Andy

1.9K posts

Andy banner
Andy

Andy

@AndersonadolfM

Law and Compliance | Capital Markets and Securities I Poet I Music On schedule

Tanzania Katılım Mayıs 2019
245 Takip Edilen156 Takipçiler
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@Sir_Shuma @VungaEl74 Can't wait. Without prejudice to Almight's powers, I'd recommend you kusoma mawazo ya Wanasayansi kuhusu sababu za "kutoanguka" kwa sayari kwenye Galaxy. Huko ndio utaona hao wasioamini kuhusu Mungu walishajitengenezea majibu ya hilo swali long time ago
Filipino
1
0
1
30
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Muonekano mzuri wa dunia kutokea mwezini " sayari ya dunia ni zuri sana"
Filipino
41
41
219
13.2K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@Sir_Shuma @VungaEl74 Unamaanisha ianguke kutoka wapi kuangukia wapi Mkuu?😁😁😁 BTW kuna makumi ya theories kuhusu kuelea kw particles kwenye galaxy.
Filipino
1
0
0
75
Danieli Shuma 🥇
Danieli Shuma 🥇@Sir_Shuma·
@VungaEl74 Wanaokuambia Mungu hayupo, nao wanashangaa kwann dunia na uzito wote huo lakini haianguki.
Indonesia
5
0
7
626
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@lord_nick61 @godbless_lema Mkuu hii terminology "Public space" inatambulika kweli sehem yoyote ile ambayo tunaeza refer to backup your point? Coz kama uamuzi unaobishaniwa ulitolewa na Halmashauri, then technically it's a public decision
Indonesia
0
0
0
334
lord nicky shorts video
lord nicky shorts video@lord_nick61·
@godbless_lema Coco beach ni public space uweķezaji uendenq na kuangalia masikini watao taka kwenda hapo kumpumzika bure..... hao masikini ndo waliofanya koko kuwa maarufu for years hadi hao wawekezaji wanapaona gold..... naunga mkono uwekezaji ....ila uendane na watanzania
Indonesia
7
0
11
4K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Huu sio uwekezaji hata kidogo. Nilisema hapo nyuma na ninarudia tena hapa Coco Beach panahitaji brain power. Ni ufukwe bora kabisa katika Jiji la Dar es Salaam na mipango yake haiwezi kuendeshwa kwa mjadala uliobeba poverty mentality. Jitihada yoyote ya kurekebisha Coco Beach ili kubeba quality standard mimi nitakuwa mshirika wake ktk jitihada hizo. Nafurahi kwamba ukweli ktk eneo hili umeanza kusikika. Mindset transformation is bigger than voting collection.
Indonesia
51
70
536
57.9K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@bonifacejoseph_ Dadavua "Walioumizwa" ili tuone kama hiyo Nchi ya ahadi ya kufikirika ingekuwa ya manufaa kwa victims wa hayo maumivu
Indonesia
0
0
2
219
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Wapo walioumizwa naye na mostly wakiwa ni wanasiasa wa vyama vya upinzani, lakini kwenye mizania huyu alikuwa atufikishe kwenye Nchi ya ahadi, probably the best president ever after Mwalimu. Mimi binafsi nilikuwa napenda falsafa yake ya uwajibikaji, na baadhi ya mambo wasaidizi wake walikuwa wanamuangusha.!!
ProsperNow.@prossoff

Do you miss him!?

Indonesia
39
23
169
12.8K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@Zephania_Ndaki @EsirEid Unaposema ni ngumu Kiongozi wa Kimataifa kufuatilia mitandao ya kijamii unamaansha nini mkuu?
Indonesia
0
0
0
3
Big
Big@Zephania_Ndaki·
@EsirEid Muandaaji wa video ni mpumbavu kwanini aonyeshe vidole inamaana alikusudia kufanya hivyo na ni ngumu sana kiongozi wa kimataifa kufatilia maswala ya mitandao alietengeneza hii clip ni CHAWA TU. NETA KASHAKATA MOTO.
Indonesia
8
5
23
3.4K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kikombe cha kahawa cha Bibi kimejaa hadi ukingoni. Bibi anakiinua kikombe cha kahawa. Hakuna hata tone moja la kahawa linalomwagika kutoka kwenye kikombe. Baadaye anakunywa funda kubwa. Lakini kikombe cha kahawa bado kinaonekana kimejaa hadi ukingoni. Hii inaonekana zaidi kama AI kuliko ile video ya vidole sita. Sasa imethibitishwa Bibi Hatunae tena ☕🤖
Mossad Commentary@MOSSADil

🇮🇱 BIBI IS ALIVE They said he was dead, but then rose after 3 days..with only 5 fingers in each hand. Benjamin Netanyahu speaking: “What did you ask me? You think they’re not saying online that Bibi is dead? I’m crazy about coffee. You know what else? I’m crazy about my people. The way they’re behaving is fantastic. Do you want to count the number of fingers? You can show them. Here. Cheers. Do you think the message to people going outside is to get some fresh air? Yes, go out for some air — but stay near a protected shelter. Your resilience is amazing. It gives strength to me, to the government, to the IDF, and to the Mossad. We are doing things that I cannot share right now, but we are striking Iran very hard — even today — and also continuing in Lebanon. You’re telling me to keep going? I’m telling all of you — you keep going too. Continue to follow the Home Front Command instructions at all times. Always stay close to a protected space. We will ease restrictions whenever possible. And thank you for the coffee — it’s excellent. I’m not sure about the calories though. That looks very dangerous.”

Filipino
84
11
78
19.8K
ENG : CONGRATULATION!
ENG : CONGRATULATION!@Ponge_Bromine·
Kuna mtu kijiweni kawaambia watu kuwa anaweza kutengenenza control number na hela ikaingia kwenye account yake 😤
Indonesia
22
31
514
44.1K
Andy retweetledi
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
JAMHURI WAKOSA SHAHIDI LEO BUNDA MAHAKAMANI: Leo tulitarajia kuendelea na kesi ya jinai namba 21/2026 inayomkabili Yohana Kaunya na wenzake 20 katika Mahakama ya wilaya Bunda, lakini kesi hiyo imeshindwa kuendelea baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuleta mashahidi kwa madai kwamba mashahidi wao wote 3 wanaumwa. Kufuatia taarifa hiyo ya Jamhuri, mabishano ya kisheria yaliibuka mahakamani, Upande wa Jamhuri wakiomba Mahakamani kesi iahirishwe hadi baada ya sikuu za Eid. Upande wa utetezi ulipinga hoja hiyo, na kusisitiza kesi iendelee Jumatatu na jumanne kama ratiba ilivyopangwa na Mahakama hapo awali. Kuhusu hoja ya mashahidi kuugua, upande wa utetezi uliikumbusha Mahakama kuwa upande wa Jamhuri uliorodhesha idadi ya mashahidi 41 hata kama wakiugua 10 bado, Jamhuri wanakuwa na mashahidi wa kuletwa mahakamani na hivyo tumeomba kesi hiyo iendelee Jumatatu na siku ya jumanne na kama haiwezekani kwao kuendelea wafute kesi hiyo. Mahakama katika uamuzi wake imekubaliana na hoja za upande wa utetezi ambapo imeahirisha kesi hadi Jumatatu tarehe 16 na baada ya hapo kesi itaendelea tena tarehe 17 March 2026. Ni ajabu ukawa na prod ha ya mashahidi 41 kwenye makaratasi halafu ukakosa shahidi wa kufika hapa mahakamani.
Indonesia
5
30
117
4.7K
Andy retweetledi
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Latest update on Ngorongoro The two Commissions report (1) Commission on land conflict (2) Commission on “induced” relocation from Ngorongoro to Msomera now release their report Stay informed here
English
34
13
49
3.1K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@swahilitimes People said these in a real time; hili na lile ni makosa yanafanywa kusudi na Serikali ila mkaishia kuwazawadia vipigo, majeraha, kesi za uongo na kila sina ya uonevu. Hamkukosea kwa bahati mbaya.
Filipino
0
1
6
1.1K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
“Tumesikia kwamba Serikali tulifanya zoezi [uhamaji wa hiari Ngorongoro] kwa nia njema lakini tulikosea baadhi ya maeneo. Na hayo ndiyo maeneo kukaa, kutafakari na kurekebisha. Kwahiyo tutaendelea na hilo zoezi lakini baada ya kurekebisha.” - Rais Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya tume kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari Ngorongoro
Swahili Times tweet media
Indonesia
14
7
156
20.3K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@zittokabwe Reckless Reckless Reckless
Andy tweet media
English
0
0
1
87
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
RECKLESS RECKLESS RECKLESS This reckless approach massively escalates tensions and threatens to ignite wider regional conflict. Iran’s succession is exclusively the sovereign right and internal affair of the Iranian people—it is clearly and constitutionally entrusted to the Assembly of Experts alone, with zero room for foreign veto or dictation. For the President of the United States to openly declare “I have to be involved in the appointment” is flagrantly unconstitutional from Iran’s perspective, profoundly undemocratic, and reeks of naked imperial arrogance that belongs to the 19th century, not the 21st. This is textbook interference in another nation’s sovereign processes. Every Democrat, indeed every person who claims to value democracy, sovereignty, and international law, must condemn these imperial actions by the United States in the strongest possible terms, without hesitation or equivocation. Silence in the face of such overt overreach is complicity.
The Wall Street Journal@WSJ

President Trump said he must be involved in picking Iran’s next leader, as he was with Venezuela. In an interview with Axios, Trump rejected the notion that Mojtaba Khamenei, son of assassinated supreme leader Ali Khamenei, should succeed his father. on.wsj.com/4le6WYv

English
43
6
42
11.2K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@Wakazi Everybody needs a friend like Wakazi😂
Andy tweet media
English
0
0
1
196
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Tiwa Savage? 😫😫 Wewe umetembelea Africa wapi na Wapi ukakuta Wanamsikiliza Tiwa Savage na ukajiaminisha kuwa anamzidi Jide? Mimi nimeenda Ethiopia, Malawi, Kenya, Nigeria, South Africa, Zanzibar, Egypt, Zambia… WEWE AFRICA UMEENDA WAPI? Na ukajifunza kinachoendelea, kinachopendwa, kinachosikika? Msiwe mnaongea kwa confidence vitu ambavyo hamna ushahidi navyo. Tiwa Savage ambae hana wimbo uliohit akiwa peke yake, na infacts almost all her hots ni yeye as a featured artist… smh
chizzo drama@Chizzodrama

Sahihi, lakini hakuna africa ambayo JIDE anaweza kuwa na hits kuzidi hata TIWA SAVAGE , ni hits zipi unazozungumzia za JIDE zimeshika kwa level ya africa nzima ? !! Lakini hata hivyo PSQUARE bado wana hits nyingi licha ya kutokuwepo kwa muda na wataonekana 👇

Filipino
22
3
58
12.5K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@maulid_meddy @EduTalkTz Kuna Wabunge walijaribu kuhoji mambo na kutaka uwajibikaj wa serikal - kilichowakuta wote tunakijua. Mfano mzuri ni Mhe. Lissu, Polepole, Mpina, Ask. Gwajiba nk. Swali kwetu kama Jamii tumefanya nini kuwalinda wabunge wa aina hiyo au kuwawajibisha wale waliowatenda vibaya?
Indonesia
1
0
0
18
MKUDE 🦁🇹🇿
MKUDE 🦁🇹🇿@maulid_meddy·
@EduTalkTz @AndersonadolfM yetu inaruhusu kuwawajibisha serikali mahakama haiko huru kwa sas mbunge lina machawa akili kama za Mushi hamna ndani ya bunge CCM wanatumia dola kubaki kwenye dola je mpaka lin haya acha tuendelee kutafakari kesho yet ipo tuendelee kutoa elimu ya uraia tutafika tuuu
Indonesia
2
0
0
29
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Matokeo ya kidato cha nne yalipaswa kuwa mjadala wa kitaifa. Magazetini, maredioni, kwenye vijiwe, makanisani, na kila kona ya nchi, angalau kwa siku kadhaa, tulipaswa kusikia watu wakihoji na kujadili ni kwa nini watoto 300,000+ wanapata four na zero. Ni bahati mbaya sana huwa tunayapokea kama taarifa nyingine tu za ziada kisha tunasubiri tena mwakani. Sad!
Indonesia
24
36
279
15.4K
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@maulid_meddy @EduTalkTz Umeuliza mpaka lini "TUYAACHE" yaendelee? - Hii ni kauli nzuri san kwa sababu inataka uwajibikaji wa pamoja kama Jamii na sio kuliachia kundi fulani. Si kweli kwamba Bunge nzima limekosa akili kama ya Mushi, wapo wabunge wazuri weng tu ila tatizo ni mfumo wa mabavu uliopo nchini
Indonesia
1
0
0
19
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@EduTalkTz No offence but this is exactly what I was expecting for a pointless person to end with; mipasho! 👋
English
0
0
0
17
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@EduTalkTz And speaking of REALITY, yes, face the reality: Si kazi ya Mbunge ku-finance elimu. By the way Serikal inayatambua hayo matatizo na fedha wanazo. Kinachowafanya wasifanye uwekezaji wa kutosha kweny Elimu wanakijua wao. Kuhusu kuiwajibisha Serikali km Mbunge hatoshi - FANYA WEWE
Indonesia
0
0
0
21
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
@AndersonadolfM Reality?😂😂 I think you should say this to the guy in the mirror. Nimeijenga hoja yangu kwa evidence, sio porojo. Nadhani ukiisoma utafahamu vizuri nani delusional kati yetu. Anyway, kuelewa ni kuchagua tofauti na hivyo ni jitihada za kumtandika viboko punda aliyekufa.
Indonesia
3
0
1
26
Andy
Andy@AndersonadolfM·
@EduTalkTz Unakiri kabisa kwamba Jamii nzima hatulichukulii suala la kufeli watoto kama ajenda inayohitaji mjadala wa kina. Wewe ni sehemu ya jamii hiyo unayoilaumu but unajiona very innocent kwenye hilo. Kutweet screenshoots za matokeo unaona umemaliza sasa kazi kwa Mbunge😁😁
Indonesia
0
0
0
15