Samaki zeruzeru.

4.9K posts

Samaki zeruzeru. banner
Samaki zeruzeru.

Samaki zeruzeru.

@BarelySammy

The little fish. intern at @succinctLabs my tweets are my opinion.

Moon Katılım Temmuz 2022
608 Takip Edilen226 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Samaki zeruzeru.
Samaki zeruzeru.@BarelySammy·
Did you know @SuccinctLabs has fast RISC-V zkVM precompiles, essentially for Ethproofs integration. With this kinda tech "Dad" was right, turns out I actually wanted to be born.
Samaki zeruzeru. tweet media
English
0
0
0
510
Samaki zeruzeru.
Samaki zeruzeru.@BarelySammy·
@EsirEid hapa umeenda delusional kdgo, deep down u want that body back kaka 😂 wacha kujipa moyo kitambi ni usenge (respectively) haya turud gym tupate afya njema kwaajili yako mwenyew na sio wanawake.
Indonesia
0
0
0
2
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kipindi nipo CHUO nlikua sikosi GYM asubuhi na jioni Manzi walikua wanalilia SIX PAKI zangu Ila nlikuja kugundua ni Manzi wasiojitambua watoto,vibinti vya Chuo! Wanawake wanaojitambua,wenye malengo na Future wanaangalia Hela tu💯 nkafuga kitambi na Hela🫶🏾
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Filipino
71
42
414
20.3K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Ila Askofu unayejitambulisha kama mtu wa Mungu ukileta usanii inasikitisha! Uhajua hakuna siri kwa sasa? Sasa naambiwa kumbe ulirekodi haya madudu Jumatano huko Marangu alafu mkapanga itoke baada ya ripoti kusomwa iwe kama ulikuwepo! Nimepitia sura zote pale ukumbini ungekuwepo tungekuona! Eniwei hata huna impact tena - it is very sad! Unaharibu legacy mwishoni! And for what? Hiyo pesa uliyopewa ktk bahasha itaisha tu ila reputation kurudisha ngumu #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Indonesia
80
85
357
30.3K
Samaki zeruzeru. retweetledi
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Baada ya Uchaguzi msikubali maridhiano “HAMPHREY POLEPOLE”
Buba9️⃣9️⃣ tweet media
Indonesia
28
236
1.9K
22.4K
Samaki zeruzeru.
Samaki zeruzeru.@BarelySammy·
@Maestrowafact Muhimu kuacha unafiki, Bunge livunjew lisivunjwe na yeye ni wale wale tu, tukisema tufuate sheria dhidi ya hawa hakuna mtoboaji hapo. Hvyo basi.. huyu mama muhusika kama wenzie tu. History ineshaandika na itamuandika hvyo. Fyekaaa! 😂
Indonesia
0
0
1
518
Samaki zeruzeru. retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Rodrigo Duterte aliua maelfu kwa kisingizio kuwa aliua wauza unga yaani drug dealers na kupambana vita dhidi ya madawa ya kulevya Na ICC walifungua mashtaka kwa kutumia ushahidi wa kesi ya wahanga 76 tu na wamekamilisha utaratibu na kuanza kesi ICC na jana rufaa yake imepigwa chini Nyie wauaji wa Tanzania mkadhani mkisema mliua watu 500 na eti walikuwa na silaha (hadi watoto) mtapona? Ujinga mzigo kwa Taifa - mmejiwekea kitanzi wenyewe! Ripoti ya Chande na uongo wake wote uneshindwa kuwasafisha! CCM mmekwisha na kuua legacy yenu yote! #SamiaToICC #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
20
97
342
12.6K
Samaki zeruzeru.
Samaki zeruzeru.@BarelySammy·
@MfalmewaX1 bro niliunda hii topic very controversial pale Jamii forum, wakasema nna ubaguzi.. niliwapelekea moto wanawake mule wakaanza kulia 😂, thread ili flood watu 20 wote wana nivamia, whats worse ni vile simps walivyokuja eti waonekane heros.💀 mwishowe account ikawa banned 😂😂
Indonesia
1
0
1
55
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Dear wafalme, Mwambie feminist akupe sifa za Mwanaume anavyotakiwa kuwa - niamini Mimi atakupa sifa za Mtumwa. Kisha mwambie tena akupe sifa za mwanamke anavyotakiwa kuwa - atakutajia sifa za Malaya. Kwa faida yako, Kamwe usije kuoa mwanamke anayeamini mambo ya haki sawa.
Indonesia
1
10
92
1.1K
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki,TUNAJIVUNIA
Suomi
31
127
630
21.3K
Samaki zeruzeru. retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mwenyekiti wetu alisema haya miaka 12 iliyopita, kama kawaida ya watawala dhalimu wakapuuza ushauri wa mtu mwema huyu. Ccm wanakwenda kuingiza Nchi yetu shimoni, Watanzania tunapaswa kuungana kuokoa Nchi hii.
Indonesia
53
503
1.8K
23.4K
Threadscenes🪡
Threadscenes🪡@Threadscenes·
This man (CEO of Palantir) has a net worth of over 13 BILLON.
Threadscenes🪡 tweet mediaThreadscenes🪡 tweet media
English
1.1K
1.5K
19.9K
11.1M
Samaki zeruzeru. retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Tukutane Jumapili.
Marcus tweet media
Eesti
7
103
410
6.6K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Aaliya 🎤 Hivi jaymelody una mpenzi? Na kama unaye anaitwa nani maana mashabiki zako wanataka kujua Jaymelody 🎤 Kusema ukweli aliyah wewe umeolewa?. Unajua wewe ni mali safi kabisa Aaliyah 🎤 Hapana na sina mtu unataka kunitafutia? Jaymelody 🎤 Ni kutafutie hahah wakati mimi nipo , ila kusema ukweli mimi jay ni kweli nimeona na nina wake wawili -------------------------- Wakuu kusema ukweli yule aaliyah wa kipindi cha the switch cha pale wasafi Fm ni naweza sema ndo mtangazaji mrembo zaidi kwa sasa hapa Tanzania Pia napenda jinsi mastaa wanavyowaweka mbali familia zao na mitandao ya kijamii safi sana .
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
18
23
436
67.8K
Samaki zeruzeru. retweetledi
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Chande says cases of enforced disappearance in Tanzania were triggered by 1. Intimate relationships fallout-113 2. Witchcraft-87 3. Abduction by gangsters for ransom - 97 4. Retaliation-47 5. Self abduction because of debt and avoiding justice system -56 What a LIE
Joseph Oleshangay tweet media
English
10
28
60
5.7K
Samaki zeruzeru. retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
PUBLIC STATEMENT
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
English
21
140
422
7.7K
Samaki zeruzeru. retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Mange Kimambi amezungumza akiwa hoi anaumwa kuhusu Ripoti ya Jaji Chande.
Filipino
28
122
613
12.3K
Samaki zeruzeru. retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hawa ni polisi wana Uniform na wamepiga watu risasi na video inaonyesha kabisa ni polisi Hii ilikuwa na ulazima gani kufanywa na polisi ? Haya ndio mambo Chande anafurahia
Filipino
2
78
300
14.2K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
SAD STORY — Hii picha ni mtu, ni mshikaji, ni rafiki, ni kaka, ni shujaa; ni mwana ambaye ndoto zake zilizimwa kwa risasi. Ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akafa akiwa Ubungo. Hii tunaijua sote – au, kama hujui, fahamu huyu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. 🧵🧵
Tito Magoti tweet media
Indonesia
46
368
1.6K
32K
Samaki zeruzeru. retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hapa ni Mochwari ya Mt. Meru Hospital Arusha Siku ya Oktoba 29, baada ya majokofu kujaa ili bidi miili mingine iwekwe sakafuni kama mnavoona. Naomba Mtu mmoja anisaidie kuhesabu hii miili hapa halafu Madaktari mnisaidie kujua kawaida majokofu ya Mochwari kwa Hospital kama ya Mt. Meru yakijaa huwa yanakuwa na miili mingapi.?
Indonesia
3
118
265
8.8K
Samaki zeruzeru. retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Father Dr Kitima
Indonesia
2
62
252
4.6K