MR LIFE🪽💻⌨️🎮

5.6K posts

MR LIFE🪽💻⌨️🎮 banner
MR LIFE🪽💻⌨️🎮

MR LIFE🪽💻⌨️🎮

@BabaAtifah

instar #mysetup_tz ||Gaming accessories🎮||gadget||laptop 💻||setup || #juiceworldqMusic call or WhatsApp+255692562259 https://t.co/eGsTNEyLA9

kijitonyama,dar es salaam Katılım Haziran 2022
2.2K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
MR LIFE🪽💻⌨️🎮
MR LIFE🪽💻⌨️🎮@BabaAtifah·
Hello X family hii ni list ya package za setup na design zake kwa wale wanaoitaji full setup , 1) HOME OFFICE SETUP Hii home office setup uwa aiitaji mambo mengi kutokana na matumizi makubwa ya hii ni kufanya kazi za mbadala ambazo ulitakiwa kuzifanya ukiwa ofisini kwako👇👇
MR LIFE🪽💻⌨️🎮 tweet mediaMR LIFE🪽💻⌨️🎮 tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
4
15
41
5.8K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu kijana anaitwa James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family wakuitwa Mhe. Temba James Temba alitekwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita jana mwili wake umeonekana ukielea mto msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa. Huyu Msanii wenu pamoja na wenzake ni Makada wa CCM, tukiwaambia tuungane pamoja kupinga maswala ya Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa huwa wanajivuta nyuma kwasababu wanadhan kwamba wao na familia zao wapo salama kwasababu wapo upande wa watekaji, leo na yeye limemkuta mtu wa familia yake. Wapendwa hakuna ambae yupo salama ili wote tuwe salama inabidi kila mmoja bila kujali itikadi wala dini, tuungane kupinga vitendo vya Utakaji na yote yanayofanana na haya. Hii nchi ni yetu sote, haiwezekani kikundi cha watu wachache ndo wawe wanaamua nan aishi na nani afe, HAPANA.
Indonesia
61
213
743
48K
MR LIFE🪽💻⌨️🎮
Ukiwa baba Kuna ile hali ya kula vitu vizur nje na nyumban then ukaanza waza nyumbani mbona kama nawatenga watoto wangu kula pekee unajikuta unagaili kununua
Indonesia
0
1
1
30
MR LIFE🪽💻⌨️🎮
Sisi waislam uwa attaching kisasi na kisasi ni haki ,yani me nimeshasema si familia sio malafiki ikija tokea ata mmoja akagusa mimi au kizazi changu kwa mambo ya kisenge mimi natenda Mala Mia kwake,
Indonesia
0
0
0
14
MR LIFE🪽💻⌨️🎮 retweetledi
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Inatimia miezi sita toka tupoteze ndugu,jamaa, na marafiki maisha yao yamekatizwa adi Leo hakuna alie wajibishwa zaidi ya kuuficha ukweli😭😭💔 R.I.P MO29💔🕊️
ROSALINE🦋 tweet media
Indonesia
27
229
721
6.3K
MR LIFE🪽💻⌨️🎮 retweetledi
JUST KINGS
JUST KINGS@JustKingss·
If this appears on your timeline just repost it. #EndPoliceBrutality ✊🏾
JUST KINGS tweet media
English
652
52.1K
57.3K
1M
MR LIFE🪽💻⌨️🎮 retweetledi
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
"Usibebe kila jukumu.. Ukiwa Mwanaume kuna hela unapaswa kuficha." 🗣️ Kauli hii aliniambia BABA yangu
Indonesia
12
125
692
15.7K
MR LIFE🪽💻⌨️🎮 retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Tumshike mkono Dj Choka 🙏🏼
WHYMYCATISSAD tweet media
Filipino
53
126
682
60.5K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Unaona mtu anaenda kwao mara kwa mara, unadhani anaenda kusalimia, kumbe kaenda Kurenew Bima ya afya na biashara 😆
Indonesia
30
76
863
20.9K
MR LIFE🪽💻⌨️🎮
MR LIFE🪽💻⌨️🎮@BabaAtifah·
@Kicheche_jr Nishalala kawe 5 days na police wenyewe wakaja zozana na kuona nimeonewa 😄mule ndani skia tu aisee bora uende mgodini sio mule ndani
Indonesia
1
0
0
74
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Hivi kuna mwanaume anaweza kutoboa 70 year bila kuwahi kushtakiwa mahakamani?
Filipino
19
9
161
9.4K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Pale Malawi report inatoka mambo ni 2 Usiingie TL kuepusha shari au Wakali wakuchukue wakaminye Gear Box na “PLAIZI”
Indonesia
4
10
93
9.3K
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Mbezi mwisho kuna hadi kuku wa 2,000 mzima, sema ukila unatema manyoya kama maganda ya miwa.
Indonesia
71
84
460
26.4K
MR LIFE🪽💻⌨️🎮
MR LIFE🪽💻⌨️🎮@BabaAtifah·
@HildaNewton21 Hii ya kurudisha picha ya zamani au is iyo clean kuwa clean 4k niliwahi ona online warning wanatudisha adi picha ya 1945 inakua clean
Filipino
0
0
0
1.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Waujaji wa Oktoba 29, 2025 hawa hapa sura zao zinaonekana tena very clear. Hawa watu wameuwa maelefu ya ndugu zetu walidhani hawatatambulika milele sasa tumeshawajua kwa sura bado majina. Kama umemtambua yoyote kati ya hawa naomba taarifa zake DM.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
48
276
1.1K
65.6K