Adamoo
155.9K posts

Adamoo
@Addy_Adams
لا إله إلا الله محمد الرسول الله

Sheikh Walid angekubali mtoto na kutomtishia Maisha huyo bint hayo yote yasingekuwepo Japo tunafanya ila MUNGU atunusuru sana na AIBU ya ZINAA. Hakika ni MTIHANI SANA

Ikija kutokea France katolewa (japo ni Ngumu) hii michuano itakosa kabisa Msisimko

@Addy_Adams Utahama sana kaka mkubwa

Ikija kutokea France katolewa (japo ni Ngumu) hii michuano itakosa kabisa Msisimko

Mimi kwa akili zangu za kuuzia samaki, Magufuli angefaidika nini ni assasination ya main Political opponent?

F1 Jeans yangu nilinunua shilingi elfu kumi mtumbani 🔥🔥 F3 Full outfit Jaja Clothier 🔥🔥

Sheikh Walid angekubali mtoto na kutomtishia Maisha huyo bint hayo yote yasingekuwepo Japo tunafanya ila MUNGU atunusuru sana na AIBU ya ZINAA. Hakika ni MTIHANI SANA