Lieutenant
233 posts


@amina_hafidh @Legend_Mtikila Umejibu kwa nidhamu sana, 😂 ukiropoka huu mziki hautauzima

Umewauzia Mbogamboga sana pumzika sasa mrembo wetu
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh
Filter imenipaushia nywele 😬😫 After night shift nilale sasa🥹😴

@Ibun256 @sportybettz Kuma la mama yako ambaye amekuzaa na ubongo mdumavu.
Eesti

@hereiseddy_ @Cowwbama Acha utani wewe tafuta midrange moja toka kampuni lolote lingine
Indonesia

@MrDepalitto9 @Ngattaboe99 Usioe mwanamke aliyefika form 4
Indonesia

@ShijaDenis Mimi nina oraimo charger moja nilichukua kwa 75 elf ni mashine sana
Filipino

Watu wengi wakichagua charger wanaangalia watts tu ⚡ lakini kuna vitu muhimu zaidi vya kuzingatia 👇
- Reputation ya brand ya charger
- Ubora wa charger yenyewe
- Kucharge stable bila kutoa joto kupita kiasi
- Ubora wa cable unayotumia
- Mfumo wa ulinzi dhidi ya overheating na short circuit
- Support ya fast charging inayokubaliana vizuri na simu yako
Brands kama UGREEN, Anker, Baseus na Belkin zina reputation nzuri kwenye charging accessories.
Na kingine watu wengi hawajui, charger kuwa na watts nyingi haimaanishi moja kwa moja itaharibu battery 😅 simu na charger huwasiliana kwanza ndipo simu huchukua kiwango cha umeme inachohitaji yenyewe.
Mara nyingi charger zenye quality kutoka brands nzuri huwa better na salama zaidi kuliko fake zinazouzwa kwa bei cheap mtaani.

Indonesia

@Tinolove15 brotherhood iko proud n wewe shukrani kw kutukumbusha tusioe
Indonesia

@FCBayernEN Too much noise, and you have already conceded a goal.
English

@yimikaaaa My midrange Samsung Galaxy A56, peak battery performance 🔥
English

@Jaguar_455 Na hakuna M16, ni MI6 au (SIS) na Security Service MI5 🚶♂️
Filipino

@lifeofmshaba Unadhihirisha jinsi gani unaunga unga mambo mkuu 🚶♂️
Filipino

Watumishi wa Umma upande wa Tanganyika hasa mapolisi kila siku mnawapigania hawa watu
Leo hii ubaguzi ni mkubwa sana mpaka kwenye mishahara
Fikiria kima cha chini kwa Tanganyika ni Laki 350 lakini sasa Zanzibar ni 500,000
sasa chukulia wewe unayekaa hapo Dar nauli tu ni moto, wakati wenzenu kula Zanzibar kamji kadogo safari sio Ndefu, wewe Arusha na mwanza hivyo hivyo
Leo mishahara inatumia kanunua ya Damu ni nzito kuliko Maji, wamechota pesa kwa wingi kupeleka Zanzibar kiasi kwamba kule sasa mambo ni mazuri kabisa, na mimi siwalaumu kabisa wanachofanya kwao
Shida inakuja wewe lipolisi, mwalimu, Daktari na watumishi wengine ambao mnatumiwa na hawa CCM kwa kufanya harifu na kuficha SIRI zao mnapata nini?
Kwa TUCTA ndio uwa inafanya maamuzi ya kiasi gani mishahara ipande? wao wamekaa na hao wahuni hapo TUCTA wamewapa asali nyie wengine wote mnaungua
Moja, kataeni hiyo TUCTA maana hiyo pole sio maoni yenu nyie wafanyaakazi wao wameitoa wapi
Mbili kataeni mishahara kima cha CHINI iwe kama Zanzibar , msikubali upuuzi wa aina yoyote, kama Zanzibar wameweza kulipa 500,000 na nyie hiyo ndio iwe kiwango
Pili kataeni kuendelea kutumika ndio inaleta hizi dharau, wanawatumia na kuwatupa kama mipira ya kinga za kaswende, acheni uboya namna ya kujitoa kwenye haya ni kutangaza CCM kama adui yenu


Indonesia

“Mama Samia aanzishe mchezo kila mwananchi anatoa @ 1,000/= kila siku
Tupo raia milioni 65
Hivyo kila siku anatoa mtu anapokea bilioni 65(65,000,000,000)
Mama kwa kuwa kijumbe atachukua milioni 500”
Adventure-360@Adventure_36
KWAHIYO MMEKUBALIANAJE?
Filipino

Masoud ni Genius
Jeff ni self-taught storyteller/Copywriter
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿@Elsukay0
Kati ya Masoud kipanya na Sir Jeff Dennis yupi ana IQ kubwa?
English

@MarekaMalili Muwe mnasikiliza full interview, muache kudhalilisha your so called mabroo
Indonesia


















