ALLONZO

6K posts

ALLONZO banner
ALLONZO

ALLONZO

@Allonzo23

excavator operator professional and operating wheel loader

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2021
422 Takip Edilen390 Takipçiler
ALLONZO
ALLONZO@Allonzo23·
@kasesco_tz Unataka tuongee tuzue taharuki na mashekhe au sio
हिन्दी
0
0
3
603
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hili banda ni zuri kwa Kufugia nini..?
kasesco☆ tweet media
Indonesia
76
47
314
18.9K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Nakumbuka kuna siku wasafi festival walikuja pale chinangali park Dodoma sasa nikamfata huyu oscar nimpe hai akasema acha shombo na watu dogo ile video ninayo na voice ipo siku nitampa na nitamkumbusha na atapiga magoti akilia mheshimiwa 😂👇
mTusi original 👦 tweet media
Filipino
114
57
787
91.3K
Barbosa
Barbosa@gratian_barbosa·
Hapa nawashwa mwili mzima kumamamake.😭😭🙌🏻 Betting ni usenge sana
Barbosa tweet media
Filipino
65
21
187
15.7K
DIGGALLER💯
DIGGALLER💯@Danford_tz·
BRO to BRO; Mambo ni manne(04) tu.🤝 -Ulitombewa -Umetombewa -Unatombewa -Utatombewa
Filipino
94
83
631
27.9K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kwa haraka haraka unadhani hapa naumwa ugonjwa gani..?🥹
kasesco☆ tweet media
हिन्दी
33
23
105
8.8K
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Mda wakujitenga na wasenge kama akina Mox, kitengo na wengine wasiokuwa na future kama wao 🚮⛏️
ochola..🦅⚠️ tweet media
Indonesia
6
3
55
1.6K
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
MKIAMBIWA HII DINI NI YA WATU WAPUMBAVU NA WASIOJIELEWA MUWE MNAELEWA ✍️. TRUMP NDIE YESU MTAKATIFU ANAWABARIKI CATHOLIC WOTE ULIMWENGUNI
OSAMA BIN LADEN tweet media
Indonesia
51
19
48
4.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, amesema hana hofu yoyote kumkosoa Rais wa Marekani Donald Trump, akisisitiza kuwa jukumu lake si siasa bali kuhubiri amani. Akizungumza akiwa ndani ya Ndege kuelekea Nchini Algeria, Papa Leo amesema wazi kuwa hataki kuingia kwenye mijadala ya kisiasa na Trump, licha ya mashambulizi ya maneno kutoka kwa rais huyo. “Mimi si Mwanasiasa, na sitaki kubishana naye, niko hapa kuzungumzia Injili,” amesema, huku akisisitiza kuwa ataendelea kupaza sauti dhidi ya vita, akieleza kuwa dunia imejaa mateso na vifo vya Watu wasio na hatia, na kutoa wito kwa Viongozi wote wa dunia kumaliza migogoro na kuweka mbele maridhiano, ameongeza kuwa hana hofu ya utawala wa Trump, akisema kuwa atasimama imara kutetea ujumbe wa Injili kwani ndicho alichoitiwa. Wakati huo huo, Viongozi wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani wamelaani kauli za Trump, wakisema Papa si mpinzani wake wa kisiasa bali ni Kiongozi wa kiroho anayesimama kwa ukweli, hata hivyo ziara ya Papa Nchini Algeria inalenga kuimarisha ujumbe wa amani, maridhiano na mazungumzo kati ya Mataifa na Dini mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
16
18
328
14.8K
ALLONZO
ALLONZO@Allonzo23·
@ridhiwankikwete Nipate ubodigadi niwenabeba pochi zake huyo mgeni wako lizi
Filipino
0
0
0
427
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc@ridhiwankikwete·
Furaha kukutana na rafiki yangu na DAS Kilwa Bi. Azilongwa Bohari Pembeni ya mkutano wa Wadau wa mawasiliano.
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc tweet media
Indonesia
33
8
245
19.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kama yeye asingekuwa Rais wa Marekani, Papa Leo XIV asingekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani akisema Kanisa hilo lilimchagua Leo kuwa Papa sio kwasababu ana sifa kuliko wengine bali ni kwakuwa ni Mmarekani na walidhani watamtumia yeye kumshughulikia Trump. Rais Trump amesema ““Simtaki sitaki Papa ambaye anamkosoa Rais wa Marekani kwa sababu mimi ninafanya haswa kile nilichochaguliwa, kwa kishindo kikubwa, kufanya kuweka rekodi ya chini kabisa ya uhalifu na kuunda soko la hisa Kubwa zaidi katika Historia, Papa Leo anapaswa kushukuru kwa sababu kama kila Mtu anavyojua, yeye alifanya kila Mtu akapigwa na mshangao hakuwepo kwenye orodha yoyote ya kuwa Papa, na aliwekwa huko na Kanisa kwa sababu yeye ni Mmarekani na walidhani hiyo ndiyo njia bora ya kushughulika na Rais Donald J. Trump” “Kama mimi nisingekuwa Ikulu, Leo asingekuwa Vatican, kwa bahati mbaya udhaifu wa Leo katika uhalifu, udhaifu katika sila za Nyuklia mimi haunifai na ipo wazi na haiondoi ukweli kuwa yeye Papa Leo hukutana na wanaomuunga mkono Obama kama David Axelrod, Loser kutoka Mrengo wa kushoto, ambaye ni mmoja wa wale waliotaka Waumini wa Kanisa na Maofisa wa Kidini wakamatwe, Leo anapaswa kujirekebisha kama Papa, atumie akili ya kawaida aache kuwahurumia Watu wazito wa Mrengo wa kushoto na ajikite kuwa Papa mkubwa, sio Mwanasiasa, hii inamuumiza sana yeye, na muhimu zaidi, inaumiza Kanisa Katoliki” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
54
20
470
45.2K
Isela Boy
Isela Boy@Ibrahimmwileng9·
@millardayo Nasikia yule papa mweusi ndo aliyepataga kula nying sana! Uyo mwingine mweupe alipachikwa tu!
Filipino
3
0
2
2.2K
PABLO
PABLO@PabloYende·
Nitajie Muuza Kahawa Mkristo
PABLO tweet media
Suomi
54
39
414
24K
britishboe
britishboe@british77boe·
Chicca kipenzi cha wana X😅😅😅😅
britishboe tweet mediabritishboe tweet mediabritishboe tweet mediabritishboe tweet media
Italiano
31
21
101
40.7K
ALLONZO
ALLONZO@Allonzo23·
@CFC_Boey Shida pasi umeiombea mbali sana unategemea nn hapo
Filipino
1
0
3
269
millardayo
millardayo@millardayo·
#PICHA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Baba Mtakatifu Leo XIV baada ya Ibada ya Hija iliyofanyika katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro – Vatican, leo tarehe 01 April 2026. #MilardAyoUPDATES
millardayo tweet mediamillardayo tweet media
Indonesia
22
25
426
27.3K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Sisi tunasema ASANTE BABA kwa yote. Umetupa BARAKA ndogo ndogo sana na sasa tunaomba BARAKA KUBWA KUBWA. Pita na SAMIA BABA hilo ndio ombi letu kuu.
SIR TIVA tweet media
Filipino
12
77
577
11.3K