Gari jingine linatoka mwezi wa kumi kwahiyo fanya miamala sasa kwa kama vile kulipia Luku, maji, tiketi, ving’amuzi, bili za serikali au kutuma pesa SimBanking ili na wewe uweze kuibuka mshindi kama Robert.
Follow @crdbbankplc kwa michongo zaidi.
#benkinisimbanking#crdbbank
Leo nilipata nafasi ya kwenda Goba kukabidhi zawadi ya gari 🚘 kwa Ndugu Robert Masala ambalo ameshinda kupitia promosheni ya Benki ni SimBanking kutoka CRDB.
Pamoja na ubabe wake kwenye miamala lakini hawezi kupiga dana dana 🤣
#benkinisimbanking#crdbbank#tunakusikiliza
Wonderful night in Tanga as we march on to the Community Shield’s finals in style.
I am happy to have my name in the scoreboard once again and help the team win 💪
#daimambelenyumamwiko