Britanicca

6.7K posts

Britanicca banner
Britanicca

Britanicca

@Britanicca0

whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.

Vladivostok, Russia Katılım Nisan 2021
80 Takip Edilen6.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Kila nikijitahidi nimuone Mwigulu Nchemba kama Waziri Mkuu nashindwa Yaan inakataa kuingia akilini namuona kama Msanii msanii Fulani
Filipino
89
73
814
25.7K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
@pascomayalla Ben Saanane aliuwawa na Magufuli kwa oda ya kupelekwa kisiwani na kuliwa na chatu ! Taarifa zipo nyingi sana Suala la Mtikila kufa ilo liliratibiwa na Mbowe na Lowassa hakuna Ubishi Nina ushahidi ni baada ya kumsema kwenye interview, wakakodi vijana kadhaa hao hawakuwa polis
Filipino
0
0
0
15
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
@pascomayalla Mwaka 2017 September Huyu Makonda akiwa na Mweni wa Dodoma wali engineer kumshambulia Lissu kisa Magufuli Kasema kwamba , anawasiliana na watu wa madini na kwanini anaachwa anazurula, Lissu alichakatwa Risasi za Kutosha Msaidizi wa Membe ! Alichukuliwa na Usalama wa Taifa
Indonesia
1
0
1
16
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Leo ntaweka Mifano halisi ambayo Nina ushahidi tosha kuwa TISS na polis wamehusika pakubwa kwenye utekaji na uuaji, Polis mmoja tukiwa pale Hugo kinondoni sitataja jina lake Kwakuwa kashatubu na anatembea na Biblia sasa ! Alikiri kuhusuika kwa kumshughulikia Olimboka! I ….
Britanicca@Britanicca0

@kigogo2014 @_zack255 Acha nibaki peke yangu katika kusimamia ukweli bila undue influence! Polisi wanahusika sana kuumiza watu ndo sentensi naishia hapa najua mengi sana sana Tena na wengine ni Maofisa marafikia zangu kwa kunipa story kuwa tumemshughilikia fulan na fulan! Kuna siku mtu ataaibika

Filipino
1
0
0
128
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
@_zack255 @kigogo2014 Okay Lakin mengine ni Polisi, CHADEMA NAO wana mambo Yao Lakin Polis NAO Hatari Nina Mpaka meseji kaka
Indonesia
0
0
0
11
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
@Britanicca0 @kigogo2014 Bila kuathiri hoja zako! Bado haiondoi ukweli kuwa matukio mengi ya kutekwa kwa Wapinzani yanaratibiwa na kutekelezwa na CHADEMA wenyewe kwa sababu wanazozijua wao. Ipo mifano mingi. Hata wakati hili la juzi Lyenda ana majibu.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
0
1
15
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
TUNAPOSEMA WATU WANAJITEKA MUWE MNAELEWA... Tumekuwa kila siku tunasema na kuwaambia watu hasa CHADEMA wanatengeneza matukio ya kujiteka mkawa hakuelewi. Haya leo Waziri Mkuu kawasaidia kuelewa na kuwajulisha nini huwa kinafanyika na wanaotunga michezo ya kujiteka ndani ya nchi hii hasa huko CHADEMA.. Anayejiita msaidizi wa Chiba eti katekwa halafu mtu aliyekuwa naye kwenye gari akapanda bodaboda akaanza kufukuza gari lililomteka baadaye wakaanza kupigwa risasi halafu hakuna aliyejeruhiwa! Hivi nyie watu mbona hamnaga akili kiasi hiki? Sawa tunajua ni wajinga lakini mbona kama mmezidisha ujinga sasa.! Naye mtekwaji eti karuka toka kwenye buti ya gari mpaka vitu vya kati na kufungua mlango na kuingia porini 😁😁 akajikuta suruwali imenasa kwenye miiba ghafla kaibuka kavaa kanga na pingu zimemkamata kweli kweli ikabidi aende polisi kuomba afungukiwe pingu!.. mwandishi wenu wa hizi script ni mjinga sana. Nadhani leo mmeeleweshwa nani anafanya hii michezo na huwa inafanywa kwa lengo gani na kwa wakati gani!.. UFIPA tafuteni mbinu mpya hii ya kujiteka kuuwa watu wenu ilishafeli toka wakati wa Chacha Wangwe📌 #KigogoMediaUpdates
Indonesia
2
4
10
2.2K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
“Mi niliangalia kwenye seti nikiwa mdogo nilibandika picha ya Mwalimu Nyerere nikasema siku moja ntakuwa kama wewe 😁” Zitto 2008
Britanicca tweet media
Indonesia
0
0
2
327
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
✍🏻Iran – Mehdi Yarrahi, Agosti 2023 Kinachotokea: Mwimbaji Mehdi Yarrahi alikamatwa baada ya kutoa wimbo Your Head Scarf unaounga mkono haki za wanawake. Muziki/ngoma: Wafuasi wa Iran walisambaza video zao wakiwa wanacheza na kuimba nyimbo zake kwenye mitandao ya kijamii kama njia ya maandamano. Msanii maarufu Dariush, Ebi na wengine walijiunga kumuunga mkono ✍🏻Tunisia – Abir Moussi na wengine, 2024 Kinachotokea: Wafuasi wa Chama cha Free Constitutional Party walikusanyika Tunis kudai kufunguliwa kwa kiongozi wao Abir Moussi aliyekuwa jela. Muziki/ngoma: Walipiga kelele “Free Abir” na kulikuwa na mikutano miwili mikubwa ya maandamano siku hiyo. KWANZA WANAMUZIKI WA TANZANIA NI WAZEMBE WALIPASWA KUWA WAMETOA NGOMA ZA VIBE LA FREE LISU Mnisamehe kama nakosea sijui wenzangu wana maoni gani kwa hili cc @rugemeleza @PMadeleka @comanchechiefIV @katibadiaspora @ChademaTZ2 @ChademaDiaspora @lifeofmshaba @MariaSTsehai @HildaNewton21
Indonesia
3
7
14
1.5K
Britanicca retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kuna njia nyingi za kuhamasisha siasa dada ! Naona @godbless_lema @IAMartin_ au @ExMayorUbungo hawajakosea ! Tunapenda na Tutahakikisha @TunduALissu anaachiwa iwe kwa Kuimba Au kulia, pia haimaanishi kwamba mtu akitumia Masaa 20 kushinikiza Lissu atoke asitenge lisaa la kuishangilia Arsenal! Mfano Makamu wetu @HecheJohn kwa kazi anayofanya kubwa si kosa kula Vibe la Ushindi wa EPL. Tuje Kenye Mziki!👇🏾 SOMA KWA MAKINI HAPA ✍🏻jambo hili limetokea katika maeneo kadhaa ambapo viongozi wa upinzani wanapofungwa, wafuasi wao hutumia muziki, ngoma na mikusanyiko ya hadhara kama njia ya kushinikiza serikali kuwafungulia. Hii ni aina ya maandamano yasiyo ya vurugu na ujumbe wa ishara. NATOA SOMO👇🏾 Kwa nini muziki na ngoma hutumika Kuonekana: Ni vigumu kwa mamlaka kupuuza makundi makubwa, hasa yakifanyika kwa sherehe na kuvutia vyombo vya habari. Kuonyesha kutotumia vurugu: Inafanya iwe vigumu kuhalisha ukandamizaji kwa nguvu. Inaonyesha “sisi ni wananchi, si wahuni”. Uwasilishaji wa ujumbe: Nyimbo, vifijo, na kaulimbiu husambaa. Ujumbe wa “mwachieni X” unafikia watu wengi zaidi. Kuimarisha ari: Huwaweka wafuasi hai kiroho wakati kiongozi wao yuko jela. Mifano halisi ✍🏻Nelson Mandela – Afrika Kusini, miaka ya 1980-1990 Wakati Mandela alipokuwa jela, wafuasi wa kupinga ubaguzi wa rangi duniani kote walifanya matamasha na maandamano yenye muziki. Matamasha ya “Free Mandela” London 1988 na nyimbo kama Free Nelson Mandela ya The Special A.K.A. zikawa zana za kimataifa za kushinikiza. Baada ya kufunguliwa, ngoma na nyimbo zilikuwa sehemu kuu ya sherehe na mikutano. ✍🏻Aung San Suu Kyi – Myanmar, 1989-2010 Wafuasi walifanya mikesha ya kimya na kuimba hadharani wakati wa kifungo chake cha nyumbani. Baada ya mapinduzi ya 2021, “maandamano ya ngoma” na mikutano ya ghafla yenye muziki yalionekana Yangon na Mandalay kudai kufunguliwa kwa viongozi waliokamatwa. ✍🏻Alexei Navalny – Urusi, 2021-2024 Kabla ya kifo chake, wafuasi walipanga mikutano yenye vifijo na nyimbo. Mikusanyiko ya ghafla na vijana wenye muziki yalionekana katika miji kadhaa, hasa baada ya maamuzi ya mahakama kuongeza adhabu yake. ✍🏻Leopoldo López & Juan Guaidó na wafuasi wao – Venezuela, 2014-2020 Upinzani ulitumia muziki, ngoma za ngoma na dansi katika mikutano wakidai kufunguliwa kwa wafungwa wa kisiasa. “Concert for Venezuela” ya 2019 ilikuwa tukio kubwa mpakani mwa Colombia lenye ujumbe huo huo. ✍🏻Imran Khan na wafuasi wake – Pakistan, 2023-2024 Wafuasi wa PTI walifanya mikutano yenye muziki, ngoma za ngoma na dansi baada ya kukamatwa kwake Mei 2023. Video za makundi yakicheza na kupiga kelele “Mwachieni Imran Khan” zilisambaa sana. Vipengele vya kawaida Kaulimbiu katika mfumo wa nyimbo: Kubadilisha “Mwachieni fulan Mfano Lissu” kuwa vifijo au mashairi ili isambae. Ishara za kitamaduni: Kutumia mitindo ya muziki na ngoma za kienyeji ili iendane na watu wa ndani. Mitandao ya kijamii: Video fupi za makundi yanayocheza husambazwa ili kuweka shinikizo la nje kwa serikali. Kama ngoma za @Sativa255 na zile za CHANDE CHINDU Mbinu hii huonekana zaidi katika nchi kama Tanzania ambapo uhuru wa kusema kisiasa unapunguzwa. Muziki na ngoma hufanya iwe vigumu kuzipiga marufuku bila kuonekana kama ukandamizaji, na huweka suala hilo machoni pa watu. ✍🏻Georgia – Paata Burchuladze, Oktoba 2024-Mei 2026 Kinachotokea: Paata Burchuladze, mwimbaji wa opera maarufu, alikamatwa Oktoba 2024 baada ya kuongoza maandamano ya usiku huko Tbilisi dhidi ya serikali. Aliimba kwa waandamanaji kutoka juu ya lori wakati wa baridi kali. Muziki/ngoma: Alipokuwa nje, alitumia muziki kama sehemu ya maandamano. Baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 7, Royal Opera House London iliandika barua kwa Waziri Mkuu wa Uingereza kuomba afunguliwe. Makala: Video: Tafuta “Paata Burchuladze Tbilisi protest singing” YouTube – kuna video za yeye akiimba mbele ya waandamanaji.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi

Dakika moja mnatumbia Tundu Lissu anakufa jela tuandamane alafu dakika inayofuata mnabonge la VIBE. Stop sending mixed messages to us, either tuleteeni mambo ya VIBE kama CCM au tuongozeni kwenye maandamano mengine ya kitaifa…. Chadema achaneni na vibe na mambo ya nyoni. Mkiendelea na hii mood mtajaza mikutano na kuposti ila mkiitisha maandamano ya kumpambania Lissu hakuna mtu atatoa mguu. Lazma muhakikishe dark mood, sadness, pain and tears ndio ibaki kuwa mood ya chini.

Indonesia
19
23
121
16.1K
Britanicca retweetledi
Davido
Davido@davido·
BACK A GUNNER !!!
English
5K
8.8K
68K
2.3M
Britanicca retweetledi
Bukayo Saka
Bukayo Saka@BukayoSaka87·
You deserve more Arsenal fans 💔
Bukayo Saka tweet media
English
11.5K
68.3K
263.1K
0
Britanicca retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
We did it, together.
English
7K
93.7K
394K
13.2M
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Mzee @kigogo2014 ngoja tusafishe kabati tutakunyanyasa sana na hivi professor Pep kasepa
Britanicca tweet media
Indonesia
0
0
0
160
Britanicca retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
The Arsenal. Your Premier League champions.
Arsenal tweet media
English
27.7K
197.1K
575K
32.2M
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Hii Brazil inyosuasua ndo inaweza shangaza Dunia ukashangaa wanaingia hata Nusu Fainali au Fainali kabisa Lakin inategemea na atakayekutana naye Nusu Fainali ili aende Fainali, Neymar nimemuangalia kwa siku za karibuni mechi zaid ya 10 ambazo kafunga almost magoli 8 na pia
Britanicca tweet media
Indonesia
0
0
0
151
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : UVCCM wametumwa kunishambulia ili nikate tamaa kumwambia ukweli Mwenyekiti wao aache kuanzisha Marathon na alisaidie Taifa kwa kujibu hoja za msingi Ukweli ni kwamba kwa sasa Kiliba wa Tahliso anamiaka 2 tu anaushawishi kwa vijana kuliko Kawaida
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Filipino
17
2
37
5.2K