
Bakari Ndeke
2.7K posts

Bakari Ndeke
@ndeketz
Advocate | Consultant | Cab-rank rule | Human rights






Whoever said “money can’t buy happiness” really knew what they were talking about 😔

Kuhusu Oktoba 29: TLS yataka ukweli, haki, uwazi na uwajibikaji







@salim_alkhasas @Octavianlasway Daaah. Pole sana kwake amerudi nyuma maana ni mtaji umepotea.

Wanasheria naomba mnisaidie kuhusu hii hukumu ya tarehe 17 Dec 2025 Inawezekana majaji kupangua hukumu bila kutoa mwenendo wa kesi hadi jinsi walivyofikia maamuzi ya kutengua hukumu?




Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya nzuri kiasi kwani kiwango chake cha sukari kwenye damu kimeongezeka kiasi ila Daktari amemuhakikisha kuwa kitadhibitika na kurudi hali ya awali kwa kuendelea kutumia dawa na Chakula. Ametueleza kuwa amepokea barua kutoka kwa Naibu Msajili wa Mhakama Kuu ya Tanzania kuwa kesi yake itapangwa katika kikao maalumu cha Mahakama. Hata hivyo ikumbukwe kuwa sasa Mahakama Kuu ipo likizo hadi tarehe 31 Januari 2026. Mwenyekiti Lissu amesisitiza kuwa uhaini ni kosa pekee lililotajwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977 na hivyo halitakiwi kuendeshwa na kushitakiwa kwa utaratibu wa makosa mengine ya jinai. Tutafikisha maelezo haya kwa uongozi wa Mahakama. Vinginevyo amesema watu wawe imara na kuwa ATARUDI NA KUWA NASI.


Ila bishop 🤣🤣🤣 Lofa hawa wanasumbua sana! Watulie dawa iwaingie! Sisi tunamwagiwa matusi wao wameambiwa ukweli wanatoa milio! Hawa ni pumbaf na malofa! Yanachukua pesa za Abdul na kubwabwaja! 🚮 #TutaelewanaTu







