sababu ya Ali nilijiunga na harakati za kupigania maslahi ya wanaoishi na magonjwa adimu kupitia taasisi ya @AliKimara. Leo tunapoadhimisha #RareDiseaseDay2024 tunajivunia pamoja na Ali Kimara na wenzake juu ya mafanikio makubwa yaliyopatikana, ikiwemo: 1. Serikali kuanza kutoa huduma ya elimu majumbani (home schooling) kwa watoto wanaoishi na magonjwa adimu ambalo Ali Kimara amekuwa mtoto wa kwanza kitaifa kuandikishwa; 2. Serikali kuwatambua Watoto wenye Magonjwa Adimu katika Sera Mpya ya Elimu kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum; na 3. Kuanzishwa kwa Mfuko wa Utafiti wa Magonjwa Adimu kwa ushirikiano kati ya @AliKimara na @muhimbiliuniver. Shukran za kipekee ziwaendee Mhe. Rais @SuluhuSamia, Timu ya @YoungAfricansSC na #GSM kwa kuwa wachangiaji wa kwanza ambao fedha zao zimewezesha kuanzishwa kwa Mfuko huo. Shukrani za kipekee ziwaendee @DewjiFoundation @moodewji @CRDBBankPlc @scitanzania, Aga Khan Hospital Dar es Salaam na Serena Hotel Dar es Salaam kwa kutuunga mkono katika maadhimisho ya #RareDiseaseDay mwaka 2020 na 2021 yaliyozaa matunda haya tunayojivunia. Kilicho mbele yetu sana ni kushawishi kuongezekwa kwa tafiti za Magonjwa Adimu nchini ili zisaidie kubaini wahitaji, mahitaji na uwekezaji unaohitajika.
Togolani Mavura tweet mediaTogolani Mavura tweet media
Indonesia
14
70
297
14.2K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Lupus Warriors Tanzania
Lupus Warriors Tanzania@lupuswarriorstz·
Rare Disease Day is an important opportunity to raise awareness about rare diseases and their impact on patients' lives #LightUpForRare
Lupus Warriors Tanzania tweet mediaLupus Warriors Tanzania tweet mediaLupus Warriors Tanzania tweet media
English
0
35
91
8.7K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧
In order to improve the quality of lives of children/individuals with #RareDisease in Tanzania, increased public awareness and engagement are urgently needed together with appropriate policies, and treatment and supportive care systems.
English
1
7
15
2.8K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧
In Tanzania, management and care of patients with #RareDisease result in unbearable financial burden particularly to the families and close relatives. It has been noted that the health insurance schemes currently operating in Tanzania do not or partially support patients with RDs
English
0
5
11
1.1K
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) retweetledi
Tanzania Human Genetics Organization
In the first picture from lef are Ms. Arafa Said of SCPCT, Ms. Fidelis Usio of Epilepsy organization of Tanzania, Dr. Daima Bukini, en expert of ELSI and Ms. Hajrrath Mohammed of Lupus Awareness and Support Foundation (LASF)
English
0
3
7
840