Official Dj Prosso The King
670 posts

Official Dj Prosso The King
@AsseyFredrick
God is everthing in this word🙏🙏
Katılım Ekim 2021
1.2K Takip Edilen306 Takipçiler

@MiriamMkanaka Ila jamaa alikuwa kwenye kazi yake afu unamletea utanii
Filipino

Kuna Maana gani ya kupitisha/Kuzungusha Mwili kama hamtaki watu waje Barabarani
Hata angegusa Hilo gari angeondoka na Mwili ☺️anyway nikae kimya mie, Sema hilo Gumi 🙌🏿
Swahili Times@swahilitimes
Katika hali isiyo ya kawaida, mlinzi katika msafara uliobeba mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa, amempiga ngumi mwananchi aliyekuwa amesimama kando ya barabara kuaga mwili huo. Tukio hilo limetokea leo eneo la Ngarenaro mkoani Arusha wakati mwili huo ukisafirishwa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwenda Kijiji cha Ngarash, wilayani Monduli, mkoani Arusha.
Indonesia

@JayleenRickie We sema hivii mume wako ndo hapendi acha kuweka wingii apoo
Indonesia





















