Baba_Arthur_Ariella
83.8K posts

Baba_Arthur_Ariella
@BPKAA_
#Arsenal#Simba
Igunga Tanzania Katılım Aralık 2010
2.2K Takip Edilen4.5K Takipçiler

@JohnieZeBest @iam_faixal Leta hela shem…sina hela ya kikoba nextweek
Filipino

@NgowiGold Party la ushindi lipigwe hapo, parade litokee hapo
Filipino
Baba_Arthur_Ariella retweetledi

Kupangiana sasa😂😂 hizi zipu ni kwa maskini tu si ndio?
NYANI MZEE@jwise017
MWANAUME: Zipu yako ikiwa mbovu kila siku utalalamika kwamba unafanya kazi kwa bidii na mafaranga unapata lakini huoni unachofanya. Ukweli ni kwamba mlango unaotoa ni mkubwa kuliko mlango unaoingiza. Funga zipu yako na utaona matokeo kwa muda mfupi tu.
Filipino

Shida mnamiss the point, yani unaanza biashara baada yakua mwanasiasa si ndio? Africa yetu hii siasa na biashara ni kuiba mali za umma tu, hatuna mifumo hiyo kwamba hela zako ni zako na za gavoo ni za gavoo. Sio poverty mentality bali reality kwamba wanasiasa wanaiba na hatuna chakufanya kwa sasa
Indonesia

@fredkavishe @Tanganyikan Sawa pole mzee, kesho piga 10km kibindoni ukae sawa
Filipino

@BPKAA_ @Tanganyikan Nina homa toka nitoke moshi siko sawa
Nimepumzika
Filipino

Mie labda wafike sale ya 80% and above ndo naweza okota kitu significant hapo😅
Uncle Fafi@Tanganyikan
Orca Deco wana discount ya 25%
HT

@fredkavishe @Tanganyikan Uko wapi kwanza nije nilambe hata bia moja aisee

@mis_minky Dar hii there is nothing of excellent quality mkuu😅😅
English








