CAPTAIN BEKA.

516 posts

CAPTAIN BEKA.

CAPTAIN BEKA.

@Bekacx6

Katılım Kasım 2022
64 Takip Edilen48 Takipçiler
MK
MK@MightyKers·
Nisaidieni wazee, ishakua mbaya
MK tweet media
Indonesia
51
9
136
24.3K
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Zaidi ya nyuzi joto 2700*C walizokutana nazo lakini bado hiyo rangi kwenye chombo haikuyeyuka wala kufutika. Wakuu, ni kazi sana kuwatetea hawa jamaa😂
Mtoto wa Mungu🤲🏽 tweet media
Indonesia
154
25
607
70.4K
Ndesa 🐐
Ndesa 🐐@musyokaNdesa·
@Conspiracist_1 Unajua sabuni ya imperial?...unaogea mara ngapi mpaka ile label itoke?..kashikwe bega huko.
Ndesa 🐐 tweet media
Kenya 🇰🇪 Filipino
18
5
88
6.7K
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
@musyokaNdesa @Conspiracist_1 Acha uchoko ile label ukiishika inabanduka huwezifananisha na huu uongo wa NASA mnaaminishwa vitu vya kijinga na mnaamini, hiki wanachokifanya NASA ni utapeli wa kawaida sana wala huitaji maelekezo dosari zipo nyingi mno na nini lengo lao? Izi ni propaganda zakidunia mzee stuka.
Indonesia
1
0
3
177
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Hatimaye wanaanga wa Artemis II wamerudi salama duniani. Chombo chao kiliingia anga la dunia kwa speed ambayo ni mara 32 zaidi ya speed ya sauti. Msuguano wa hewa ukakifanya kiwe na joto la zaidi ya 2000°C kwa nje. Pia kuna wakati walipoteza mawasiliano. Wametua bahari ya Pacific
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
42
60
1.2K
33.5K
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
@ze_mandevu Izo ni propaganda za mataifa yaliyoendelea, lengo ni kuiaminisha dunia kuwa Marekani wakombele sana ktk teknolojia, kama hili jambo lingekuwa linawezekana basi wakwanza angekuwa mchina kufika mwezini
Indonesia
0
0
0
107
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Nadhani bado wengi wetu tuna fikra za kimaskini yaani kwa Dunia ilipofika sasa NASA watupe story za kutunga, wakati miaka ijayo huenda kuna Mataifa mengi yaliyoendelea nayo yataweza kwenda kufanya tafiti huko kwenye Sayari kitakacho baki NASA wataweka Legacy kuwa Watu wa kwanza kufika huko.
The mandevu tweet media
Indonesia
60
44
668
35.8K
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
@ze_mandevu Kwaiyo mzee madevu nawewe unaamini? Hiki chombo wanasema kinatembea speed kali zaidi mara tatu zaidi ya speed ya risasi, kutokana mgandamizo wa hewa kwa hii speed ni lazima chombo kingewaka moto sehemu ya nje, je! Umeiona iyo mizigo iliyofungwa na karatasi za nylon zingekuwa hai?
Filipino
0
0
0
150
Law Of Attraction Coach
Law Of Attraction Coach@manifestpower4X·
You will receive unexpected money this Week 💸 Aries - $450,000 Aquarius - $200,000 Leo - $100,000 Virgo-$350,000 Taurus-$800,000 Sagittarius -$900,000 Capricorn - $600,000 Gemini -$500,000 Cancer-$700,000 Pisces-$400,000 Libra-$300,000 Scorpio-$550,000 Drop 999 To Claim it!!
Law Of Attraction Coach tweet media
English
1.2K
270
4.1K
65.8K
Bands💰
Bands💰@chakidbest29·
Unexpected money is coming to you. Claim it “777”
Bands💰 tweet media
English
957
201
5.1K
82.7K
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
@JMariotz Namba 3 ndio anapossibility nzuri ya kucontrol na kufunga sababu mguu wa kulia wa beki haupohuru kusogea hivyo ni rahisi kwa namba 3 kucontrol na ku score, option ya pili ni namba moja ananafasi, akiongeza speed basi anaweza kuscore au kupiga cross cut
Indonesia
0
0
0
28
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
@kasesco_tz Huyu ni Mwigulu Nchemba, waziri mkuu wa Taifa la Tanzania, ila ukiangalia kwa jicho la wenge utamuona Fidel Castro aliyekuwa kiongozi wa Cuba, na rafiki mkubwa wa Che Guavara walioleta mapinduzi makubwa Cuba.
Indonesia
0
0
0
131
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kwa walee mliosoma historia Advance yaan mkapiga Asubuhi History One halafu jionii mkapiga History Two Yaanii walimu wa History wakawa Wanapishana Tu Mlangonii......Huyu Ni Raisi Wa nchi gani..??
kasesco☆ tweet media
Filipino
65
16
275
38.8K
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
@Thereal_taivina Kweli mkali, slip 4 na zote wao tu ndio wameniua dadeq nimeshinda na hasira hasira tu sijielewi
Indonesia
0
0
0
13
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Sema utapeli wa hapa jana umekwamisha michongo mobb sana.
Taivina James tweet media
Indonesia
9
8
143
4.7K
Big 0047
Big 0047@BigOO47·
Mikoa 4 Yenye Wasomi Wengi? 1. Arusha 2. Kagera 3. Moshi 4. Mbeya Mkoa gani nimezingua Wakuu 😂
Indonesia
86
51
303
21.7K
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
Odds 99 GG zimetoa 163400+ kwa 1500 tu Alhamdulillah
CAPTAIN BEKA. tweet media
Indonesia
0
0
0
7
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
Nani jana hakumla Kanji hii 20k naitoa kwa watu 5 wakwanza kucoment
CAPTAIN BEKA. tweet media
Indonesia
1
0
0
7
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
Wanangu wa odds mbili tumeanza jana zimetoa na leo hizi hapa, Sportybey code 6KLSVZ Odds 2.94
CAPTAIN BEKA. tweet media
Lietuvių
1
0
0
31