Pure head Damage (PhD) 🤓

2.1K posts

Pure head Damage (PhD) 🤓

Pure head Damage (PhD) 🤓

@Am_Kipeja

MUNGU hakupi unachotaka anakupa unacho stahili.

popote nipo Katılım Temmuz 2019
197 Takip Edilen171 Takipçiler
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Jamaa kamkuta mwanamke mmoja pale Ferry analia…. JAMAA: Nini shida mama angu? MDADA:Heri nife, maisha yamenishinda MJAMAA: Huna haja ya kufa, sikiliza mimi ni baharia na meli yetu inaenda Ulaya leo, kama unataka ingia kwenye boksi nikakufiche stoo, meli ikitia nanga Ugiriki, nakutoa ukatafute maisha huko. Bibie akaona heri hilo akaingia kwenye boksi, jamaa akambeba na mdada akajikuta yuko kwenye stoo moja wapo katika meli, jamaa akawa anamletea chakula kila siku na mara nyingine yeye mwenyewe analala huko kwenye hako kastoo kama binadamu wengine walio kamilika walikuwa wanafanya na ya kwao huko huko kwahyo safari ilikuwa nzuri hasa kwa jamaa, kila mara akimhakikishia mdada kuwa wameshapita visiwa vya Komoro, siku nyingine akimwambia wako India. Zilipita wiki mbili ndipo yule mdada akagundulika na nahodha wa chombo hicho. NAHODHA:We unafanya nini humu? MDADA:Chonde naomba msinitupe baharini, nilindeni mkifika Ugiriki mnishushe NAHODHA: Unajua mbona sikuelewi? Mdada akalazimika kumueleza nahodha ishu nzima. NAHODHA:Dah wala usipate taabu sikutupi popote, ila jamaa yako kakudanganya hii si meli ya kwenda Ulaya ni pantoni ya kwenda Kigamboni, umekuwa unazunguka hapa hapa Dar siku zote hizo, haya tukifika Kigamboni shuka... Ila nyie🫵🫵
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
107
50
419
40.7K
Dr. Khaled
Dr. Khaled@kh505043·
Baby's skin covered with: A) Meconium B) Vernix C) Lanugo D) Fluid
Dr. Khaled tweet media
English
59
11
186
32K
Florentin Patriota Q
Florentin Patriota Q@Florenpatriotaq·
The real King Charles III was executed on February 10, 2023 but his death will be announced on March 28, 2026 People will think he died on March 28 2026 but in reality he died on February 10, 2023 The real news was in 2023 the official news was in 2026
Florentin Patriota Q tweet media
English
199
798
3.9K
609.9K
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
CAG: MRADI WA JNHPP WAPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA ZA WATANZANIA Kauli ya CAG Kichele kuhusu manufaa ya mradi wa JNHPP inaonyesha dhamira ya dhati ya uongozi makini wa Dkt Samia,Rais mzalendo aliyehakikisha mradi huu unakamilika kwa wakati. Kupitia juhudi hizi, Tanesco imeimarika
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
11
13
27
2.6K
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Bodi ya Wadhamini CHADEMA Yavunja Katiba ya Chama, Msajili Awachukulie Hatua Kali Na Mwandishi Wetu Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imevuka rasmi muda wake wa kikatiba bila kufanyiwa uteuzi upya, kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho. Kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa, bodi hiyo inapaswa kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitano tu kabla ya Baraza Kuu kuitishwa kwa ajili ya kuteua wajumbe wapya. Hali ilivyo sasa inaonesha wazi kuwa bodi hiyo ipo katika mwaka wa sita bila kufanyika kwa mchakato huo muhimu wa kikatiba. Kutokuitishwa kwa Baraza Kuu kwa muda uliopangwa kunamaanisha kuwa uongozi wa bodi unaendelea nje ya uhalali uliowekwa na katiba ya chama. Katiba ya CHADEMA, kupitia ibara ya 18(a), inaeleza bayana wajibu wa kuitisha Baraza Kuu kila baada ya miaka mitano kwa ajili ya uteuzi wa Bodi ya Wadhamini. Kushindwa kutekeleza matakwa haya ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa katiba hiyo na kunadhoofisha misingi ya utawala wa sheria ndani ya chama. Ni muhimu sasa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua za haraka za kuiwajibisha CHADEMA kwa kukiuka Katiba yao.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
21
24
34
5.7K
MEDICINE MADNESS
MEDICINE MADNESS@Doctors_GUILD·
A child presents with a fever and a rash. Urine examination showed cells with owl's eye appearance Diagnosis? A). Cytomegalovirus B). Epstein-Barr virus C). Herpes simplex virus D). Toxoplasma gondii
MEDICINE MADNESS tweet mediaMEDICINE MADNESS tweet media
English
49
57
868
113.6K
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
Mkikaza fuvu kwamba mnajua sana sheria, jamaa huyu atatoboa 2030 na atanyongwa
Dr Kwala Liwengo tweet media
Filipino
225
10
223
34.2K
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
Mafwele ni kuboko ya wanyori. Wanyori wote wakimwona wanajinyea.
Dr Kwala Liwengo tweet media
Indonesia
11
2
18
4.7K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Zainabu Fulko Elias mwenye umri wa miaka 35 Mkazi wa Kijiji cha Nambawala Kata ya Lukuledi baada ya kupatikana na hatia ya kuhifadhi dawa za kulevya aina ya bangi zenye uzito wa gramu 93 katika Nyumba yake kwa lengo la kujipatia kipato. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema hayo leo February 19, 2026 wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya Jeshi la Polisi kupitia ofisi za mashtataka na Mahakama za kisheria ya kushughulika na Watuhumiwa mbalimbali katika kesi zilizofikishwa kwenye Mamlaka hizo "Zainab alikamatwa tarehe 08.09.2025 na hukumu hiyo imetolewa tarehe 09.02.2026” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
48
11
203
20.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaaendelea leo Jumatatu ya Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo ambayo ipo mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na na Jaji Dunstan Ndunguru, inatarajiwa shahidi wa saba kuanza kutoa ushahidi kama ilivyoagizwa kuanzia saa tatu kamili. Siku ya ijumaa walitoa ushahidi watu wawili, ikiwa shahidi wa kwanza ni anayelindwa ambae ni P6(24) ambae ni dereva bodaboda na ‘Mwanachadema’. Shahidi wa pili alikuwa askari mpelelezi H.3923 Koplo Michael(36) mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro. Shahidi P6 aliieleza mahakama namna alivyoshawishiwa na Lissu na kutaka kukinukisha na kuzuia uchaguzi (soma zaidi kwenye website yetu ya jambo.co.tz au sikiliza simulizi yake YouTube yetu). Shahidi H.3923 Koplo Michael aliieleza mahakama walivyomkamata kijana P8 mkoani Kilimanjaro eneo la Njoro kwa kuhamasisha vurugu kisha wakamhoji na baadae akaachiwa kwa dhamana na baadae akaitwa kwenda kuandika maelezo upya kama shahidi katika kesi ya Lissu. Sehemu ya hoja zilizobishaniwa Mahakamani siku hiyo ni hasa juu ya kupishana kwa maelezo
Jambo TV tweet media
Indonesia
4
18
156
5K
Mtibwa sugar fc fans
Mtibwa sugar fc fans@Mtibwa_sugar_fc·
Kitu gani kimewakwamisha yanga kwenda robo?
Mtibwa sugar fc fans tweet media
Indonesia
17
3
157
5.4K
Skinny ²
Skinny ²@Skinny36479503·
@TheRealJongwe umeshawahi kumsoma John Grisham?,,mambo ya sheria hayajabase kwenye emotions,,acheni kucheza na hii case,,mwenyekiti wenu atanyongwa kimzaha mzaha,kuweni serious
Indonesia
4
0
0
748
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yaani AIBU naona mimi Mtanganyika kwa kinachoendelea mahakamani kwenye kesi ya kubumba ya Lissu, na hawa mashahidi wa kificho wa kubumba…Ni kama wameokota vichaa barabarani , ni AIBU TUPU! NB: Aliyewapa huu mchongo wa hii kesi kawaingiza chaka bovu, na pamoja na mashtaka mengine atashitakiwa kwa UHUJUMU UCHUMI, kesi hii ni ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma. MATAKO YAKE!
Indonesia
57
264
1.6K
41.3K
Pure head Damage (PhD) 🤓
Pure head Damage (PhD) 🤓@Am_Kipeja·
@kabigwa_78 Atopic dermatitis 😎, lakini kikubwa usisahau na PITC kama majibu yatakuwa NR basi Erythromycin ni muhim kwake mtafutie na antibiotic ya kupata na ikiwezekana predi ni muhim pia sabun akiweza kupata ketokonazole shampoo n nzuri pia na kikubw zaid usisahau kumshaur kuhus hygiene
Pure head Damage (PhD) 🤓 tweet media
Indonesia
0
0
0
112
Kabigwa_Afya💊
Kabigwa_Afya💊@kabigwa_78·
Wenye Experience hapa ni nini inaweza kuwa tiba ya Uhakika?
Kabigwa_Afya💊 tweet media
Filipino
53
9
82
19.9K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Magereza wako sahihi kabisa kwa mtazamo wao kutompa Lissu access ya chakula, wanaona Lissu anastahili aina hii ya treatment. Walisikia na kuona alivyopigwa risasi, lakini hadi leo uchunguzi haujafanyika. Wanajua baada ya shambulio la risasi alikuwa mahututi, lakini hakupatiwa matibabu stahiki kupitia Bunge. Sasa hivi yuko Magereza na haruhusiwi kutembelewa hata na viongozi wenzake. Kwa hiyo, wanafanya wanavyoona kutoka juu wanafuata mwelekeo wanaouona. Hata majaji kushangaa ni kama sanaa tu. Kama kweli wangekuwa serious na haki za binadamu, kesi yenyewe wangeshaifuta siku nyingi. Imagine una Majaji ambao walikubali Mashahidi wahojiwe bila hata wao wenyewe kuwaona ?
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
50
217
1.4K
41.2K
Ifenkili
Ifenkili@ifenkili27·
Revealing some of the BEST Anty Shakira Challenge Trends (3.2M views?) Grrrr 😡🤷‍♀️ Open thread 📌🫳
Ifenkili tweet media
English
319
145
2.3K
422.6K
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
Lissu anatembea na mabegi ya notes defender nzima lkn kwa Nassoro Katuga kakwama. Lkn huku mitandaoni watu wanasema Lissu ni mwl wa sheria 🤣🤣 mwl kakutana na Mkufunzi 🤣🤣🤣 doti to doti
Dr Kwala Liwengo tweet media
Indonesia
177
18
143
77.6K