Benix Matrix

22.6K posts

Benix Matrix banner
Benix Matrix

Benix Matrix

@BenixMatrix

I talk about copywriting, content marketing, and self-learning. | Panorama Authentik

Tanzania Katılım Mart 2015
1.1K Takip Edilen7K Takipçiler
Benix Matrix retweetledi
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Nothing is more dangerous than a foolish person holding the power to decide your work, your business, or your future.
English
27
59
200
8.7K
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Kulikua na umuhimu gani kuandika lile jina kwenye jezi?
Filipino
0
0
0
15
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
💡Mpendwa Kijana wa Tanzania, Usipoteze uhalisia wako ukijaribu kuwa kama mtu mwingine tambua wewe ni wa pekee na ishi katika upekee wako. Kuna muda utaingiwa na hofu ndani yako, lakini katika nyakati kama hizo kumbuka wewe ni nani na uwe mkweli ndani yako.
Indonesia
0
6
22
281
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Kama Unataka Kujifunza Marketing Lakini… …hujui ni wapi pa kuanzia. Basi tafuta kitabu cha Seth Godin kinaitwa—THIS IS MARKETING! Ni bonge moja la kitabu, nina uhakika utajifunza vitu vya msingi sana—Highly recommended!
Indonesia
1
0
9
181
Mfizikia
Mfizikia@Maisha_Pro·
@BenixMatrix Stick to what works for you. Haiwezekani mara usome AI, mara digital marketing, mara cloud computing, mara upo video editing. Siri ni kukamia kimoja. Au kama vipi tuzamie migodini tu😂
Filipino
1
0
1
16
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Mpendwa Kijana wa Tanzania. Usikaze ubongo na kuamini hicho unachokijua ndio mwisho. Kuna mambo mengi mapya ya kujifunza kila siku. Jenga tabia ya kujifunza vitu vipya mara kwa mara huezi jua vitakusaidia wakati gani. Ingia YouTube, Reddit au Quora vitu kibao utajifunza bure.
Indonesia
1
7
38
497
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Ukipata muda sikiliza wimbo huu "Wengi Wao - Dizasta Vina x Dubo Jesus Son"
Indonesia
1
3
24
504
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Kuna hii kanuni inaitwa "THE 5-HOUR RULE": Kila siku tenga saa 1 (kasoro wikiendi) au masaa 5 kwa wiki kwa ajili ya KUJIFUNZA VITU VIPYA. Kujifunza kunaweza kuwa kwa njia ya kusoma, kutafakari au kufanyia kazi ndoto mpya. Itumie kwa mwezi mmoja isipokusaidia basi achana nayo.
Indonesia
0
0
11
170
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Kuna hii kanuni nilijifunza inaitwa — "THE RULE OF ONE (RIOA)" Kabla sijaandika chochote, natumia RIOA kupanga wazo langu. RIOA = Reader, Idea, Offer, Action. 1. Andika kwa ajili ya mtu 1 (Reader) 2. Wasilisha wazo 1 (Idea) 3. Toa thamani kupitia (Offer) moja na (CTA) moja.
Suomi
0
0
1
42
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Mpendwa Kijana wa Tanzania, Usiogope kushindwa; jaribu tena na tena. Mafanikio huja kwa wale wanaojifunza kutokana na makosa na kuendelea kusonga mbele. Safari bado ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu.
Indonesia
0
2
18
245
Benix Matrix retweetledi
Bakari Ndeke
Bakari Ndeke@ndeketz·
@KennedyMmari This is an "Oak Culture" for many organisations, especially manufacturing, telecom, major businesses etc. Sisi kina 'N'jomba' watu wa dili. Weledi pia nadhani unakua compromised na wengi wetu wanapoaminiwa. Being afraid dace this daylight factual encounter ni jambo jingine.
English
1
1
7
1.1K
Benix Matrix retweetledi
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Dangote hires many Asians into critical operational and technical roles across his companies. That should force an uncomfortable conversation across Africa. Not about race. About capability, systems, discipline, and industrial culture. But we are still too emotional to discuss that honestly.
English
25
23
124
17.8K
Benix Matrix retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Panorama kitambo taifa langu, Thank You My Brother Dizasta.
John kalage 🇹🇿 tweet mediaJohn kalage 🇹🇿 tweet mediaJohn kalage 🇹🇿 tweet mediaJohn kalage 🇹🇿 tweet media
Lietuvių
6
20
253
14.7K
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrix·
Mnarap petty things sana wazee
English
0
0
0
29