Aneth Stanley
212.2K posts

Aneth Stanley
@AnethStanley
After you die, you will meet God. It is appointed unto men once to die, but after this the judgement.-Hebrew Repent of sins before it's too late.

@Sirjeff_D @Kishada_ Hivi KIGOGO… Wapwa ndio walimpoteza au Alipotezwa na account kuchukuliwa? Au alimaliza mission yake?








Laiti Kesi hii inayomkabili Tundu Lissu ingekuwa Live , muone, msikie. Hakika Ulimwengu ungeshuhudia uonevu na aibu kubwa inayotokea hapa. Ni aibu tupu.


Jeshi la Polisi limesema linaendelea kumtafuta Augustino Polepole, kaka wa Humphrey Polepole, ili atoe maelezo na uthibitisho wa shutuma alizotoa dhidi ya afisa wa Jeshi la Polisi kuhusika na 'kutekwa' kwa Polepole. Polisi wamesema Augustino anahitajika ili kuthibitisha kuwa, Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 60 Mhe. Lissu : wakati unaongoza hiyo timu ulisema, Tar. 06/04 ulimtafuta Mkurugenzi wa Jambo TV John Marwa? George : siwezi kukutajia ila nilipata namba ya kiongozi wa Jambo TV sikujua jina lake kama ndio Marwa. Mhe. Lissu : Huyu Kiongozi wa Jambo TV uliyemtafuta ulimuomba akupatie hiyo video clip halisi iliyochukuliwa kwenye mkutano? George: Ni kweli. Mhe. Lissu : ni kweli huyo kiongozi alikwambia mfanyakazi yupo Dodoma? George: Ni kweli, alinipa namba ya simu pia ni kweli ya huyo mfanyakazi wake. Mhe. Lissu : ni kweli namba hiyo ulimpa DCP Ng'anzi? George: Ni kweli nilifanya hivyo. Mhe. Lissu : ni kweli Ng'anzi alimpatia Andrew Churu yule Polisi mwingine? George: Hilo sijui kwakweli. Mhe. Lissu : ni kweli tar. 07/04 DCP Ng'anzi alisema amempata huyo aliyerekodi? George: Ndio ni sahihi kabisa. Mhe. Lissu : Na memory card nayo alikwambia imepatikana? George: Ni kweli aliniambia hivyo. Mhe. Lissu : Ni kweli DCP Ng'anzi alikwambia kwamba memory card na card reader yake vitaletwa siku hiyo hiyo na Andrew churu ofisini kwako? George: Ni sahihi kabisa. Mhe. Lissu : Ni kweli au si kweli kwamba siku ya tar. 07/04 Andrew Churu alisafiri kutoka Dodoma hadi ofisini kwako na kufika usiku? George: Ni sahihi kabisa. Mhe. Lissu : Je alikuja na hizo card, na vitu vingine? George: Ni sahihi alikuja navyo na alikuja pia na hati ya makabidhiano. Mhe. Lissu : acha kiherehere hiyo hati sijakuuliza. Mhe. Lissu : je ulisoma maelezo ya P hiyo tarehe 07 ulivyoletewa. George : ni kweli nilisoma. Mhe. Lissu : Kwa vile ulisoma, kweli au si kweli huyo P alisema ni yeye ndie alirekodi mkutano na ni yeye alirusha kwenye Jambo TV akaunti? Anamtafutia maelezo ya huyo P na anamwambia ayasome. Anasoma George "kuwa mimi nakumbuka mkutano ...” anasimama Katuga anasema haya maelezo sio yakwake shahidi kwahiyo asiulizwe. Mhe. Lissu anajibu shahidi mwenyewe ndio kasema kuwa alipelekewa maelezo na huyo P akasoma, na maelezo hayo ndio yanasema nani alichapisha? Majaji wanasema msomee wewe tafadhali. Mhe. Lissu anasoma kuwa P anasema ni wao Jambo TV ndio walikuwa wanarusha. Na wao ndio walirekodi. Mhe. Lissu : Je mimi ndie niliesambaza na kuchapisha? George : ndio ni wewe uliyechapisha. Amesimama Katuga Mh. Tunaomba twende kwenye health break tutaendelea. Mhe. Lissu anasema sawa twende maana huyu shahidi ili nimalizane nae nahitaji siku zingine kama mbili au tatu. Kwahiyo bado tuko nae sana. Siwezi kumuacha haraka. Majaji wanaandika hapa kidogo. Sasa twende break tutarudi saa tisa mchana. Part 61 itaendelea tukitoka break Naomba repost yako.


















