Sir-Mbosa
10.7K posts

Sir-Mbosa retweetledi

Najulishwa kwamba kwenye hizi TOP FIVE LEAGUES the most assists ever to be recorded in a season ni assist 21..
Two assists against Brighton and BRUNO sits JUU ya THE BEST WENU WOTE maamaeee..
Huyo ndio #ElMagnificoBrunoooo

English
Sir-Mbosa retweetledi

Kuna mlevi hapa anasema..
Tukiongea kiukweli kabisa Simba na Yanga kufika nusu fainali au kuchukua ubingwa wa Club Bingwa Afrika bado sana.
Lakini binafsi naamini tukipeleka hawa mapacha shirikisho ndani ya miaka 3 kikombe cha Afrika kinakuja bongo.
Sasa kwa maslahi mapana ya mpira wetu kwanini tusiweke kanuni kwamba mshindi 1&2 wanaenda shirikisho then 3&4 waende champions league ili tuanze kuzoea kwanza hilo kombe CCC (yaani tuchukue at least mara 3) then tukijiona tumeiva tunarudi kwenye default settings CL🤭
Indonesia

@MalkiaTabasamu Sijaelewa hapo mwishoni unamaanisha YUCHUBU
Indonesia

@MkulimaKante Sema hip hop ki iringa Iringa sio kibongo, unaijua utanikumbuka
Indonesia

Hii industry ya music wa hip hop kibongo bongo ilikuwa ina watu makini sijawahi kuona.
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Roho Saba alitoa nyimbo bora ya hip hop ya miaka yote chini ya usimamizi wa producer bora wa nyakati zote Amba.
Pale Ebony Fm enzi hizo wapo akina Edwin Bashiri Udade Va Vana hili goma lililia sana afu sikiliza huo mdundo wa Amba.
Maproducer wa sasa wana mengi sana ya kujifunza wanangu, Bonge moja la street hip hop🔥🔥
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Ila Pale sheikhe katisha saana…
TUBAIFO na TUBAITU 🤣😀😂😅🙌🏽🙌🏽
Eesti

@Maestrowafact Chura nimeshakuambia huku mtaani vijana wanaibiwa boda boda sana baadhi waliuliwa kabisa, police hawajawahi mpata hata mwizi mmoja Hadi Kuna vijana wengine hua wanakuja kuzipata pikipiki zao kwa jitihada zao wenyewe, hii nakubishia police wetu kwenye upelelezi bado sana.
Indonesia

@INFLUENCERjr Dodoma Jiji wamemgeuza Yanga ni underdog, Yan Dodoma Jiji inazuia na mapeki wawili😂
Indonesia

@ByCardoJason Ni kweli watu wengi wenye hela nyingi fixed huitumia kama dhamana kupata mikopo midogo kusolve issues hasa za dharula, ila kwa 10M kuikopea ni kuchukua risk ya kupoteza hata yenyewe tena kwa hasara zaidi. Maana hiyo 8m + riba ukishindwa kulipa hiyo ten inaondoka yote.
Indonesia

@BenjaminGodson5 Ko turudi nyuma hilo wazo mimi mwanamaendeleo na uchumi ni zuri au baya kaka ebu lipe hoja au kasoro kwanza kabla mwakani sijajitusu humo ndani kaka.😁
Indonesia

@ByCardoJason Upo sahihi na ndio mm nilichosema Sasa huoni vinalinzana na hoja yako ya mwanzo
Filipino

@BenjaminGodson5 Mikopo ni sehemu ya hesabu ya Net Worth ya mtu, lakini kama Liabilities (deni), si kama Asset (mali).
Kiufupi
Net Worth = Total Assets (yote unayomiliki yenye thamani) – Total Liabilities (yote unayodaiwa au deni).
Kaka japo sikua pure Accountancy ila course yangu niligusishwa
Filipino

@BenjaminGodson5 @Maestrowafact Hawa jamaa ni make...ge sana kwenye Justification zao. Yaani nitukane ndio nijue upelelezi?
Marekani viongozi wanatukanwa live,UK,ufaransa,ubelgiji,SA tuu hapo.
Upelelezi tuletee kitu wananchi hatujui au hatujawahi kusikia. Mfano juzi huyo dogo kafa ila upelelezi mpaka leo??
Indonesia

@97Yamungu @Maestrowafact Si ndio hapo, kwanza mtu akinitukana mtandaoni hata mm ninampata vizuri tu ni vile siwezi mfanya kitu.
Indonesia

Ni uzi mrefu mkali ilikua ni Joint ya Polisi, Tisi na FBI na kwa mara ya kwanza bongo tuliletewa teknolojia za kipelelezi kama Utambuzi wa DNA na Forescinc ya mabaruti..
Bongo walikufa 11 tu wakati KENYA walidead zaid ya 200 unajua kwa nn? Umahili wa vyombo vyetu
Unaweza@hataweweunaweza
@Maestrowafact UONGO
Indonesia

@ByCardoJason Madeni hua hayajumlishwi kwenye utajiri bali hua yanatolewa, sijui kama unaelewa haya mambo au unaandika tu.
Indonesia

@BenjaminGodson5 Pia elewa neno (kiuhasibu) tunavyohesabu utajiri wa mo dewj huwa tunajumlisha mpk madeni yake ambayo hujumuishwa ni hela zake.😁
Indonesia
Sir-Mbosa retweetledi
Sir-Mbosa retweetledi

Si ungeretweet tu ya janja iende mjini hii nayo ni dalili ya uchawi
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr
Hizi Pisi zimesomaga Medical jau sana Unamtolea Pipe.,Yeye anaanza kusema Walikutahiri vibaya..😅😅💔🚮
Indonesia












