Mtikila
181 posts

Mtikila
@Legend_Mtikila
Mwenyezi Mungu nijalie afya njema na maisha marefu ili nishuhudie anguko la CCM. amen.👏👏👏👏

Martin maranja masese @IAMartin_ ni mtetezi wa haki za binadamu na mchambuzi wa siasa mwenye ushawishi mkubwa katika mijadala ya kijamii hasa kupitia mitandao ya kijamii Alianza maisha yake ya kazi kama mwalimu kisha akaamua kuacha ajira ya serikali na kujikita katika shughuli huru za kijamii na kitaaluma akilenga zaidi kuelimisha jamii kuhusu haki za binadamu, uwajibikaji na utawala bora Umaarufu wake umejengwa juu ya uwezo wake wa kipekee wa: 1:kuchambua masuala ya kisiasa kwa kina na kwa mantiki 2:kuunganisha sheria, historia na uhalisia wa kijamii katika hoja zake 3:kuelimisha vijana kuhusu haki zao na wajibu wao katika jamii 4:kuhimiza uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi Kupitia mitandao ya kijamii hasa X/Twitter amekuwa chanzo cha mijadala yenye manufaa kwa jamii akisaidia kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu demokrasia, haki za binadamu na masuala ya utawala Katika safari yake amekutana na changamoto mbalimbali ikiwemo shinikizo la kijamii na kuitwa na vyombo vya dola kutokana na msimamo wake wa wazi lakini hali hiyo haijamzuia kuendelea kusimamia anachoamini Mpaka sasa anaendelea kutambulika kama mmoja wa sauti muhimu zinazochangia uelewa wa haki za binadamu, uwajibikaji wa viongozi na maendeleo ya fikra za kisiasa miongoni mwa vijana Tanzania










Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Kamati Tendaji ya CHADEMA Kanda ya Pwani kwa kuniamini na kuniteua kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Sera, Ilani na Utafiti, katika kikao kilichoketi Mei 13, 2026, Dar es Salaam. Shukrani za kipekee ziwaendee wajumbe wote wa kamati hii kwa kura zenu na imani mliyoionyesha kwangu. Nikiwa nanyi, nina amani kuwa tutafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kuiwezesha Kanda ya Pwani kutimiza malengo yake na kukiletea mafanikio chama chetu, CHADEMA. #PeoplesPower #StrongerTogether ✌🏾

Francis Mtungi na Sisty Nyahoza haya mambo hawajawahi kuyaona kabisa.

Mzee Kikwete aliacha kufanya Tafrija ya siku yake ya kuzaliwa mbona siku hizi mambo yanapita kimya kimya maana ilikuwa ni zaidi ya Festival 🤔

Epuka MATAPELI NA MAJAMBAZI sina akaunti yoyote Facebook. Hawa ni Washenzi na Matapeli.



Filter imenipaushia nywele 😬😫 After night shift nilale sasa🥹😴











