Misana Alphayo🇹🇿
4.4K posts

Misana Alphayo🇹🇿
@Alphayotz
@Alphayotz
Mwanza, Tanzania Katılım Ekim 2019
354 Takip Edilen290 Takipçiler

@lifeofmshaba Na kule Kigoma zito ameambatanisha picha ya mama kwenye bango lake
Filipino

Mpina anapambana kama vile ni mgombea Binafsi na CHAMA chake kiko busy kutakasa huu uchaguzi ambao wamefanyiwa uhuni mkubwa tayari
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus
#TANZANIA: MPINA APINGA MAAMUZI YA KUENGULIWA KUGOMBEA URAIS MAHAKAMA YA RUFANI, "HATUTAKI TUME IWE MUNGU MTU" - WAKILI EDSON Wakili Edson Kilatu anayemuwakilisha Luhaga Mpina leo Oktoba 21, 2025 amesema kuwa wamekata rufaa ya kupinga kuenguliwa kwa Luhaga Mpina kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Rufani jijini Dar Es Salaam, wanaitaka "Maombi yenu ni kwamba, tunahitaji Mahakama ya Rufaa sasa iende ikapitie ule uamuzi na uweze kutengua ule uamuzi na baadae ili Mh. Mpina aweze kurudi kwenye kinyang'anyiro, aweze kupata haki yake ya Katiba kwa mujibu wa ibara ya 21 ya Katiba ya Tanzania" Edson kilatu, Wakili wa Luhaga Mpina Zaidi: youtu.be/2Dm3B-NCsxI
Indonesia

@Sativa255 Sidhani kama ni kweli hawawezi kupewa Uhuru namna hiyo
Filipino

@MarekaMalili Tunahitaji kocha ambae anaweza kuupgrade wachezaji hakuna kipya kwa huyu kocha wachezaji wengi wanacheza mpira kwa elimu za makocha wao wa vilabu
Indonesia

@mzawablog Tunashindwa kukubaliana hata kwa mambo madogo kama haya kweli
Filipino

Karim Boimanda, Afisa habari wa Bodi ya ligi amezungumza baada ya kikao cha Bodi ya ligi na Uongozi wa, akieeleza kuwa yeye hana mamlaka yakuzungumzia yaliyojiri katika kikao hicho, hivyo CEO Almas Kasongo atazungumza yote yaliyojadiliwa katika kikao hicho kilichofanyika asubuhi ya juni 9 katika ofisi za bodi ya ligi.
Indonesia

@HildaNewton21 Ndo maama wanafunga X kisa kuna mtu mmoja katika nchi katukanwa
Indonesia

"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi."-; @oketchgicheru, Seneta wa Migori.

Indonesia

@ccm_tanzania Kila aliyeko madarakani asifikilie kwamba nafasi yake haitazibwa
Indonesia

Tarehe 29 na 30 May 2025 sio tu tarehe za Mkutano Mkuu wa Chama, bali ni siku muhimu ambazo ILANI itakayokwenda kuliongoza taifa kwa miaka mitano ijayo inakwenda kuzinduliwa, hizi ni siku muhimu si tu kwa wanachama wa CCM bali Watanzania wote na wadau wa kimataifa wa maendeleo kwani haya ndiyo yanayokwenda kufanyika kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu kwa miaka mitano ijayo.
Ilani hii inakwenda kubeba matumaini ya kila mmoja, Ilani hii imejaa UTU huku ikichagiza uchapaji KAZI usio wa kawaida ili kwa pamoja TUNASONGA MBELE kwenye kilele cha mafanikio ya Taifa letu.
Karibu Dodoma, Kinara Rais Samia Suluhu Hassan yupo tayari na CCM ipo tayari kwa Mkutano Mkuu wa CCM.
#UtuNaKaziTunasongaMbele #CCM
Indonesia

@Mwabuk2Boniface I have read your message, although it is written in English, I understand it well. I sincerely request that it be translated into Swahili so that our colleagues can also read and understand it.
English

IS PARLIAMENT PREPARING FOR THE EXTERMINATION OR ELIMINATION OF ACTIVISTS WITHIN AND OUTSIDE TANZANIA?
In all sincerity, I am a Human Rights Activist, a proponent of Good Governance, and a defender of the rights of Tanganyikans to manage their non-Union natural resources.
I do not speak out of pressure but from a historical duty and a nationalistic conscience.
As an Informed citizen iam very disturbed with all what transpired in our Union Parliament yesterday as the same was not a debate on development, but rather a declaration and a consyructive call of renewed and more enhanced attacks on activists—both domestic and foreign. It has all elements of crime against humanity.
It clearly signals the fear of a tyrannical system that dreads logic and is preparing to crush dissenting voices through unlawful means.
As always I shall Not Engage in Insults but Respond with Reason.I do not believe in insults or mockery.
I believe that arguments should be countered with arguments and facts be counted with facts.
I firmly oppose anyone trying to force me to accept anything against the law, morality, or human dignity. That is where I stand—resisting oppression.
We May Be Called “Monitor Lizards” – But Monitor Lizards of Reason and Liberation let accept this baptisymal name for now.
The recent Parliamentary dement and unfounded allegation were triggered by the stand taken by Bishop Gwajima, who dared to speak the truth.
Today he is branded a “monitor lizard,” but we are not concerned with the name—we care about the message.
Many Tanganyikans have understood Gwajima’s message. Expelling him will only elevate him; it will make him a symbol of the voiceless majority. His language reflects the frustrations of those weary of oppression.
The term monitor lizard in parliamentary jargon has become a badge of honor for activists, citizens, and all those who resist exploitation of resources, abductions of youth, and violations of rights.
Bishop Gwajima should be answered with reason. Instead of attacking him, the people want answers: Is it just for individuals to be arrested, beaten, stripped, and dumped in forests simply for expressing their opinions? Is that the civilization of a country claiming to uphold rights?
Who are those attacking Gwajima? The same individuals who rejected the motion against the DP World agreement when it was labeled as blatant theft of Tanganyikan resources. Did they ever speak on the disappearance of Soka, the killing of Mzee Kibao, or the abduction of Mdude Nyagali?
Why is Parliament avoiding the debate on enforced disappearances?
They say there's no evidence. Yet they use the same platform to attack Innocent foreign nationals and activists—also without evidence.
Is it fair for someone from Zanzibar to use Tanganyikan taxpayers’ money to insult them in Parliament?
Should Tanganyikans also retaliate in the Zanzibar Revolutionary Council? This is a dangerous precedent for a genuine Union.
It is time for the “Monitor Lizards who Throw Shells” to stand firm. Let us remember, you cannot kill an argument with mockery or insults. When we scorn voices of liberation, we degrade ourselves as a Nation.
IT IS TIME FOR THE MONITOR LIZARDS TO UNITE AGAINST THE BEAN-EATING MONITOR LIZARDS.
We demand the return of our abducted comrades, restitution for the injured, and public apologies to their families.
We will not accept continued oppression.
We will not accept continued disregard.
We will not accept continued abuse.

English

BUNGE LA KENYA KESHO LITARUKA KWA LUGHA YA KISWAHILI ILI UJUMBE WAO UFIKE VYEMA.🤣🫵🏾
TAYARI KIMEWAKA, BUNGE LA KENYA LITAWAJIBU VYANDE WETU.
Alie TWEET ni mbunge @edwinsifuna
TUTAKUWEPO🫵🏾🤣

Indonesia

@Jambotv_ Tarimba ninayemfahamu anaongea upuuzi namna hii
Indonesia

VIDEO:
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.
“Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?” amehoji Tarimba.
Indonesia

Rais wa Marekani Donald Trump amesema hafurahishiwi kabisa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin baada ya Urusi kufanya mashambulizi ya anga Ukraine yanayotajwa kuwa makubwa kabisa tangu vita hiyo ianze mwaka 2022, yaliyosababisha vifo 12 na majeruhi kadhaa
Urusi ilituma makombora na drones takriban 360 usiku wa Jumapili, Mei 25, 2025 makombora ambayo wachambuzi wamesema ni idadi kubwa zaidi ya makombora kuwahi kutumwa Ukraine katika usiku mmoja tangu vita hiyo ianze mwaka 2022
Ikumbukwe, Wiki iliyopita, Trump na Putin walizungumza kwa njia ya simu kwa zaidi ya saa 2 kujadili pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano. Trump alisema mazungumzo hayo “yalienda vizuri sana” na kwamba Urusi na Ukraine ziko tayari kuanza mazungumzo ya moja kwa moja ya kuelekea kusitisha vita.
Soma jamii.app/MakomboraPutin
#JamiiForums #JamiiAfrica #RussiaVsUkraine


Indonesia

@earadiofm @BrainMpogole Camara alicheza faulo mbaya lakini hata njano hakupewa
Indonesia

#Kipenga: Timu ya #Kipenga wamekubaliana kuwa Yusuph Kagoma alistahili kuonyesha Kadi Nyekundu
@brainmpogole @wakanda_republic @joackimimanitz
Unakubaliana na huo mtazamo?
#Kipenga #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
Indonesia

Shirikisho la mpira Afrika @CAFCLCC limeihujumu klabu ya @SimbaSCTanzania tangu baada ya mechi ya Morocco, Kitendo cua kupanga uwania wa mechi bila kuishirikisha klabu ya simba, Pia kitendo cha kumpanga refa huyu wa Mauritania ambae anatoka taifa jirani na Morocco na anaongea lugha moja na Morocco ilikuwa hujuma nyingine ambayo imeonekana wazi katika uchezeshaji wa mechi ya leo. Kwakumbukumbu nzuri huyu refa aliwahi kuihujumu Yanga dhidi ya @Masandawana
Indonesia

@Roma_Mkatoliki @dahane2006 Ubingwa umeamuliwa na CAF Refaree alikuwa anafuata maelekezo
Filipino

Insta anatumia @dahane2006
Twendeni tukamchambe!!
Mimi nimemDM nimemwambia
Unatuona kama sisi ni Mata** yako!!

Filipino






