Bekanho

864 posts

Bekanho

Bekanho

@Bekanho06

hatupo serious

Katılım Ocak 2022
528 Takip Edilen76 Takipçiler
Bekanho retweetledi
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Leo napenda kuzungumzia ugonjwa hatari wa Vidonda tumbo kwan ni ugonjwa ambao humfanya mtu kunyong’onyea kupoteza mvuto na kupungua kwa mwili wake bila yeye kutarajia 🙏 Pia ni ugonjwa unao ongoza kufanya watu vinywa vyao vitoe harufu kali sana 😷🤧 sasa leo nataka kuwapa hii tiba naiman itawasaidia leo nafanya kuirudia maana niliwah ielezea miaka 4 iliyopita Hasara za vidonda tumbo: ❤️ Kukosa hamu ya kula ❤️ Kukosa hamu ya kula chakula cha wanandoa ❤️ Harufu mbaya ya kinywa ❤️ Kuumwa na tumbo ❤️ Ongezeko la uzalishwaji wa Acid mwilin ❤️ Kuumwa na kwenye maungio ya mwil wako (joints) ❤️ Kushindwa kufika kileleni kwa wanawake Papai moja bichi kama hapo kwenye picha likate kate na mbegu zake kisha chukua maji safi ya vugu vugu ujazo wa lita moja na kisha loweka hilo tunda lako kwa muda wa masaa 24 kisha utakunywa kikombe asubuhi na kikombe jion Kwahyo ukinywa unapomaliza utaandaa mchanganyiko wako mpya na zoez hili lifanywe kwa sku 21 mpaka 30 Niwatakie mazingira mema na kupona kwema Nb: Usipopona ujue unatakiwa kuja kununua dawa kwangu 🙏🙏🙏🙏 Sogea dm/Whatsaap 0680114218
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
3
42
76
9.6K
Bekanho retweetledi
MAGOKORO
MAGOKORO@fivara_·
Emcee anaweza kuwa rapper lakini sio kila rapper anaweza kuwa emcee. Emcee anafanya kwa ajili ya utamaduni tu. Anazingatia misingi, falsafa, itikadi na mlengo wa harakati. Rapper anafanya kurap tu. Anaweza rap kwenye mdundo wowote ule, hajifungi, kwake pesa na soko ni muhimu.
EastAfricaRadio@earadiofm

Producer @black_ninjaah amemtoa #Billnass, #ChidiBenz na #FidQ kwenye kundi la wasanii wa HipHop! Msikilize hapa akinyoosha maelezo sababu ya kuwatoa wasanii hao kwenye HipHop. #PlanetBongo

Indonesia
5
6
16
2.1K
Bekanho retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Ile nyimbo ya matusi sijui kaimba nani ?
Man Like Sule™ tweet media
Indonesia
0
3
16
353
Bekanho retweetledi
kyoma.🌴
kyoma.🌴@kioma_1·
Sema wanangu usiombe demu wako apendwe na mubaba🙌 Utatii 🥹
Indonesia
3
7
21
541
Bekanho retweetledi
shija Habib
shija Habib@shija21·
kwa wanawak-e wa sasa kati ya miaka 18-28 ikiwezekana msiwaoe, wanaishi maisha ya TikTok nyumbani au tamthilia na kuwafanya wanaume zao kuishi kwa tabu sana ya kimawazo na ukorofi ambao mtu hata hakua nao Hizi simu Smart zimechangia pakubwa sana kuwavuruga hawa wanawake wa kisasa Hawajui heshima kwa mwanaume, Wala hawavumilii shida, kubadilisha mahusiano au kua ndani ya ndoa na kua na mhepuko kwao imekua ni kitu cha kawaida Utawasikia wanasema wanahitaji mwanaume sahihi ilihali wao wenyewe hawako sahihi karibu kwa 98% ya maisha yao ya kila siku ni FAKE. Uchunguzi wangu umetambaa ktk maeneo mbali mbali hapa nchini na nimethibitisha wanawake wa kuoa kwa sasa kwa vijana ni mtihani wa Mathe.✍️😏
Indonesia
39
270
8.1K
388.5K
Bekanho retweetledi
MFOY
MFOY@rapcha_tz·
FINALE FREESTYLE my next post watatiii!
English
12
25
89
2.8K
Bekanho retweetledi
Odumodu
Odumodu@Odumodu___·
SIKIA MAMBO YASIWE MENGI - Kama una mahusiano huyaeleweki - Kama una madeni kila kona, kama unahisi kuna plan mbaya juu yako na unataka kuijua CHEZA NA HIZI CODE HAPA. 🧵FUNGUA UZI MFUPI ⤵️
Odumodu tweet mediaOdumodu tweet media
Indonesia
21
142
335
53.1K
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Japo babu yenu “nimepinda” lakini huku siwezi kufika 😂😂🙌🏾🙌🏾
Indonesia
18
22
118
13.2K