TheBoss.💰

23.8K posts

TheBoss.💰 banner
TheBoss.💰

TheBoss.💰

@BOSSferdd

Here X for fun,💦

Tanzania Katılım Şubat 2025
1.4K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Huwa najiuliza watu Wanawezaje kuishi kwa biashara ndogo kama zike za mbezi stand. Unaona kabisa kwanza hauzi kwa siku 50k, hapate chakula nauli. siwajai kupata jibu.🤔
Indonesia
11
13
57
1.4K
TheBoss.💰 retweetledi
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Anaweza akavaa ivi na bado akawa baba bora wa watoto wako🫵
STUNNA tweet media
Filipino
4
6
10
57
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Pasaka nayo itapita usipate wa kukudekea. Ukaoge maji ya mto comrade.!
Indonesia
4
11
13
69
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Ni editing Ama🤔
TheBoss.💰 tweet media
Indonesia
1
1
3
44
Botafogo👑
Botafogo👑@IWillLive_X·
Leo narudi zangu kutoka Mishe mishe nasikia huyo ni kaka ake na Fulani, nageuka Nyuma dah hizi pisi za wapi Mtaani kwetu,, Ndio nakumbuka kuwa WAMEFUNGA wiki Moja 😂🏃
Filipino
5
11
22
196
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Kama unadate na umekuwa ukilala na mwanamke huyo kwa miaka mingi sasa na hajawahi kukuambia kuwa ana mimba. Unahitaji kujichunguza na unahitaji kumuuliza maswali. Je, ni uangalifu au ukosefu wa nguvu za kiume au matatizo ya uzazi??? Najua wengi wenu hamtaelewa. HeartMattaz
Malcolm 🏆 tweet media
Filipino
10
8
27
1K
TheBoss.💰 retweetledi
𝐌𝐚𝐬𝐬 𝐤𝐢𝐝
Hakuna kipindi ambacho mzazi anakuwa mpole kama kipindi ambacho unamfundisha kutumia smartphone unaweza ukamtuma maji na akaleta😅🙌
Indonesia
2
4
6
40
TheBoss.💰 retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mademu wa uswahilini jau sana Leo nimepanda daladala kuna dada mmoja kapanda kavaa kijora afu si unajua usafiri wa dar wa shida kwenye daladala mnakua mmebanana sana Yule dada kuna kijana alikua kamsimamia afu janja akawa amembambia aisee kwenye daladala bil aibu Huyu dada bila aibu kamuuliza jamaa una sh ngapi ? Wameshuka kituo kimoja pale tiptop noma aiseee Saiv mjini wadada wazuri wanaringa kuliko hata wenye degree Hawa madada wana njaa kali aisee 🙌
Indonesia
9
13
16
348
kuria
kuria@kuria254k·
Siet 😭 Kuna wanaume wanapikia madem wao walai 💀
Indonesia
2
6
8
42
Wakunesa
Wakunesa@Savasec·
Ila walokole bhn kwhy yale makelele yote na mayowe wanayopiga wakati wa kuomba ndio Maombia au?
Filipino
2
2
11
214
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Njoo na nauli yako nitakulipa ukifika>>>>
8
12
19
138
TheBoss.💰 retweetledi
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Nilipoona ile tweet ya @Maestrowafact kuhusu kupewa dawa na anko wake aache kugida ugimbi binafsi nilijua ni suala ambalo haiwezekani. Kwa sababu hata hapa mtaani kuna dogo mmoja wa kirangi bi mkubwa wake kahangaika sana na kila aina ya dawa aache kugida lakini imeshindikana.
Fundi viatu na mabegi tweet media
Filipino
2
6
7
302
TheBoss.💰 retweetledi
Mbaade 🤠
Mbaade 🤠@Hamis_Mbaade·
Mimi hata nikisema nianze Kudate sasaivi, kufikia mwisho wa Mwezi lazima ntakua Single tu 😂😂😂
Indonesia
5
4
9
60