Sabitlenmiş Tweet
C L E M E N T 🦁🏷️
78.9K posts

C L E M E N T 🦁🏷️
@venant_clement
Maisha huwatunuku fungu jema wale wenye kujifunza, kuelewa na kufaulu mtihani wa rizki, subra na wakati.
Dar es salaam Katılım Ocak 2020
6.1K Takip Edilen18.5K Takipçiler

@hancymachemba @SimbaSCTanzania Huu ni Uongo Kaka, Sisi Hatuna timu Kaka, Hakuna Cha Kuimarika Humu. Simba inatakiwa kusajili, waache janja janja.
Indonesia

Ukweli usemwe kuwa Chama langu @SimbaSCTanzania linazidi kuimarika siku hadi siku. Well done chama langu,sina deni na nyinyi kwenye game ya leo. Kila kitu kilienda sawa na kosa la kujifunga ni bahati mbaya tu kwenye mchezo.👏👏👏👏👏👏
Indonesia
C L E M E N T 🦁🏷️ retweetledi

@patric_ph Na Huu Ndio Ukweli Mchungu, Simba Haina Kikosi Strong Kabisa, Simba Wachezaji Wake Wengi Hawajitumi, Simba Ina Wachezaji Wa Kawaida Wengi.
Hupati Mashaka kabisa kuijua Timu, Yanga wamecheza Mpira Mwingi, Sub za Yanga Wachezaji wanaoingia Hadi Unaogopa. Lawama Hii Ni Kwa Uongozi.
Indonesia

@MichaelMwebe Yes Brother I Agree, But Ukweli Pia Usemwe Kuwa Simba ina Wachezaji Wengi Wa Kawaida, Utakubaliana nami Kuwa pamoja na mambo yote Yanga walikuwa na Spirit ya Hali Ya Juu Sana Leo
Filipino

Yanga walikuwa chini mwanzoni lakini hawakuwa na presha kubwa. Walianza kupiga honi ya kuomba njia kwenye dakika za mwishoni kipindi cha pili wakati huo Kagoma alikuwemo.
Joe_April 林 问好@Joe29286594
@MichaelMwebe Not experience at all the injury of Kagoma has changed everything
Filipino

@AbilMdone Watu Badala wasajili Kikosi Strong wao wanaenda Kuleta Wachezaji Wa Kawaida Wa Nini Sijui Kwenye Timu.
Indonesia

@depedrodeniss Kaka Udundie Nje au Udundie ndani, Camara anapenda Sifa Sana
Indonesia

@Adventure_36 Angefanyaje pale, Simba Inahitaji Kikosi Strong, Simba inabidi iwaambie wachezaji wake waache sifa wakicheza uwanjani wawe serious, Mpira Unatoka Kiherehere Cha nini Unaufuata.
Indonesia

@IvonaKamuntu @SimbaSCTanzania Dada Tuache Kujitia Moyo, Simba Hatuna Kikosi Strong.
Indonesia

Kwangu mimi bado Yanga hamjafunga, si goli la kujisifu kabisa, kwa hiyo kikosi cha Simba kipo imara sana!! Hili najivunia @SimbaSCTanzania 🤝
Indonesia

@selemanykitenge Sio Kijili Bwana Ni Golikipa Na Kiherehere.
Filipino

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inautangazia Umma kuwa Ripoti ya Takwimu za Sekta ya Mawasiliano kwa kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa fedha 2024/2025 (Julai - Septemba) imetoka. Ripoti hii inapatikana kwenye tovuti ya TCRA kupitia tcra.go.tz

Indonesia
C L E M E N T 🦁🏷️ retweetledi
C L E M E N T 🦁🏷️ retweetledi

Nimekuwa naulizwa kuhusu shinikizo la damu , Leo tupate elimu kwenye makala niliyofanya siku ya Kimataifa ya SHINIKIZO LA DAMU. Katika kujua ukubwa wa hili tatizo , katika kila wanawake watano, Mwanamke mmoja ana shinikizo la damu. Na kila kina baba wanne mmoja ana tatizo la shinikizo la damu. Na kiujumla tunapenda kila mwananchi ajue namba zake 5
i) Ajue namba za presha yake zipo ngapi ?
ii) Ajue uzito wake upo ngapi kwa kutumia Body Mass
index (BMI)?
iii) Ajue kama ana kisukari au la?
iv) Ajue saizi ya kiuno chake?
v) Na mafuta (Cholesterol)?
Indonesia
C L E M E N T 🦁🏷️ retweetledi
C L E M E N T 🦁🏷️ retweetledi

Chimbuko la yote mema ni familia zetu ambazo zinaishi kwenye mitaa na vijiji kila kona ya Tanzania. Ili tustawi kama jamii mahitaji yetu muhimu yanahitaji kupatikana kwenye ngazi ya mitaa na vijiji tutokayo kabla ya popote pale!
Kwa kutambua hili, nakuhimiza Mtanzania mwenzangu ushiriki kikamilifu katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la Mkaazi ili uweze kuchagua viongozi wa serekali za mitaa, vijiji na vitongoji katika chaguzi zijazo.
Hii ni hatua ya kwanza na ya msingi katika kuhakikisha unashiriki katika maendeleo ya mtaa wako na Kijiji chako ila pia ni chaguzi ambazo zinatupa msingi wa demokrasia yetu.
Ushiriki wako ni muhimu sana



Indonesia
C L E M E N T 🦁🏷️ retweetledi
C L E M E N T 🦁🏷️ retweetledi

" Big winners at the VIP reception included Tanzania, which claimed double honours for 'Africa's Leading Destination' and
'Africa's Leading Tourist Board! Its iconic Serengeti National Park was named 'Africa's Leading National Park', with Mount Kilimanjaro taking the title of 'Africa's Leading Tourist Attraction" @WTravelAwards




English











