Sabitlenmiş Tweet
bongotech2⁵5🎮🎧🛜
9.2K posts

bongotech2⁵5🎮🎧🛜
@Bongotech255
🌨️Soma habari mpya kila siku kuhusu ⚙️Teknolojia kupitia kiganjani mwako kwa lugha ya kiswahili 🇹🇿 si Unajua Teknolojia ni Yetu sote 📁
Katılım Mayıs 2021
311 Takip Edilen12.9K Takipçiler
bongotech2⁵5🎮🎧🛜 retweetledi

𝗔𝗽𝗽𝘀 𝟲 𝗕𝗼𝗿𝗮 𝗠𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗡𝗼𝘃𝗲𝗺𝗯𝗮 𝗻𝗶 𝗻𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗯𝗮𝗹𝗮𝗮 𝗨𝗺𝗲𝘀𝗵𝗮𝘄𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮
Leo nakuletea apps Sita nzuri balaa unapaswa kutumia kwenye Simu Yako kama unatumia Android au iphone ✍️.
Repost
Like
Follow 🇹🇿
#bongotech255

Filipino
bongotech2⁵5🎮🎧🛜 retweetledi

Sijui niliweke vipi ili nieleweke kwa urahisi ila, kuzaa na mwanamke ni moja ya jambo sensitive linalo catch mind ya mwanaume especially kama mwanamke ni msikivu, mtiifu na anajiheshimu.
Hizi mimba tunazowapa watu tusio na malengo nao huwa zinatuumiza na tunatumia muda mwingi kufikiria na kujutia kumuumiza mwanamke pengine kwa kutokumuoa.
Hakuna mwanaume atazalisha mwanamke mtiifu au msumbufu then asimuwazie kabisa. Hata sisi tunaumizwa kwa kutooa tuliowazalisha na kupona kwetu ni mwanamke anapoolewa maana hapo itabaki anawaziwa mtoto zaidi.
Indonesia

Kumbuka haya:
1. Mwanaume ni kila kitu
2. Kutojiamini ni uamuzi
3. Majuto na aibu ni kupoteza muda
4. Anza kuongoza au kubakia mfuasi
5. Wanawake huja na kuondoka
6. Msimamo ni jambo la kila siku
7. Kuwa mwanaume ni kubeba majukumu yote
8. Mwanaume anajitosheleza mwenyewe
9. Jitetee mwenyewe
10. Msujudie Mungu tu
Indonesia

😛 Water resistant
haijalishi unapiga simu kwenye Mvua unachati au kupiga picha mahali Kuna vumbi Kali, Mvua kubwa we enjoy TU hii simu haingizi maji kabisa ina IP 64 rating ambayo inakusaidia kuzuia vumbi na maji kuingia kwenye mfumo wa simu yako.
@Bongotech255

Indonesia









