M B Mugishagwe

23 posts

M B Mugishagwe

M B Mugishagwe

@BButembo

Katılım Nisan 2012
237 Takip Edilen8 Takipçiler
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
I've just signed a petition urging the Tanzanian government stop auctioning Maasai land to trophy hunters and carbon traders. The Maasai are being forcibly evicted from their ancestral homes under the false promise of conservation. Sign here 👉 act.gp/3MwXL56
English
0
0
0
58
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Sorry to be the bearer of bad news, naomba niongeze kuwa mbali na hizo $14,000 ambazo anawapa watu wake kama diplomats pia wake au waume za hao diplomats wanalipwa 1/3 ya mshahara wa diplomat. Kwa mfano kwa sasa mke wa Diplomat ambae mumewe anapokea $14,000 per month , serikali ya Samia inamlipa mke mtu $4,000 kwa kukaa tu nyumbani kumsubiri mumewe atoke kazini. Mbali hapo expenses zooote za diplomat kama usafiri, umeme, maji, cable Tv, bili za simu, shule za watoto etc zinalipwa na serikali ya Tanzania. Imagine mke mtu analipwa robo 3 ha mshahara wa mumewe kwa kukaa nyumbani n na bado analipiwa na pesa za kupeleka watoto daycare, so mke analipwa kukaa nyumbani kuangalia TV. Mbali na hapo mshahara wa huyo diplomat huko Tanzania anapokea kama kawaida. Yes naomba kurudia mbali na hiyo $14,000 diplomat bado anapokea mshahara wake huko Tz kama kawaida. Yani hiyo $14,000 ni nje ya mshahara wa huko TZ Kwa kifupi diplomat mmoja anai cost Tanzania almost $30,000 per month. 😭😭. Sasa mnaambiwa hao diplomats wanaopelekwa ndo mnaweza kulia, wengi ni wanzanzibary hata English hawajui vizuri. Unaambiwa kujieleza tu shida. Watanganyika ni wa kuhesabu tena wanawekwa kama vile danganya toto ila asilimia kubwa ni wa Zanzibar’s. ‘Lipeni kodi tufanye maendeleo’ maendeleo anayoongelea ni kutumia $30,000 kwa mwezi ya kodi zenu kwa mzanzibary mmoja kwenda kutembea nje ya nchi kwa miaka minne….
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
216
211
1.6K
213.1K
Adémọ́lá.
Adémọ́lá.@OgbeniDemola·
Hitler was inspired by what the British did to the South Africans in the Anglo- Boer war, what the Germans did in Namibia. Whatever Hitler did, his fellow Europeans had done worst to African people.
English
81
747
1.9K
44K
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
@HeradiKj @godbless_lema ?!?!Kinachokataza au kinachozuia uzalishaji wa viwango Bora na stahiki hapa Tanzania ni nini? Chuma IPO makaa yapo ni Wana taaluma kukosekana? Si wanaajiriwa kokote DUNIANI AU?
Filipino
0
0
0
17
Backbencher@255
Backbencher@255@back_bencher255·
@godbless_lema Tatizo nondo zinazozakishwa nchini zina viwango duni sanaa kuzitumia ktk miradi mikubwa ya kimkakati.
Indonesia
6
0
5
1.3K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ni aibu kubwa ktk Taifa lenye viwanda vya kutengeneza chuma (Nondo), kwamba ktk mradi mkubwa kama huu nondo zote za mradi zinanuliwa South Africa.Tuna criss kubwa ya fedha za kigeni lakini bado tunashindwa kusimama imara na sera za kulinda viwanda vya ndani ili kupunguza matumizi ya fedha za kigeni.Rushwa ya 10% itaua uchumi wa Nchi hii kabisa
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
41
94
545
62.3K
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
@nytimes In the world where in the same war Israelis are murdered BUT Palestians are killed, humanity needs the likes of Nocholas Kristof's pointing to the true north.
English
0
0
0
25
The New York Times
The New York Times@nytimes·
In Opinion "If we owe a moral responsibility to Israeli children, then we owe the same moral responsibility to Palestinian children," our columnist Nicholas Kristof writes. "Their lives have equal weight." nyti.ms/3ZUNGow
English
90
128
517
161.3K
Tucker Carlson
Tucker Carlson@TuckerCarlson·
A man who claims he had sex with Barack Obama in 1999 tells his story. Wednesday. 6pm ET.
English
21.9K
48.3K
178K
77.2M
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
@ThatBoyKhalifax Tanzania is one of the few nations in the world who is sacrificing it's future generations to gambling and other addictions for the interests of the do called investors and their local agents as if there is no government/concerned citizens to protect it's future
English
0
0
0
6
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
watching tanzanian televisions is to allow yourself to be inundated with endless betting and lottery adverts. it reaches a stage where one asks oneself how did we get here? it’s crazy to say the least!
English
35
35
241
24.5K
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
@HildaNewton21 Ni ishara kuwa taifa ni mufilisi kimaendeleo na kiuongozi- tunawatoa kafara vijana na vizazi vijavyo kwa wanaoitwa WAWEKEZAJI wenye kusambaza mashine za kamari,viroba vya vilevi, video n.k
हिन्दी
0
0
0
3
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mwekezaji kamwaga haya Madude yake ya kamari mpaka Vijijini huko anakula tu pesa za raia.🙌
Hilda Newton tweet media
Filipino
226
72
1.7K
173.7K
M B Mugishagwe retweetledi
Richard Mabala
Richard Mabala@MabalaMakengeza·
waraibu wa betting wamekuwa wadau muhimu wa maendeleo?
Filipino
61
29
349
0
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
@MabalaMakengeza Na simu zoote za ofisi za serikali ni fake au hewa!!Hili ni jukumu la wizara gani? Na nani anayewajibika kwa uzembe huu?
Indonesia
0
0
0
0
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
@marieantoinasty @SWAHILIBINT It is a big consipiracy!! Nearly everybody is involved including the victims themselves - forced ofcourse by the poverty- its modern day slavery...
English
0
0
0
0
blue scrubs
blue scrubs@mxnxcaaaa·
maids in tanzania need to unionize,the amount of abuse they go through is unparalleled.
English
3
14
72
0
M B Mugishagwe
M B Mugishagwe@BButembo·
Actually inasikitisha sana tu na kuhuzunisha kuwa Watanzania wengi hatuna empathy wala sympathy? Unakuta mtu anamcheka na kumbeza mwenye ulemavu au mwenye ugonjwa usio wa kawaida!! Inawezekana kabisa kuwa bwana huyo ana tatizo...
Richard Mabala@MabalaMakengeza

Kwa kweli sisi Wabongo ni mabingwa wa unyanyapaa. My ameshindwa kusoma. Labda ana kigugumizi, labda msongo ulizidi mbele ya Rais na kadamnasi yote hii na ukishashindwa mara ya kwanza panic inagandisha bongo. Lakini tumemdhihaki weeee na hata kumwigiza. Duh!!!

Indonesia
0
0
0
0
Cara Weinberger
Cara Weinberger@caraweinberger·
if i wanted to wait this long for a man to name a woman, i'd read any screenplay written by a man
English
13
220
2.6K
0
BintiBwana
BintiBwana@BwanaAnna·
Lakini jamani kuna watu wanatoka mbali, aisee
BintiBwana tweet media
Indonesia
180
89
2.4K
0