Joly BM
8.8K posts


@JumarMatary @nyuki_malkia Umenifundisha jambo kubwa sana
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Filipino

@nyuki_malkia mfumo wa nyonga kwa wanawake uko tofauti kidogo na sisi wanaume, hyo inatokana na muundo na mpangilio wao wa reproductive organs...yeye apo kati kinatakiwa kitoke kichwa cha mtoto ko lazma kuwe na njia au uwazi wakuu
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Filipino

@nyuki_malkia Naipenda na sijawahi kuwa mlevi... wala Pombe sinywi..
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@ze_mandevu Alikula raha za dunia sana....
Ndo vishapita sasa....
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿

@AfyaYako_ @nyuki_malkia Bila hii picha tusingeelewa.....😀😀😀😀
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@nyuki_malkia Faida za ute(maji maji ukeni),
1.Kuweka Unyevunyevu
2.Kuzuia maumivu wakati wa vita.
3.Ulinzi dhidi ya maambukizi
4.Kuongeza kiwango cha homoni hasa estrojeni
5.Msisimko wa ngono

Indonesia

@tsheko2020 He doesn't beat him because he's dating his wife, he beats him because he has the courage to go and smash her in his bed.
English

@Labella_Mafia95 Hawa waliua sana...
Ipo clip moja hatari sana wakichinja watu tena wenzao..😭😭😭
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

Utekelezaji wa adhabu ya kifo umeibua maswali ya kisheria:
Je, ni haki kwa serikali kuwa na nguvu ya kumaliza maisha ya raia? Vipi kuhusu haki ya kuishi na haki za msingi za binadamu?
Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wanasisitiza kuwa serikali inapaswa kutafuta mbinu mbadala.
Mbinu kama vile kuwekeza kwenye elimu na fursa za ajira, badala ya kutegemea adhabu kali pekee..⬇️

Indonesia


























